minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 479
- 859
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kwa sautUkikutana na mtu usie mjua halafu akakusemesha MPIGE KOFI KALI SANA.
Hiyo ndio formula
😂😂😂usiseme tu uongo,tueleeze walikupa mchongo gani kuzidi thamani ya simu,mkoba na pesa uliyowapa.Wee ni muongo sana, khaaah.
Ukiweza kujizuia na tamaa za pesa za haraka ,
Kamwe huwezi kutapeliwa
Nakumbuka siku moja zamani kidogo,
Nilikuwa pale ubungo maji,, Daresalam.
kabla ya hii barabara ya mwendo Kasi kujengwa.
Niliisubiri daladala kwa muda mrefu baadae daladala la posta likafika,
nikatulia zangu mbele kwa dereva
Kati ya watu tuliokuwapo ndani ya daladala alikuwapo dada mmoja umri kama 30 hivi,
Muda wote alikuwa na wasiwasi kama ana Jambo linamsumbuwa..
Baada ya daladala kufika kituo cha manzese,
Yule dada alifunguwa mkoba wake akatoa bahasha fulani ya rangi ya kakhi,
Baada ya kufunguwa alipiga Kelele kwa sauti
'''Mama!! Nimetapeliwa,""
Nitamueleza nini mume wangu.
Ikabidi nijaribu kumbembeleza na kujuwa kulikoni?
Baada ya kumsikiliza kwa makini,
Nikagunduwa tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..
Yule dada alitoka na mumewe kimara,
Wote wakashuka kituo cha ubungo maji,Ila walikuwa na safari tofauti.
Mumewe akavuka barabara upande wa pili wa jengo la Tanesco ,
Ili akapande magari yanayoelekea buguruni.
Wakati huo bado Pana stand ya daladala pale ubungo Tanesco.
Sasa yule dada anasema wakati anaagana na mumewe,
Alipita Kaka mmoja akadondosha bahasha fulani ya rangi ya khaki.
Yule dada aliiona Ile bahasha akataka kumuita yule kaka aliyoangusha Ile bahasha,
Akatokea jamaa mwingine akaokota Ile bahasha,mbele ya yule dada.
Akaifunguwa Ile bahasha ilikuwa na pesa kibunda cha noti ndani yake.
Kabla hajakaa Sawa akarudi yule Kaka wa mwanzo aliyedondosha Ile bahasha akaja kuulizia pale.
Nimeangusha bahasha ina 1.5 million,
Yule Kaka alilalamika pale mbele za watu,
Lakini jamaa alikana kuokota Ile bahasha.
Pale pale yule jamaa aliyeokota bahasha akamwambiya yule dada,
Hizi ni pesa nyingi,
Na huyu kijana lazima atarudi tena kabla daladala halijaja,
Sasa chukuwa hii bahasha nisubiri kituo cha mbele pale shekilango.
Mimi nakuja.
Jamaa alimwambiya yule dada
Muda wote mume wa yule dada yupo upande wa pili anaona tukio zima,
Ikabidi ampigie simu mkewe ,
vipi mbona upo na hao jamaa kuna nini?
Dada akamwambiya ni jamaa tu mgeni anauliza njia,
Lakini mumewe bado akawa anasumbuwa kwa simu,
Mwisho dada akawa hapokei simu ya mumewe.
Kilichofata baada ya dada kupewa bahasha,
Yule jamaa aliyeokota bahasha, akamwambiya yule dada,
Sasa Mimi nakuamini vipi?
Kukupa 1.5 milion wakati sikujuwi?
""Kama vipi niachie simu yako,''
Tangulia shekilango kituoni,
"Nakuja tugawane."
Dada alikuwa na simu nzr Sana smart.
Kabla dada hajatoa maamuzi ya kutoa simu ,
Yule aliyeangusha pochi akarudi tena,
Akasema jamani nimeangusha milioni na nusu,
Atakayeona bahasha plz ni pesa za Ada ya chuo.
Please, please,jamaa alijiliza pale kituoni
Yule dada akaona simu kitu gani mbele ya 1.5.
