Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

I am aware of this myth dear. There is no any scientific proof about it. I know it is a kind of drug from a plant and it may cause blurred vision hallucinations, drowsiness etc, (same as when someone is druged), but nobody has proved is makes people to act with no free will! Ni kama madawa tu, ukipewa unalewa na kuibiwa lakini siyo kutekwa kiakili.
 

Kuna aina mbili mkuu...hiyo ya kuweka tamaa mbele sijui kuna madini nk na hii ya kupumbazwa

Nina ushuhuda wa watu wangu wawili wa karibu waliopigwa

Beware!
 
Aiseee ni vile tu usiongeee ongeee ovyo na stranger's
 
Sio Wote ni Kutapeliwa Mkuu! Wengine ni kupumbazwa TU! Shukuru Mungu TU Wewe hayajakufika. Usiwaona Wote Wajina na Waliponzwa na Tamaa zao!!
 
Naomba hii konekisheni ntakufa kwa madeni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Niliwahi kukutana na dogo mmoja ila ni zamani miaka ya 2001 alikuwaga mtoto wa mganga maarufu kijijini kwetu miaka hiyo
Yule dogo alikuwaga kachanjiwa dawa akimshika mkono demu tu hapohapo demu analegea anamfuata jamaa anaenda kula zigo
Oya nipe connection ya dogo huyo, Ramadhan ikiisha nimuibukie
 
Ufala tu wa kuamini amini vitu kirahisi.... Ungekuwa umepumbazwa usingepata akili ya kukopa pesa.....

Afu kingine ni tamaa tu za kudanganyika na utajiri
 
Ungejikuta mnazunguka tu,lazima walikupigisha story za michongo hukuwapa muda tu ndio pona yako
 
Umeshaambiwa potezea mtu anayejaribu kuanzisha na wewe maongezi na huna idea kama unafahamiana naye au umewahi kukutana naye sehemu, hasa hisia zako zinapokutuma hivyo potezea wala usifikirie mara mbili......
Mtu mwingine wa kuwa nae makini yule mlie potezana nae mda mrefu haswa labda mlisoma pamoja miaka au Lah , kuna jamaa nilisoma naye o'level nilikuta mjini baada ya miaka mingi akakimbia na simu yangu . Yaani kaomba simu katika nje kama anaongea na kuacha viatu vyake kachukua makubazi ya pale home ndio kasepa moja kwa moja hadi leo sijamuona tena
 
Hatari sana...
 
Ungejikuta mnazunguka tu,lazima walikupigisha story za michongo hukuwapa muda tu ndio pona yako
Wale wajinga walikua wanaongea muda wote na sana sana walikua wanasemeshana wenyewe, hadi nikajiuliza hawa hawajuani hizi stori ni wapi zinatoka.Mimi waliniuliza tu unasoma ama unafanya kazi wapi unatoka n.k ila maswali mengine niliwakazia sikuwajibu. Sijuagi ilikuaje ndio nikawastopisha wananipoteza muda wangu nikawaacha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaona hakuna cha dawa wala nini,hizo story ungejikuta umeshawishika,hata huko mnakomsindikiza mnakupotezea.
 
ilinikuta hii mzee dodoma hapo nilipigwa beg lina pc, modem, dawa za maza na tsh 200k tena nilimpigia manzi angu anitumie kabisa (majobles) pc manzi aliinunua haina hata mwezi
Ilikuwaje?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Niliwahi kukutana na dogo mmoja ila ni zamani miaka ya 2001 alikuwaga mtoto wa mganga maarufu kijijini kwetu miaka hiyo
Yule dogo alikuwaga kachanjiwa dawa akimshika mkono demu tu hapohapo demu analegea anamfuata jamaa anaenda kula zigo
Hakufa kwa UKIMWI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…