Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Huyu kalumbu wako atakua hana jeuri ya kinyaki, atakua mnyakyusa wa Tukuyu huyu. Angekua wa mu ngonde mnyaki wa Kyela sa hizi asha move on kitambo, hakuna cha kokoto wala jiwe [emoji23]. Wanyaki wa Tukuyu jifunzeni kwa wenzenu wa Kyela [emoji23] jeuri yao sometimes inawasaidia
 
Ni kweli kabisa wale dada zangu wa kule lazima watafute kakitu ka ku undervalue halafu wana move on kwa raha zao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ili kusaidiwa hebu kuwa muwazi sababu za kuachana.

1. Je ulichepuka/Alichepuka?
2. Ni Mume wa mtu au wewe ni Mke wa mtu
3.
4.
5.
 
uzi unasema ,ni jinsi gani uliweza kumove on. (NI JINSI GANII ULIWEZA ???)

ila haya mapenzi yametutesa wengi thread imeuliza ni jinsi gani uliweza kumove on.watu tumekuja kucomment vilio vyetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].tumeamua kuungana na mtoa mada
 
Ili kusaidiwa hebu kuwa muwazi sababu za kuachana.

1. Je ulichepuka/Alichepuka?
2. Ni Mume wa mtu au wewe ni Mke wa mtu
3.
4.
5.
Sababu ni
1) ilikua ni Long distance relationship Majukumu yalifanya tukawa na mahusiano ya mbali mbali
2) Wivu baina yetu hasa mimi, nilikua kama naona mwenzangu kabadilika hivo nikijaribu kumdadisi kidogo unaibuka ugomvi.
 
Nimegundua ni wengi tunapitia haya ama tumeshawahi kupitia before, ila kuna mbinu za kumove on pia wadau wametushauri👍 i appreciate it.
 
Oooh okay!! Na sasa bado mko long distance ambayo ndiyo sababu kubwa ya kuachana? Je ushaingia kwenye mahusiano mapya?
 
Sababu ni
1) ilikua ni Long distance relationship Majukumu yalifanya tukawa na mahusiano ya mbali mbali
2) Wivu baina yetu hasa mimi, nilikua kama naona mwenzangu kabadilika hivo nikijaribu kumdadisi kidogo unaibuka ugomvi.

Alikua hakupendi tu huyo ndugu yangu, long distance sio issue, watu wanaishi mabara tofauti na bado hawaachani sembuse wewe mpo wote Tanzania hii hii [emoji847].
 
Nimegundua ni wengi tunapitia haya ama tumeshawahi kupitia before, ila kuna mbinu za kumove on pia wadau wametushauri👍 i appreciate it.

Mimi mwenyewe am crossing the same bridge kwa mwaka wa nne sasa. Am married and the dada is also married lakini wote bado tunapendana worse enough we have some interest hooking us in cordial ties (business not mtoto).

She thinks of me throughout I do either na amejaribu sana tuwe tuna sex but I am strongly refusing.
That's life
 
Hahaha sijipatii picha ningekuwa wa Kyela; hapa tu ni wa Tukuyu ila khaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni kweli kabisa wale dada zangu wa kule lazima watafute kakitu ka ku undervalue halafu wana move on kwa raha zao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini hamkuoana sasa? Wenzi wenu wanajua kama mna hizo interest zenu?
 
Ha haa we mkuu hii gia uliyoitumia hapa kurusha ndoano nimeipenda
 
Ndio tiba yenyewe kwa mwenye mkasa. Akisikia waliyopitia wenzie ataona wanaofanana na waliomzidi. Hivyo ni rahisi kusonga mbele kwa kuwa ataona ni ya kawaida na huwakuta watu wote. Ni tofauti na akikaa na jambo lake kifuani.

Ni tiba muhimu sana ya akili hiyo.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…