Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Kwa hiyo Kalumbu financial services umeshindwa kabisa kumove on ndani ya mwaka mmoja kisa sauti kokoto?[emoji848]
Kuteseka kwako ndio kunamfanya aendelee kukutesa. Siku ukiamua kula jiwe ukakubaliana na hali in hard way basi mambo yote yataenda sawa.
Wewe jambo kitu kitakachokusaidia ku move on ni ku delete kila kilicho chake ikiwemo ndugu na marafiki zake. Usione chochote kinachomhusu. Ila usikurupuke kuvamia watu utaumia tukashindwa kwenda Urumi kujumua ulezi [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Huyu kalumbu wako atakua hana jeuri ya kinyaki, atakua mnyakyusa wa Tukuyu huyu. Angekua wa mu ngonde mnyaki wa Kyela sa hizi asha move on kitambo, hakuna cha kokoto wala jiwe [emoji23]. Wanyaki wa Tukuyu jifunzeni kwa wenzenu wa Kyela [emoji23] jeuri yao sometimes inawasaidia