Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

Either una moyo mkubwa kunizidi au una utindio wa akili. Wahenga hawakuwa wajinga walivyosema dawa ya moto ni moto. Huyo jamaa me binafsi yangu ningeenda kwa mganga na ningemtia hata ukichaa.

unatombewa mke na bado unacheka cheka

Either una moyo mkubwa kunizidi au una utindio wa akili. Wahenga hawakuwa wajinga walivyosema dawa ya moto ni moto. Huyo jamaa me binafsi yangu ningeenda kwa mganga na ningemtia hata ukichaa.

unatombewa mke na bado unacheka cheka tu?
Mkuu huu sio mwisho wa simulizi yangu. Mengi bado yaliendelea na mpaka leo yapo mengi tu,sijaeleza kila kitu hapo.

Hakuna sehemu nilipoonyesha kufurahia jambo hili pia.
 
Mkiwa na kipato wote na wafanyakazi wa serikali!!Kuna pin code huwa walimwengu wanna zi set ku decode hizo sio rahisi kabisa!!!

Kuna wengine wanatoka na wake za watu hasa wenye nyota ya kipato au biashara kama masharti ya kukuza nyota zao ili wafanikiwe!!

Wale wanaotumia majini ya modesta kupata pesa huwa wanna do na wake za watu au wanawake wenye kipato au nyota Kali,wakishafanya hivyo na ndoa zao zinakufa kibudu na mwanamke hawezi kukuelewa hata useme ninu Hadi anapoachika ndio anakuja gundua ,mwisho wa siku anafanya maamuzi ya panic coz ameshapoteza ndoa yake!!!

Kuna madam mmoja kaolewa na mwanafunzi wake baada ya kuvunja uhusiano wake na mume wake !!coz alikua na mahusiano na hao jamaa wa modesta!!!

Kazi na utu,tusonge mbele!!!
 
Daah inauma sana ina maana mzee alimtomba kabisa?daaj
 
Ndoa sio salama Kwa wanaume wanaojifanya wakina Mr nice guy
Kuwa nice au bad guy ni nature ya mtu na sensitivity yake!!

Kuna wengine kitendo cha kubeba mimba Hadi kuzaa japo ni wajibu lakini sensitivity yake ni kubwa sana kiasi kwamba huwezi mwambia chochote kuhusu mama watoto wake aiseh!!!
Ndio maana huamua kuwapa ushindi kuliko kupambana na mwanamke uliemzalisha watoto kadhaa!!!

Huwezi fake kabisa nature aiseh!!!
 
Hamna dawa ya kichawi hapo! Ni justification/kisingizio tu ya move aliyotaka kuifanya na labda imebuma baada ya kuliwa na zee limeona hana utamu wa kutosha...
 
Kichapo lazima apokee, yani afanye hayo maujinga nisimshushie kichapo
 
Eti nikamshirikisha mama mkwe akanambia tufunge [emoji23][emoji23]
 
Mzee umemaliza..hili ni advanced simp
 
Huitaji kunywa bahari yote kujua ina chumvi...tone la kwanza tu linatosha kukuambia yana chumvi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…