Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Una kibarua cha kukuingizia kipato? Ikiwa jibu ni ndio basi kama ukibanwa na stimu nenda kitambaa cheupe, uwanja wa fisi, mwananyamala hospitali au chimbo lolote lilipo karibu nawe au kama shida yako ni mchumba wa kuanza nae maisha ongea na wazee wakutafutie mke.
 
Mwanangu Wewe ni Mzinguaji na kama kweli unataka Mchumba nenda sehemu za Ibada (Msikitini na Kanisani), utakuta pisi zenye hofu ya Mungu, Zingine zina kazi na maisha tayari, zingine familia bora lakini zinahitaji Mwanaume wa kutengeneza familia.
Note: Usiende kutafuta Mchumba kwenye makanisa ya Miujiza na Wokovu, utapoteana mazima. Nenda makanisa kama KKKT,RC, ANGLICAN ,AGT nk
 
Hizi sehemu zote zilishavunjwa hazipo labda kwenye Ma Saloon yaliyopo karibu na Manight Club makubwa kama Conner Bar, Ambiance, Meeda (Sinza-Kitambaa Cheupe)
 
Kibarua ninacho otherwise ningekuja kuomba kazi.
Kutoa upwiru hiyo ni kazi ndogo sana, ni pesa yako.
Tusijadili hili
 
Sawa, uko wapi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…