King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wajinga hawaishi, watu wanapigwa sana milioni 4 za kiingilio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeh usiseme hivyo, kuna watu wana sound unakubali unaaminishwa tu. Siwezi kuwalaumu sana walojiunga ila ndo wamejua sasa kumbe ni utapeli, kuna na wengine wanajiita jina flani hivi nmelisahau nao matapeli wanakutaka uwatumie hela wanadai wanauza na kununua madini unapata pesa yako double ndani ya siku tatu.Ni aibu sana mtu emeenda shule halafu unapigwa kizembe.
Mimi kuna Mdada Mmoja wa Ofisi zao Kinondoni karibu na Club ASET ( Twanga Pepeta ) aliniita huko na kuanza 'Kunishawishi' na kwakuwa tayari 'Kisaikolojia' nilishamsoma 'Udhaifu' wake japo 'alijimwambafai' Kwangu kuwa ana Masters Degree na bonge la 'exposure' duniani nami nikamwonyesha kuwa Mimi ni Mtoto wa Mjini ambapo 'nikamtongoza' kwa 'Mbinu' kali mno na akajaa 'Mkenge' Mwanamume 'nikamkojolea' na nilipomaliza pale pale Kitandani nikamwambia 'Good Morning' na tusijuane tena.Aaah good morning milionea walitaka niingiza kingi nitoe hela zangu za michango ya harusi eti baada ya miezi 3 tafanya harusi kubwa Sana.
Kabla ya 'Kupovuka' hapa kuwa sijui 'Washtakiwe' kwani Wao ( Qnet ) huwa 'wanawalazimisheni' mtoe Pesa au huwa ni 'Upuuzi' wenu tu? Mkome!!Bora wakamatwe na walipe pesa yote walodhulumu watu na walipe faini kabisa maana hawa matapeli wanarudisha nyuma maisha ya watu isee.
Kweli nimeamini Binadamu tumetofautiana katika kupiga 'Sound' Mkuu kwani Mimi 'Sound' pekee niliyobarikiwa nayo ni 'Kutongoza' na Kuwalala tu.Weeh usiseme hvo kuna watu wana sound unakubali unaaminishwa tu .Siwezi kuwalaum sana walojiunga ila ndo wamejua sasa kumbe ni utapeli,kuna na wengine wanajiita jina flani hivi nmelisahau nao matapeli wanakutaka uwatumie hela wanadai wanauza na kununua madini unapata pesa yako double ndani ya siku tatu.
Kuna dada mmoja mrembo ila kichwani ni flight mode alininunia kisa nimegoma kujiunga na huu upuuzi na nilijua hata yeye hajui kuwa anatumwa alete watu wapigwe hela.Kuna boya mmoja ilibaki kidogo tu anaiingize global alliance dadek.
Kuna Moja imenisikitisha Sana walimu wakuu kabsa wametoa million 4+ cash bila hata risit huku wakiambiwa risit zinatoka Malaysia kwa njia ya mtandaoPolisi mkoani Kilimanjaro wanamshikilia mtumishi wa serikali, Dominic Mwapombe anayedaiwa ni afisa wa Kampuni ya Qnet inayodaiwa kuwaibia watumishi wa serikali mamilioni ya fedha. Mwapombe na wenzake wanashukiwa kukusanya TZS milioni 4.3 kwa watu mbalimbali kama ada ya ujisajili.
Nilipowaona tu hawa Jamaa ( Qnet ) kuwa Hamnazo Kichwani ( Akili za Kipa Katoka ) ni pale tu Salamu yao muda wote ikiwa ni 'Good Morning' tu.
Mzee wa tiba anuai za kibaiolojia 🤣Mimi kuna Mdada Mmoja wa Ofisi zao Kinondoni karibu na Club ASET ( Twanga Pepeta ) aliniita huko na kuanza 'Kunishawishi' na kwakuwa tayari 'Kisaikolojia' nilishamsoma 'Udhaifu' wake japo 'alijimwambafai' Kwangu kuwa ana Masters Degree na bonge la 'exposure' duniani nami nikamwonyesha kuwa Mimi ni Mtoto wa Mjini ambapo 'nikamtongoza' kwa 'Mbinu' kali mno na akajaa 'Mkenge' Mwanamume 'nikamkojolea' na nilipomaliza pale pale Kitandani nikamwambia 'Good Morning' na tusijuane tena.
Duh ujinga ni mzigo kwakwelHawa qnet wapo siku nyingi nchini hapa na kuna wakati walitaka kujenga barabara Sasa leo iweje yatokeee haya yote
Wewe utakuwa ni teacherKumbuka ndio walikufanya unabwabwaja hapa nilikwambia wewe akili zako ndogo sana . Taasisi gani haitapeliwi tuanzie hapo
Ujinga wa walimu ni upi hapo?Goodmorning billionaire.View attachment 1647605