Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

Angalia ulichonukuu kujibu na ulichoandika.

Ninafikiri umepanic. Hata hivyo hakuna mjuzi wa mahusiano kama wewe unavyohisi.

Mimi Sina ujuzi wa mahusiano wala sitaki kuwa nao, What I simply said ( ni kwamba akili huna ) : usaliti hauitaji:

1. Maelezo ya Dawati.
2. Maelezo ya ustawi wa jamii
3. Kata na usuluhisho

Leave, hudumia mke na watoto ( ukifanya hayo mawili, ustawi wala Dawati hawatakusumbua...

Akienda huko anataka talaka, patia talaka bila wasiwasi!

Hivi Kuna mwanamke anaenda Dawati au ustawi kushtaki mwanamke? Dunii ngumu hii!
 
Sasa huyo mama maraiya,asiyetulia nyumbani na akili zake za kizuzu/anajidai amelogwa ndiyo ataweza kutunza watoto?
Mimi siamini kama ushirikina unaweza sababisha haya. Sababu itayomake sense inaweza tathmini uwezo wa mama kukaa na watoto.
 
Mimi naongelea watu kutojua kazi za dawati wewe unaongelea usaliti.

Kwanini hauna akili na haikusumbui kujionyesha hivyo?
 
1. Huyo sio mke wako tena.

2. Haukupaswa kumrudia tena baada ya kugundua usaliti ama hata alipo tamka maneno ya kutokua na hisia na wewe mbele ya wazazi wenu

3. Wewe nj mwanaume dhaifu sana mwenye kujificha nyuma ya neno "nampenda sana mke wangu.

4. Kuzaa watoto watatu, haikua kibali cha kuendelea kuishi kwenye ndoa iliokosa utii na kujaa usaliti tena wa wazi.

5. Usijidanganye kwamba bado unampenda mke wako wala usuiseme kwamba mnaendelea kuimarika. Wewe unamuhurumia tu mkeo wako na kuwaza zaidi kuhusu watoto wako wakikosa malezi ya mama yao.

6. Usijidanganye kama umepona, zaidi bado unamaumivu na hilo jeraha halitokaa lipone ndio sababu unajikuta wakati mwingine unapata hisia.

7. Umekubali kudanganywa kirahisi ukajikuta unamuamini huyo mwanamke, lakini kinyume chake wewe unampenda zaidi mwanamke ambae hana utii na heshma kwako.

9. Naokuona kama mwanume asie weza kujisimamia kwenye maamuzi yake na badala yake unatengemea kufanyiwa maamuzi ya ndoa yako na wazazi, viongozi wa dini, dawati la jinsia nk.

Nitakuja kuendelea baadae maana umeniudhi sana.........
 
kumbuka mke wa mleta mada nae ni mfanyakazi.
 
Umefanya uamuzi sahihi. Wanawake hawajawahi kuwa viumbe imara kwenye ulimwengu wa mapepo. Mwanaume usipokaza msuli, familia inaparanganyika dakika 0.
 
kumbuka mke wa mleta mada nae ni mfanyakazi.
Sahihi.

Kwa familia ambazo baba na mama ni wafanyakazi kwenye ile baadhi ya taasisi kuhamia Dodoma wanawake wengi walibaki na watoto au walienda nao Dodoma.

Ingawa wote tunajua huyu ataenda kazini lakini tunaamini akiwekwa na dada wa kazi hawa watoto wataangaliwa vyema.
 
😹😹😹
 
Nasoma huku naangalia avatar yako nacheka balaa 😹
 
Wewe mbona umepanic kwa mwenzio?
Halafu unasema tena yakitokea kwa mtu mwingine asipanic?

Hayo mambo ni rahisi kuyatolea ushauri kama hayajakukuta, subiri yakukute ndo uone km ushauri wako utaweza kujishauri mwenyewe..!!
 
Pamoja na yote ila UMETOMBEWA

MM kiukweli siwezi anayenitombea mke wangu namuona

Ukimuona huyo mzee unajisikiaje alovyokuwa akiipump k ya mkeo
 
Either una moyo mkubwa kunizidi au una utindio wa akili. Wahenga hawakuwa wajinga walivyosema dawa ya moto ni moto. Huyo jamaa me binafsi yangu ningeenda kwa mganga na ningemtia hata ukichaa.

unatombewa mke na bado unacheka cheka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…