Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Thank you mkuu and i tried several times but nashindwa. Ntajitahidi zaidi👏
Usitumie nguvu nyingi kumsahau..

Kwa sababu kwa kufanya hivyo itakufanya uzidi kumkumbuka..

Ishi maisha ya kawaida huku ukijipa thamani zaidi na kujipenda..

Muda huponya kila kitu..

I've been there..😂😂 sikuwahi kufikiri kutoa machozi kwa ajili ya mtoto wa mtu, but i did..

Lakini leo, hata aje ajitolee mahari siwezi mchukua kama mke wangu.
 
Aah mimi nimelia sana na ndiyo kwanza mwenzangu ni kama anafurahia kuumia kwangu. I hope siku ntakua sawa tu.👏
 
Unasema ukudhani atarudi...
Kwa nini wewe usimuendee ukamwambia vile unampenda ukamuomba mrudiane?
Muda mwingine mtu anakuwa anaogopa akija kwako kuomba kurudi ukikataa atafedheheka.
Kwa hiyo huenda hata yeye anakuwaza huko.
Aah siwezi mwambia itakua kama namlazimisha hivi nilidhani mwenyewe tu kama kweli na upendo kwangu angeweza kurudi.🙄
 
Aah mimi nimelia sana na ndiyo kwanza mwenzangu ni kama anafurahia kuumia kwangu. I hope siku ntakua sawa tu.👏
Acha kuonyesha unyonge wako kwake..

Binadamu tuna asili ya kufurahia watu wengine wakiteseka kutokana na kutokuwepo kwetu katika maisha yao, inafanya tujihisi sisi ni wa muhimu sana.

Kwa hiyo, kama umekuwa ukimuonyesha kuwa unaumwonyesha wewe ni dhaifu sana bila yeye ukiamini kwa kufanya hivyo utamfanya arudi, ndugu yangu huduma za kifedha utakuwa unajiumiza mwenyewe zaidi.

Nakomea hapa, ngoja niwaache na wengine wajazie nyama..

Kila lenye heri dada huduma za kifedha..
 
Back
Top Bottom