uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Angalia ulichonukuu kujibu na ulichoandika.
Ninafikiri umepanic. Hata hivyo hakuna mjuzi wa mahusiano kama wewe unavyohisi.
Mimi Sina ujuzi wa mahusiano wala sitaki kuwa nao, What I simply said ( ni kwamba akili huna ) : usaliti hauitaji:
1. Maelezo ya Dawati.
2. Maelezo ya ustawi wa jamii
3. Kata na usuluhisho
Leave, hudumia mke na watoto ( ukifanya hayo mawili, ustawi wala Dawati hawatakusumbua...
Akienda huko anataka talaka, patia talaka bila wasiwasi!
Hivi Kuna mwanamke anaenda Dawati au ustawi kushtaki mwanamke? Dunii ngumu hii!