Akampa jamaa simu,
Akaingia ndani ya gari.
Kufika manzese ndy dada akaamua kufunguwa Ile bahasha ili azihesabu pesa vizuri.
Anakutana na makaratasi yaliyopangwa vzr kama kibunda cha noti
Na mbaya zaidi hata yule dada mwenyewe,
alipanga kumdhulumu aliyeokota bahasha,
Sababu aliambiwa ashuke shekilango,
Matokeo yake akaamua kupitiliza kituo hadi manzese..
Tamaa hupelekea kutapeliwa.
Hakunipa mchongo wowote hata, wee acha uongo wako hapa.[emoji23][emoji23][emoji23]usiseme tu uongo,tueleeze walikupa mchongo gani kuzidi thamani ya simu,mkoba na pesa uliyowapa.
Mkuu; Ndg. yangu, neno Ujinga (by Definition) ni Hali ya Mtu yeyote yule mimi au wewe kutokujua au kuwa na ufahamu kuhusu jambo fulani.Hebu fafanua vyema huo Ujinga wa Muathirika. Utakuwa umesadia wengi...!
Asante mkuu kwa tahadhari. Anayedharau huu ujumbe wako mwache abaki hivyo hivyo mpaka yamkute. Nimeshafunga kumsikiliza mtu nisiyemfahamu. Sasa hivi mtu yeyote anayetaka msaada kwangu wa kuuliza kitu chochote simsikilizi wameshawaharibia hata watu wema. Sina muda kabisa. Mwaka jana kuna mdada kanipumbaza mpaka nikaenda kutoa pesa benki tena kwa wakala badala ya ATM. Mambo ya kipumbavu kabisa. Sasa hivi wanahitaji msaada wa kutu chochote kwangu kabla sijajibu chochote nawakata jicho la hatari mpaka wanakimbia wenyewe!Habari wakuu
Kwa muda mrefu nimekutana na kesi mbalimbali za watu kuibiwa kwa namna ya kupumbazwa akili ( hypnosis).
Unakutana na mtu anakusalimia, ukishaitikia tu ndo kosa lako[emoji51][emoji51] .. Unakuja kushtuka ulishampa simu, wengine huenda hata bank na kutoa hela na kuwapa hao matapeli.[emoji2365] imagine enzi niko sekondari kuna classmate yeye aliwapa mpaka mkanda wake wa kiunoni manzese pale[emoji16]
Binafsi sijawahi kukutwa na hayo maswaibu, ila najiuliza ni nini kinga ya watu kama hao au hii mbinu ina Apply kwa baadhi ya watu tu ?
[emoji3][emoji3][emoji3] ni wa kuuliwa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila matapeli jaman khaaah
Mjini shule sana yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiweza kujizuia na tamaa za pesa za haraka ,
Kamwe huwezi kutapeliwa
Nakumbuka siku moja zamani kidogo,
Nilikuwa pale ubungo maji,, Daresalam.
kabla ya hii barabara ya mwendo Kasi kujengwa.
Niliisubiri daladala kwa muda mrefu baadae daladala la posta likafika,
nikatulia zangu mbele kwa dereva
Kati ya watu tuliokuwapo ndani ya daladala alikuwapo dada mmoja umri kama 30 hivi,
Muda wote alikuwa na wasiwasi kama ana Jambo linamsumbuwa..
Baada ya daladala kufika kituo cha manzese,
Yule dada alifunguwa mkoba wake akatoa bahasha fulani ya rangi ya kakhi,
Baada ya kufunguwa alipiga Kelele kwa sauti
'''Mama!! Nimetapeliwa,""
Nitamueleza nini mume wangu.
Ikabidi nijaribu kumbembeleza na kujuwa kulikoni?
Baada ya kumsikiliza kwa makini,
Nikagunduwa tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..
Yule dada alitoka na mumewe kimara,
Wote wakashuka kituo cha ubungo maji,Ila walikuwa na safari tofauti.
Mumewe akavuka barabara upande wa pili wa jengo la Tanesco ,
Ili akapande magari yanayoelekea buguruni.
