cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wee acha tyuuhWangeniibia..sijui ilikuaje yaani nilishtuka mapema .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wee acha tyuuhWangeniibia..sijui ilikuaje yaani nilishtuka mapema .
Kuna dawa inaitwa Scopolamine....unaweza kuangalia documentary hapo chini
Pia soma:
![]()
Devil's Breath: Urban Legend or the World's Most Scary Drug?
Stories circulating about “Devil's Breath” are making their way around the world. Are these sensationalized stories part of an urban legend or a factual crime scene?www.drugs.com
[emoji3][emoji3]Huyu kweli tamaa ilikuwa online tena kifurushi cha mwezi unlimited [emoji16]
Hawatumii dawa wala nini,ni tamaa zako tu.
Watakuulizia sehemu,unapowapeleka mnatembea ndio wanaanza kukupigisha story za maisha sijui kuna issue ya kupiga pesa nyingi.
Kwa hiyo unaambiwa uweke kiasi flani ili upige zaidi kumbe hapo ndio unapigwa.
Tamaa yako ndio msingi wao
Aiseee ni vile tu usiongeee ongeee ovyo na stranger'sHabari wakuu
Kwa muda mrefu nimekutana na kesi mbalimbali za watu kuibiwa kwa namna ya kupumbazwa akili ( hypnosis).
Unakutana na mtu anakusalimia, ukishaitikia tu ndo kosa lako[emoji51][emoji51] .. Unakuja kushtuka ulishampa simu, wengine huenda hata bank na kutoa hela na kuwapa hao matapeli.[emoji2365] imagine enzi niko sekondari kuna classmate yeye aliwapa mpaka mkanda wake wa kiunoni manzese pale[emoji16]
Binafsi sijawahi kukutwa na hayo maswaibu, ila najiuliza ni nini kinga ya watu kama hao au hii mbinu ina Apply kwa baadhi ya watu tu ?
Sio Wote ni Kutapeliwa Mkuu! Wengine ni kupumbazwa TU! Shukuru Mungu TU Wewe hayajakufika. Usiwaona Wote Wajina na Waliponzwa na Tamaa zao!!Wote hawa walitapeliwa kwa tamaa zao za kupenda vya bure. Hakuna cha dawa wala nini. Mimi nimejaribi kuuliza sana kwa undani kuhusu watu waliodai walitapeliwa kwa kutumia ''dawa'' lakini katika cases zote niligundua kitu kimoja. Walitekwa kimawazo kwa tamaa zao za kupenda short cut na walipokwisha kupoteza mali au fedha zao wakazingizia kuwa hawakuwa na ufahamu.
Naomba hii konekisheni ntakufa kwa madeni.Kutapeliwa hakuna formula kabisa
unaweza kutapeliwa na mtu wako wa karibu, i.e ndugu jamaa ama marafiki
watu wasiokujua watatumia madawa kukupiga.
kuna mganga ashanisimulia jinsi watu wanavyoenda kwake kutafuta hizo dawa.
Hayo madawa huwa yanachanganywa na dawa za mvuto pamoja na kupewa mapepo maalum ya utambuzi na kupumbaza.
Madawa mengine makali wanayotoa ni ya kusahaulisha wadeni, kuua kesi mahakamani, n.k
hii dunia ni nzito sana sio kama tunavyoijua
Oya nipe connection ya dogo huyo, Ramadhan ikiisha nimuibukieNiliwahi kukutana na dogo mmoja ila ni zamani miaka ya 2001 alikuwaga mtoto wa mganga maarufu kijijini kwetu miaka hiyo
Yule dogo alikuwaga kachanjiwa dawa akimshika mkono demu tu hapohapo demu analegea anamfuata jamaa anaenda kula zigo
Ungejikuta mnazunguka tu,lazima walikupigisha story za michongo hukuwapa muda tu ndio pona yakoMwaka 2014 nilikutana nao Bamaga nilikua naelekea sayansi nipo kwa mguu nilikutana na huyo kaka anaulizia hospitali jina nimesahau nikamuambia sipajui muda huo huo akatokea kaka mwingine, huyu kaka alienisimamisha mara ya kwanza akamsimamisha yule kaka mwingine akamuuliza hiyo hospital yeye akasema anaijua ipo barabara ya kuelekea Sinza ila hana muda anielekeze mimi nimpeleke.
Sijawah elewa nini kilitokea kweli niliondoka nao tumefika karibu na Afrika sana nikajiuliza naenda huku kufanyaje nikawaambia jamani mnanipotezea muda wewe kaka unaeijua hiyo hospital mpeleke mwenyewe mie nna safar zangu wakaanza kulalamika tusaidiane mimi nikasepa. Nipo njiani kurudi nikawa najiuliza ilikuaje nikaondoka nao ila hawa hawakuniibia chochote nilikua na begi la mgongoni lina nguo, simu na hela kidogo tu.
Toka pale sijawahi kutana tena na watu wa namna ile ila stori za watu kuibiwa kwa namna hizi zipo nyingi sana.
