Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahuzunisha sana. Lakini pia viombo vya ulinzi na usalama viwasaidie Wananch kwa kuweka sheria kali yahawa matapeli wakishikwa wafungwe vifungo virefu. Pesa siyo rahis kupatikana halafBado hawaishi wavivu wa kufikiri, tunapenda shortcut sana
Mkuu mimi niliandika kipindi cha Mista kuku Farm, kwamba 'kupigwa' kwa watanzania ni tendo endelevu maana watanzania wana mitaji ila hawajui waifanyie nini izae, pia uoga wa kuanzisha projekti zao binafsi na kuzikuza. badala yake wamekuwa wepesi wa kudandia project fake kwa lengo la kuvuna huku wakilinda mitaji.Yani kila siku watu hawajifunzi. Mimi nilidhani tukio la Billionea wa mahindi Songea litakuwa la mwisho. Yani kila mmoja kamkabidhi jamaa milion 3 hivi hivi.
Kweli mkuuInahuzunisha sana. Lakini pia viombo vya ulinzi na usalama viwasaidie Wananch kwa kuweka sheria kali yahawa matapeli wakishikwa wafungwe vifungo virefu. Pesa siyo rahis kupatikana halaf
Tatizo nalo watu hawakomi kila wakiambiwa hawasikiInahuzunisha sana. Lakini pia viombo vya ulinzi na usalama viwasaidie Wananch kwa kuweka sheria kali yahawa matapeli wakishikwa wafungwe vifungo virefu. Pesa siyo rahis kupatikana halaf
Mwalimu mzima unashindwa kujua kuwa QNET ni matapeli na sio mara ya kwanza wanaanikwa wazi hawa QNET🥵
waliosema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hawakukosea, tufanyeni kazi halali, tuache tamaa na tuache kupenda shortcuts, hela za chapchap namna hiyo hakuna
Nilichogundua kwao kingine ni kwambaMkuu ww kama upo dsm una fahamu janja janja ya chain market bac tambua mikoani huko hawana hayo maarifa na ndio maana hapa dsm siku izi vijiwe vyingi vya chain market wazee wa kupendeza vimeadimika wengi wametia kambi mikoani humo
Wana jilia vichwa....
Ila jambo ambalo mm nqjiuliza ni namna makampuni haya yanavyo fanya kazi tena kama ambavyo DC alivyo mpigia simu mtu wa BRELA ina maqna ofisi hizi zina operate kinyumee na sheria au inakuwaje ?
Jambo lingine ni ubora wa madawa yao wanayouza je ni kweli yame idhinishwa na TMDA na TBS ?
🤣🤣🤣🤣🤣Goodmorning