Kumbe JF tumo wengi na mimi huku kuna binti kaniacha aisee, ni miezi miwili sasa imepita yy kaishaendelea na maisha yake ila bado najitahidi kumsahau ila wp najikuta tu nimeshaanza kumtumia txt namkubusha ahadi yetu namkumbusha mwanzo wetu, lkn kinachonisikitisha sana ndiye bnti wa kwanza kudate na mimi katika maisha yangu, nasikia yeye ashagaolewa ila mimi bado nakazana tu yaan nimekuwa kama vile siamini...ile mood nilokuwa nayo ya kufanya mazoezi kila day nayonahis imeniacha yaani mambo yamekuwa zig zag, nilikuwa ninauwezo wa kupiga push ups 60 siku hizi nashindwa ata 20 yaani kiujumla nimedhoofika
Kwa hiyo dada hauko pekee yako cha kufanya chukua hii namba yangu 0694094773 tusaidiane kujifariji maake nimeingia JF kutafta ushauri japokuwa sijapost kitu ila nilikuwa naimani nitakutana na wa2 wenye hali kama niliyopo mimi. Ila dada pole amini yote yatapita, utazishinda hisia