Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Sad pole sana rafiki/babe hakika mtihani wako ni mgumu siuwezi😪 na tumshukuru Mungu kama umevuka salama, polee
 
Pole kwa unayopitia ila nimecheka sana.
 
Ahsante sana mkuu, nimeona inasaidia kuupooza moyo 👍
 
I feel your Pain,nami napitia ilo ilo yan sema mimi ndo na siku tatu nimeachwa
 
I feel your Pain,nami napitia ilo ilo yan sema mimi ndo na siku tatu nimeachwa
Tufanyeje mzee maake huku nimeshapewa ushauri wa kutosha ila mm bado tu na nikachota na app ya jf lkn bado mziki nacheza ule ule, nimesoma inspiration na motivation za budhist zimenipa hauweni. Ila donda nihisi litaoza na kushindwa kukauka yaani basi tu
 
Huyo muhusika wala hayupo humu, sababu zakuachana kiukweli ni just Petty things,kama wivu(mimi) na long distance relationship kiasi ingawa tulikua tukitembeleana nk.

Tumekaa chini na kuongelea kuhusu kupeana chance nyingine ila ilishindikana na mwenzangu akawa ameshapata mahusiano mengine.

I just loved him so much na si kwamba alikua ananipa chochote, basi tu nilimpenda jinsi alivo na niliona naye ananipenda nilivo.ila alikua na sauti nzuri kuubwa dah😫
 
Usilie sasa utatuliza na sisi[emoji24][emoji24][emoji1784][emoji1784]
 
Ahsante sana mkuu, ila hapo kaniona sifai aargh mkuki moyoni😪
 
Moyo wa mtu kichaka, you loved him more, he loved you less. Hii ni kawaida kwenye mapenzi, just move on for now.

You thought he's the one, but him was just passing by, hii ni kawaida sana
Kweli nimeamini moyo una siri kubwa maana nilivyokua namchukulia kama mtu muhimu maishani mwangu😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…