Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787]Hahahhahah nimecheka kama mazuri. Daah kuna watu wanajua kuumiza wenzao; naamini ulishapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Hahahhahah nimecheka kama mazuri. Daah kuna watu wanajua kuumiza wenzao; naamini ulishapona
Ahaha nacheka lakn naogopa ila co dem wako tena apo ulipaswa kusema x wang akajibu ......(jokes) naiman unajiuguliaza zako maumivualinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".
baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"
sikilizia ayo maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".
baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"
sikilizia ayo maumivu.
Aah mimi nimelia sana na ndiyo kwanza mwenzangu ni kama anafurahia kuumia kwangu. I hope siku ntakua sawa tu.[emoji122]
Aah siwezi mwambia itakua kama namlazimisha hivi nilidhani mwenyewe tu kama kweli na upendo kwangu angeweza kurudi.[emoji849]
Ngoja tucheke tuongeze siku[emoji1787][emoji1787]
Shikamoo mapenziNi suala la muda tu, utapenda tena. Kama mimi nimependa tena basi naamini kila mtu anaweza kupenda tena aisee.
Marahabaa binti wifi kwaniaba[emoji12]
Kama bado unaweza kuona status zake na ye anaona zako jipe muda kula unenepe msambwanda uongezeke,wanaume wakiona unapendeza baada ya break up roho huwa zinawauma,ukishapendeza tupia pamba jipost status,wee sikilizia balaa lake!atakusaka mwenyewe na we usikubali kurudi kwake tena!
Akishakutafuta hapo tayari utapata ujasiri wa kumove on as utajua kumbe jamaa bado anakuelewa,hii nimeona kwa wengi imewasaidia!
Halafu hivi wewe huwa huteswi na haya madude!! Hebu tupe kisa ulivyotendwa huko maana naona hapa ni maconfession tu[emoji12]Hehehehehe usiniambie bana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Espy
Mwanzo ilikuwa inasomekaje?Huu uzi heading mbona Inasoma kivingine tena?
Ahsante now siwezi mbembeleza tena, i played my part but didn't work out
Duh grave mistake [emoji17] i have a plan to get back to school just to keep me busy. I hope it's gonna work out [emoji120]
Sasa my darling financial services , ungekuwa unapitia changamoto kama ya kwangu, ungepata maumivu ya kiasi gani?
Mimi rafiki yako nimempoteza mke wa ndoa! Tena alikuwa ni wife material kweli kweli! Ameniachia watoto 2! Mwaka wa pili huu, hata sijielewi! Nimeshindwa kabisa ku move on!
Ilikuwa haiwezi kupita siku bila kuwasiliana nae! Leo ni mwaka wa pili huu, siwezi kuisikia sauti yake! Siwezi kumuona tena! Familia imeparanganyika!
Natamani kumpata wife material wa kiwango chake, simuoni! Wachache niliokutana nao, naona hawakidhi vigezo!! Kwa upande wako unatakiwa kumshukuru Mungu! Maana inawezekana ulimpenda tu, ila yeye hakukupenda kwa kiwango kile kile!
Kuna binadamu ni wabaya Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tucheke tuongeze siku
Halafu hivi wewe huwa huteswi na haya madude!! Hebu tupe kisa ulivyotendwa huko maana naona hapa ni maconfession tu[emoji12]