Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Hakika kabisaah yaan. Unenena haswaaah.
 
Kwani mapenzi yana baunsa wa kinyaki? Tunamshukuru Mungu tulipita huko salama, sasa hivi tumekuwa kina aunt Sadaka. Ntakuandikia kitabu cha simulizi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau kuni tag.
 
Kuna boya hapa linataka kujinyonga demu kasepa na kijiji kasema hamtaki jamaa na status anamuweka jamaa yake mpya toka wiki iliyopita sijui alipewa nini na huyu manzi kupenda hivi ilikua olevel ila hili jamaa na midevu yake linalia kisa penzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kandamizia na maombi nkamu; cut all the soul ties formed between you two, and renounce the covenants you made.
Likija kupita hili; kuna siku utakumbuka halafu utatamani hadi ujipige kofi kwamba ulikuwa unachanganyikiwa nini

It makes a lot of sense! This is all she needs for now.
 
Na ubarikiwe sana, hebu achana naye huyo, anza upya mbna wanaume wengi sana dea tena wa kumwaga lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kandamizia na maombi nkamu; cut all the soul ties formed between you two, and renounce the covenants you made.
Likija kupita hili; kuna siku utakumbuka halafu utatamani hadi ujipige kofi kwamba ulikuwa unachanganyikiwa nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mommy kweli mapenzi yanaumiza kiasi hiki? Mbna mie siamini na sielew kabisa.
 
Hii Ni kweli Kabisa...
 
Ndiyo huwezi amini ni sauti yake pia inayonifanya nimkumbuke zaidi! Sauti ya kokoto wangu mwee, mnyakyusa wa watu miye nakufa[emoji25]

Hahahaaa pole mdada wa kinyaki, life must go on. Atakuja mnyakyusa mwenzako kukupenda, si unajuaga vile kaka zako wanajuaga kupenda? He will spoil you with nyaki love [emoji3590]. Heaven Sent kama kuna kaka ako huko ambaye hana mke jaribu kumfanyia connections binti [emoji23]
 
Moyo kama umepata ganzi yasijekutokea tena yale yale tena wakulungwa mmh[emoji848]

Don’t worry about whatever you lost. It’s the Almighty’s way of reminding you that better things are in store. He will open doors you never imagined and bring about restoration. So don’t be sad and pine over whatever’s gone. Instead, look forward towards what’s to come! The best is yet to come
 
Akitaka kurudi ntawaona tena kwa ushauri zaidi[emoji23]

Hakikisha pia unaanza kujipenda , kula vizuri nawiri ili ung’ae. Give yourself the love you deserve, be your priority. Always go out in public dressed like you're about to meet the love of your life. It'll help you gain confidence. Jinunulie viwalo vizuri utokelezee, usiomboleze kama mjane yuko eda, go out and mingle. Mengine utakutana nayo huko mbele ya safari
 
Shida ukute jamaa ameshajua udhaifu (pa kumuumizia) tunampa moyo baada ya week jamaa anamtext "hellow ,i miss you" .akiona hii text moyo paaaaa!!!!!! hisia zinarud mwanzo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Unajua sms ya mpenz wako hata kama mmeachana akikutumia ni kama amekurudisha mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…