Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Ni suala la muda tu, utapenda tena. Kama mimi nimependa tena basi naamini kila mtu anaweza kupenda tena aisee.
Haya mambo hayana mwenyewe hata ww.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Ahsante sana nkamu, nimeanza kuachilia na kukubaliana na matokeo kwamba he wasn't mean for meπŸ˜ͺ
 
Ahsante !naanza kujifunza kuishi bila yeye, nimekubali matokeo
 
Pole mkuu hadi nimecheka hiyo "thawa sweetheart "πŸ˜„
 
Una uhakika nikikwambia cha kufanya utakifanya kweli mkuu ili uweze kuondokana na hizo moments & memories kuhusu huyo Ex wako?
Mkuu am serious kama unahisi kuna kitu kitanisaidia niambie tu am ready ili mradi kiwe ni halali na kinachofuata maadili yetu
 
Ahsante sana nkamu, nimeanza kuachilia na kukubaliana na matokeo kwamba he wasn't mean for me[emoji25]
Kandamizia na maombi nkamu; cut all the soul ties formed between you two, and renounce the covenants you made.
Likija kupita hili; kuna siku utakumbuka halafu utatamani hadi ujipige kofi kwamba ulikuwa unachanganyikiwa nini
 
Bado unamchunguza sana mpaka unajua kuwa ananenepa. Na nakuhakikishia kama unaendelea kumfatilia utaendelea kuumia mwisho ukaribishe maradhi mengine.
Ni kweli huwa nafatilia na nadhani ndiyo kinachonikumbusha na kuumiza zaidi sirudii maana namuona tu anapendeza huku mimi nikichakaa sana tuπŸ˜’
 
Dah hongera kwa kumove on mkuu, huyo dada alichezea bahati mwenyewe sahivi angekua ndiye mother house badala ya kuomba kibarua hapo
 
Ni mahusiano tu ya kawaida boyfriend n girlfriend hatukufikia hatua ya uchumba hata ila ni vile nilikua nampenda sana naona zile good memories zinanisumbua . Ila najitahidi kutoka huko
 
Ahsante sana, najikeep busy tu sitaki kumsumbua tena kwa namna yoyote
 
πŸ˜‚ mi sitaki kuona zake from now! Ahsante mkuu
 
Hahaaa eti sauti nzuri kubwaaaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…