Wakati huo bado Pana stand ya daladala pale ubungo Tanesco.
Sasa yule dada anasema wakati anaagana na mumewe,
Alipita Kaka mmoja akadondosha bahasha fulani ya rangi ya khaki.
Yule dada aliiona Ile bahasha akataka kumuita yule kaka aliyoangusha Ile bahasha,
Akatokea jamaa mwingine akaokota Ile bahasha,mbele ya yule dada.
Akaifunguwa Ile bahasha ilikuwa na pesa kibunda cha noti ndani yake.
Kabla hajakaa Sawa akarudi yule Kaka wa mwanzo aliyedondosha Ile bahasha akaja kuulizia pale.
Nimeangusha bahasha ina 1.5 million,
Yule Kaka alilalamika pale mbele za watu,
Lakini jamaa alikana kuokota Ile bahasha.
Pale pale yule jamaa aliyeokota bahasha akamwambiya yule dada,
Hizi ni pesa nyingi,
Na huyu kijana lazima atarudi tena kabla daladala halijaja,
Sasa chukuwa hii bahasha nisubiri kituo cha mbele pale shekilango.
Mimi nakuja.
Jamaa alimwambiya yule dada
Muda wote mume wa yule dada yupo upande wa pili anaona tukio zima,
Ikabidi ampigie simu mkewe ,
vipi mbona upo na hao jamaa kuna nini?
Dada akamwambiya ni jamaa tu mgeni anauliza njia,
Lakini mumewe bado akawa anasumbuwa kwa simu,
Mwisho dada akawa hapokei simu ya mumewe.
Kilichofata baada ya dada kupewa bahasha,
Yule jamaa aliyeokota bahasha, akamwambiya yule dada,
Sasa Mimi nakuamini vipi?
Kukupa 1.5 milion wakati sikujuwi?
""Kama vipi niachie simu yako,''
Tangulia shekilango kituoni,
"Nakuja tugawane."
Dada alikuwa na simu nzr Sana smart.
Kabla dada hajatoa maamuzi ya kutoa simu ,
Yule aliyeangusha pochi akarudi tena,
Akasema jamani nimeangusha milioni na nusu,
Atakayeona bahasha plz ni pesa za Ada ya chuo.
Please, please,jamaa alijiliza pale kituoni
Yule dada akaona simu kitu gani mbele ya 1.5.
Akampa jamaa simu,
Akaingia ndani ya gari.
Kufika manzese ndy dada akaamua kufunguwa Ile bahasha ili azihesabu pesa vizuri.
Anakutana na makaratasi yaliyopangwa vzr kama kibunda cha noti
Na mbaya zaidi hata yule dada mwenyewe,
alipanga kumdhulumu aliyeokota bahasha,
Sababu aliambiwa ashuke shekilango,
Matokeo yake akaamua kupitiliza kituo hadi manzese..
Tamaa hupelekea kutapeliwa.
Hakika mkuuMjini shule sana yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ni wa kuuliwa kabisa
Asante mkuu kwa tahadhari. Anayedharau huu ujumbe wako mwache abaki hivyo hivyo mpaka yamkute. Nimeshafunga kumsikiliza mtu nisiyemfahamu. Sasa hivi mtu yeyote anayetaka msaada kwangu wa kuuliza kitu chochote simsikilizi wameshawaharibia hata watu wema. Sina muda kabisa. Mwaka jana kuna mdada kanipumbaza mpaka nikaenda kutoa pesa benki tena kwa wakala badala ya ATM. Mambo ya kipumbavu kabisa. Sasa hivi wanahitaji msaada wa kutu chochote kwangu kabla sijajibu chochote nawakata jicho la hatari mpaka wanakimbia wenyewe!
Hawatumii dawa wala nini,ni tamaa zako tu.
Watakuulizia sehemu,unapowapeleka mnatembea ndio wanaanza kukupigisha story za maisha sijui kuna issue ya kupiga pesa nyingi.
Kwa hiyo unaambiwa uweke kiasi flani ili upige zaidi kumbe hapo ndio unapigwa.
Tamaa yako ndio msingi wao