Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Pole sana kwa hisia kali za kutesa namna hiyo coz kwa binadam wa kawaida lazima ufeel hivo uukiachwa but ikiacha huez feel kitu hko but nnacho kushauri mkubalie huyo bwana anaekutongoza saivi afu mpe moyo wako akutunzie i guarantee that ni week 2 tu utapona lakini ukibaki unamuwaza afu masela wengine unawachomolea nje sababu ya huyo jamaa mmoja My Friend utatutukana wanaume wote kwa kosa la kwako pekeako la kusubiri meli airport
 
Thank you mkuu and i tried several times but nashindwa. Ntajitahidi zaidiπŸ‘
Kushindwa kwako Ni kunatokana na wewe kuiruhusu akili yako kumfikilia.

Kwa lugha rahisi unajiendekeza tu.Sioni kwann ushindwe kama una nia thabiti ya kumsahau utamsahau tu.

Futa Picha zote zinamuhusu,mawasiliano na chochote ambacho ukikiona utakumbuka uwepo wake. Then jikeep busy uwe home ama ofisini.

Tafuta kampani,usiruhusu kukaa peke yako kwa muda mrefu otherwise uwe umelala.

Inashangaza na kuumiza dunia yote hii yenye watu bilioni na kitu unasumbuka na kiumbe mmoja ambaye madhaifu yake binafsi yanakukosesha raha.

Mwisho kabisa Sali sana, Kuna tumaini la kweli ukiwa karibu na Mungu.
 
Mzee mwezangu unahitaji mambo matatu
1. Maombi
2. Muda
3. Mtu wa kukufanya usahau
I went through the same shit, bt am over it, saiv ht akinivulia sishtuki...[emoji1787][emoji1787]
Ila pole sana best.. that's the way of life.
 
Walahi napendaga vitu kuumana Kama hivi..🀣
 
Kwa ushaur zaid njoo pm.
 
Huwa mnapasha kiporooo..?
 
Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu...
Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Jiandae na spana namba 10 braza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inaonekana unatembelea uzi ulioloana! Ila unajipa moyo tu
 
Wahuni mmeumizwa sana na mapenzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…