Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

Ualimu nao ni changamoto kwenye ufahamu, vitu vidogo vya kitapeli kama hivi unashindwaje kuving'amua?
 
Mwalimu mzima unashindwa kujua kuwa QNET ni matapeli na sio mara ya kwanza wanaanikwa wazi hawa QNET[emoji3062]

waliosema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hawakukosea, tufanyeni kazi halali, tuache tamaa na tuache kupenda shortcuts, hela za chapchap namna hiyo hakuna
Walimu wamekuwa wahanga wakubwa wa hizi feki financial institutions. Mwanzoni ilikuwa wale Bayport.... Na yote haya ni kutokana na walimu kuwa na mishahara dunu... Imagine eti mbunge std 7 kama Msukuma au Kibajaji analipwa milioni 11 monthly huku mwalimu aliambulia laki 8 au 9
 
Kuna dada mmoja alikuwa anamiliki mgahawa mmoja hapa dsm alitaka kuningiza kingi kwenye bit coin nikaenda kuwasikiliza ktk maelezo yao nkaona hapo kunakumizwaa
Nlichowafanyia wao hawatonisahau kwani mm ndy niliwapigaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Shida yetu wabongo wengi hupenda matumaini sana haswa ya kuvuna pesa. Hii ni sababu ya umasikini halafu wahanga wengi huwa wanawake maana wao ni wepesi sana kushawishika na vitu vya namna hio na hushawishi wenzao kirahisi...

Utaona kuna mwanamama mrembo kweli hapo, amekopa 4.5M bila idhini ya mumewe matokeo yake kaishia kupewa saa tu, imekuwa msala hadi mumewe kamtimua home. Analia lia ndoa iko mashakani.
 
Good morning business partner!

Siku nitakupeleka makumbusho & posta ukawasikilize kwa mtu asiye makini nguvu yao ya ushawishi wanaangukia humo.

Ila sitokuacha kule pekee yako honey !
Sijui labda kwa sababu sina hizo pesa ila mtu hadi anishawishi nitoe pesa yangu tena 3m nimpe mtu eti niwekeze dah[emoji15], ntawekeza mwenyewe tu kwakweli. Unaambiwa Nunua saa mili 5 utapata 2times mmh how?
 
Shida iko kwa Walimu,kwa akili za Walimu wetu,ndiyo maana wanashundwa kusoma hata hati ya kiapo.
Unategemea
Walimu wanalipwa laki 3 kwa utata sana 😂😂😂 hivyo ikatokea mtu akawalipa dollar 200 ya bure bure tu mbona unawavuna wengi tu.

Hizi biashara hapa nchini na kwengineko kwenye maisha magumu zinastawi sababu ya umaskini wa raia. Lile gap baina ya wenye nacho na wasio nacho likiwa kubwa ndio chachu ya kufanikisha hizi biashara. Hata ukianzisha promo leo ya biashara ya aina hii ukasema ni uwekezaji bado utavuna sana hela za wajinga.
 
Sasa, Kongole kwa Ole Sabaya...Lakini Mwalimu wetu walihindwa ,kutumia akili zao wenyewe kujua kwamba Pale. wanapigwa ?[emoji853][emoji853]
 
Lakin si wameambiwa na kampun walete wenzao wawili wajiunge ndipo walipwe hizo dola 200? Kama hawajaleta wanachama wengine wamekiuka masharti. Shikamoo pesa
Kwahiyo kwao bidhaa ni watu? Kuuza watu?
 
naona misifa Sabaya umekuja kujianzishia thread hapa jf, huna lolote...wewe ni kiongozi unayeongozwa na mihemko tuu!.

kila unachokifanya akilini mwako unawaza kama JPM ameshakuona/sikia au bado!.
 
Back
Top Bottom