Mtu mwingine wa kuwa nae makini yule mlie potezana nae mda mrefu haswa labda mlisoma pamoja miaka au Lah , kuna jamaa nilisoma naye o'level nilikuta mjini baada ya miaka mingi akakimbia na simu yangu . Yaani kaomba simu katika nje kama anaongea na kuacha viatu vyake kachukua makubazi ya pale home ndio kasepa moja kwa moja hadi leo sijamuona tenaUmeshaambiwa potezea mtu anayejaribu kuanzisha na wewe maongezi na huna idea kama unafahamiana naye au umewahi kukutana naye sehemu, hasa hisia zako zinapokutuma hivyo potezea wala usifikirie mara mbili......
Hatari sana...Mtu mwingine wa kuwa nae makini yule mlie potezana nae mda mrefu haswa labda mlisoma pamoja miaka au Lah , kuna jamaa nilisoma naye o'level nilikuta mjini baada ya miaka mingi akakimbia na simu yangu . Yaani kaomba simu katika nje kama anaongea na kuacha viatu vyake kachukua makubazi ya pale home ndio kasepa moja kwa moja hadi leo sijamuona tena
Wale wajinga walikua wanaongea muda wote na sana sana walikua wanasemeshana wenyewe, hadi nikajiuliza hawa hawajuani hizi stori ni wapi zinatoka.Mimi waliniuliza tu unasoma ama unafanya kazi wapi unatoka n.k ila maswali mengine niliwakazia sikuwajibu. Sijuagi ilikuaje ndio nikawastopisha wananipoteza muda wangu nikawaacha.Ungejikuta mnazunguka tu,lazima walikupigisha story za michongo hukuwapa muda tu ndio pona yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu mwingine wa kuwa nae makini yule mlie potezana nae mda mrefu haswa labda mlisoma pamoja miaka au Lah , kuna jamaa nilisoma naye o'level nilikuta mjini baada ya miaka mingi akakimbia na simu yangu . Yaani kaomba simu katika nje kama anaongea na kuacha viatu vyake kachukua makubazi ya pale home ndio kasepa moja kwa moja hadi leo sijamuona tena
Unaona hakuna cha dawa wala nini,hizo story ungejikuta umeshawishika,hata huko mnakomsindikiza mnakupotezea.Wale wajinga walikua wanaongea muda wote na sana sana walikua wanasemeshana wenyewe, hadi nikajiuliza hawa hawajuani hizi stori ni wapi zinatoka.Mimi waliniuliza tu unasoma ama unafanya kazi wapi unatoka n.k ila maswali mengine niliwakazia sikuwajibu. Sijuagi ilikuaje ndio nikawastopisha wananipoteza muda wangu nikawaacha.
Ilikuwaje?ilinikuta hii mzee dodoma hapo nilipigwa beg lina pc, modem, dawa za maza na tsh 200k tena nilimpigia manzi angu anitumie kabisa (majobles) pc manzi aliinunua haina hata mwezi
[emoji3][emoji3][emoji3]Kila nikikumbuka nalia mie [emoji24][emoji24][emoji24]
Ilikua 2019 December, npo 1St yr na 1st semester, ilikua ni pale posta pale karibu na bunge primary,
Ni weekend ilikua nkatoka zangu home, nkamtembelea shost angu pale IFM, bas nkafika palee chuon tuka meet then tukatoka kuelekea Coco beach, tuka enjoy huko then tukarud nikamuacha pale chuon kwake, mie naondoka kurud home, bas natembea tyuuh kufika karibu na pale shule nakutan na mkaka kwa kumtazama nilihis ni mwanachuo pia, coz alikua na muonekano huo.
Akaanza kunisemesha mara story kidg nkashangaa namkabizi mkoba ulikua na 180k, na cm ndogo, na funguo za ghetto, nkampa na cm kubwa niliyoshka mkononon, hata sijui nilimpaje, tukaachana tena kwaa kuagana vizuri, Mie nkaenda kupanda boda huyo home,
Fahamu imekuja kurudi nipo kwenye boda, najishangaa cna cm, mkoba pia, yaan hata sikua naelewa, kufika home jamaa inabidi nimpe naul yake nabaki kuhaha, ikabidi niingie ndani nkaomba msaada wa yule boda kuvunja kufuli nkaingia ndan nkatoa hela nkampa akaondoka, nilianza kulia mie hapo hadi kamasi,
Wallah sitasahau lile tukio kamweee. Na lilinipa funzo hapa dar, now hata marafiki siwaamini akuuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kila nikikumbukaga sometimes naliaa tyuuh. Dar hapana kwa kweli khaaaaah.
Hakufa kwa UKIMWI?Niliwahi kukutana na dogo mmoja ila ni zamani miaka ya 2001 alikuwaga mtoto wa mganga maarufu kijijini kwetu miaka hiyo
Yule dogo alikuwaga kachanjiwa dawa akimshika mkono demu tu hapohapo demu analegea anamfuata jamaa anaenda kula zigo