Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

Yeye si genius toka la 7 mpk degree afanye tuu masomo saba yale apate hicho cheti. Unajua anag'ang'ania asome UD sbb anataka statasi tuu. UD kazeni alete cheti cha form four tuu tena chenye C tano.

[emoji23][emoji23][emoji23] Profesa Majamba anasema "digrii mboga mboga bure kabisa" [emoji23][emoji23] alafu ndio wampokee kirahisi rahisi haitakaa itokee

Shigongo angekuwa kaelimika angeenda kusoma qualifications za kusoma Masters kwanza. Yaani na degree yake ya parachuti yenye GPA 4.8 ameshindwa hili.

Elimu inachezewa sana. kweli mtu wa hiyo GPA unashindwa kuzijua taratibu kweliii!?, anyang'anywe hiyo degree. Alitakiwa akasome Cheti ifuate Diploma alafu ndio degree TCU waufikirie upya huu utaratibu wa kutambua ujuzi.

Degree ni ngazi ya juu sana ya elimu kwa mtu type ya Shigongo, cheti kilikuwa halali yake kwa kuanzia.
 
Kwanini UDSM wanamkataa
Msikilize Shigongo alivyojieleza

"Shigongo anasema alijifunza Kiingereza mtaani. β€œKiukweli sikufundishwa, naongea Kiingereza kama lugha ya kikabila, ukiniambia adjective nini sijui, sijui adverb yale mambo mimi siyajui kabisa"

Hayo mambo asiyoyajua yanafundishwa sekondari " O" Level

UDSM wanataka mtu anayeyajua hayo ndio maana wamemrudisha akasome form four akawaletee cheti cha mtihani wa form four
 

Mkuu amini kwamba NECTA wanajali sana huwezi kufelishwa NECTA ni never!
 
Sio huu Uzi Duniani kote ndio utaratibu tokea enzi na enzi,ni kama mwanaume huwezi MPA mimba mwanamke kama hujapitia barehe.
Ni mfumo ya kidunia ipo hivyo,by the way now days unaweza Fanya mitihani ya QT kwa miaka 1 kwa nini asifanye??
Mawazo mgando. Yanapingana na sera ya elimu na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015.
 
lakini mzigo si unafika.! Acheni kufanya maisha kuwa magumu wakati ni kitu simple

Wivu tu kisa kala chochoro.!
Akigonga mtu bima nani atalipa wakati dereva alikuwa utingo asiye na leseni? Hujui kuwa mtu akiwa mwendeshaji hana leseni ikitokea ajali bima hawalipi?
 
CHUO ALIJIUNGA VP SASA??
...Hapo inapoandikwa na kurudiwa 'Noval' badala ya Novel kunakufanya uwaze sana Umakini wa Muandishi wa hii makala ama wa Erick Shigongo mwenyewe !
 
Hii inaukakasi mkubwa mno

25% vs 4.8 haiingii akilini
 

Shigongo aachane na mpango wa kusoma Masters TZ. Aombe udahili wa PhD vyuo vya nje. Vinapokea wanafunzi wenye shahada ya kwanza.
 

Foundation course au unapewa conditional admission (lazima ufaulu masomo flani au ufanye hiyo kozi kabla ya kuendelea na masomo yako uliyoomba chuo)
 
Erick ni mwongo wa karne haki tena, GPA ya 4.8? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hizo GPA zipo sana vyuo binafsi. Wanapewa tu.

Mimi naamini ukijitahidi kukaza sana chuo GPA inaweza kuwa siyo zaidi ya 4.4.

Huyo wa GPA ya 4.8 maana yake alipata 5 ( ambayo haiwezekani ) ila wakaona aibu kumpa
 
Aseme tu alivyojiunga chuo kikuu kwa msaada wa RPL na sio kwa elimu ya darasa la saba kama anavyo jimwambafai.

Na afahamu kuwa hakunaga shortcuts kwenye elimu halafu chuo kama UD sio mahala pamchezo mchezo wale wazee wanamisimamo yao kama hana cheti cha form four hiyo master yake labda afanyie hukohuko Saint kunani wanapo gawa GPA kubwa hovyo kama njugu.
 
Foundation course au unapewa conditional admission (lazima ufaulu masomo flani au ufanye hiyo kozi kabla ya kuendelea na masomo yako uliyoomba chuo)
Unatakiwa kuwa na C 5 na ni lazima uwe na C ya lugha ya kufundishia. Course za sayansi ni lazima uwe na C ya hesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…