Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

wakigundua unawachora wanakutukana balaa kuna dogo namjua yeye aliwapa simu na ada alikua anaenda kulipia ada ya shule wakamuotea alivorudi kwa dada yake home anamuuliza mbona miguu ina vumbi na mbona nilikua nakupigia simu umezima dogo ndo akili ikamjia akaanza kulia akasema hajui nini kimetokea katembea kwa miguu hawakumbakishia hata jero ya nauli mikononi kashika bahasha ndani ina vipande vya magazeti ndio kaanza simulia kua kuna mzee na kijana walimsimamisha njiani wanaulizia hospital ambayo ni maarufu na dogo anaijua akaona isiwetabu twende niwaonyeshe we akili ikaondoka ndo kujikuta kawapa kila kitu wakampa bahasha wakasema asifungue mpaka afike home, yaani wanakugeuza zombie kwa mda akili ikirudi ndio unajutia huu uwizi wa namna hii upo sana.
 
Nakazia Mkuu; pia Tusijirahisishe sana, Tusijiachie ki-vile na kuongea na Mtu yeyote Kiholela kwa madai kwamba eti aliniongelesha au alikuwa ananiuliza....(kwa mfano wahanga wengi ni wale wanaoridhia kutoa msaada wa kuonesha njia au mahali kilipo/kinapatikana kitu fulani au huduma fulani). Wahanga hao Wapo ni wepesi kusalimiana kwa kushika mkono au kuchangamkia mazungumzo).Yupo mdau humu aliwahi kuleta uzi unaohusu jambo hilo na alielezea vizuri sana matumizi ya scopolamine. - Hakuna uchawi wowote hapo ila Ujinga wa Muathirika ndo unatumika.
Hebu fafanua vyema huo Ujinga wa Muathirika. Utakuwa umesadia wengi...!
 
wee chunga sana kuna wanaojua mpaka majina sasa we uitwe jina wakuotee nikujihami tu ukimuangalia ukiona humfahamu au haji kwenye kumbukumbu zako unakausha ukijichanganya umuulize mnafahamianaje umeliwa kosa kubwa uongee na kumtazama machoni umekwisha.
Mimi mawazo yangu yamekaa kutapeliwa kila wakati sijui kwanini, so mara nyingi simsikilizi mtu anayenisemesha barabarani hadi pale atakapoiita jina
 
wee chunga sana kuna wanaojua mpaka majina sasa we uitwe jina wakuotee nikujihami tu ukimuangalia ukiona humfahamu au haji kwenye kumbukumbu zako unakausha ukijichanganya umuulize mnafahamianaje umeliwa kosa kubwa uongee na kumtazama machoni umekwisha.
Sawa kaka, nitakuwa makini
 
Scoplomine au Burndaga upatikana uko Colombia [emoji1075] ni htr sana uondoa uwezo wa mtu wa kufikiri na kumpa nafasi tapeli kuku control kama vile Robot au zombie wengne ujikuta bdae hta ameshasaini Documents muhimu sana pasi na kujua ilikuaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu
[emoji1787][emoji1787] kama Wana dawa vile, fahamu zote zinapotea. We unahisi labda wale wenzio nao wanacheza kama wewe. Tena ndo wanakupamp kbs, we cheza tu, huwez jua Bahati ni yako, uku unaona kabisa waty wanavyopewa mativii yao kwa kuchagua namba tu [emoji2360]
 
Kila nikikumbuka nalia mie [emoji24][emoji24][emoji24]

Ilikua 2019 December, npo 1St yr na 1st semester, ilikua ni pale posta pale karibu na bunge primary,

Ni weekend ilikua nkatoka zangu home, nkamtembelea shost angu pale IFM, bas nkafika palee chuon tuka meet then tukatoka kuelekea Coco beach, tuka enjoy huko then tukarud nikamuacha pale chuon kwake, mie naondoka kurud home, bas natembea tyuuh kufika karibu na pale shule nakutan na mkaka kwa kumtazama nilihis ni mwanachuo pia, coz alikua na muonekano huo.

Akaanza kunisemesha mara story kidg nkashangaa namkabizi mkoba ulikua na 180k, na cm ndogo, na funguo za ghetto, nkampa na cm kubwa niliyoshka mkononon, hata sijui nilimpaje, tukaachana tena kwaa kuagana vizuri, Mie nkaenda kupanda boda huyo home,

Fahamu imekuja kurudi nipo kwenye boda, najishangaa cna cm, mkoba pia, yaan hata sikua naelewa, kufika home jamaa inabidi nimpe naul yake nabaki kuhaha, ikabidi niingie ndani nkaomba msaada wa yule boda kuvunja kufuli nkaingia ndan nkatoa hela nkampa akaondoka, nilianza kulia mie hapo hadi kamasi,

Wallah sitasahau lile tukio kamweee. Na lilinipa funzo hapa dar, now hata marafiki siwaamini akuuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Kila nikikumbukaga sometimes naliaa tyuuh. Dar hapana kwa kweli khaaaaah.
Sasa hao watu wanatumia nguvu za Giza au ni nn..... Inaogofya sana aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee ulikua unasafiri?
Eheee nilikuwa nasafiri tena mkoani [emoji16]. Nakaribia stendi ya mkoa, ndiyo wananidaka na namba zao, na sielew walitumia dawa gani kunipumbaza. Nakuja shtuka nishatoa simu zote, pesa 150,000 na bado nadaiwa zengine[emoji2360][emoji3064]. Mbio adi polisi, walinisaidia sbb nilikuwa kadogo Sana wakanionea huruma.
 
Sasa hao watu wanatumia nguvu za Giza au ni nn..... Inaogofya sana aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hawatumii dawa wala nini,ni tamaa zako tu.
Watakuulizia sehemu,unapowapeleka mnatembea ndio wanaanza kukupigisha story za maisha sijui kuna issue ya kupiga pesa nyingi.
Kwa hiyo unaambiwa uweke kiasi flani ili upige zaidi kumbe hapo ndio unapigwa.

Tamaa yako ndio msingi wao
 
Duh kumbe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Duh kumbe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sasa wewe umetoka zako chatto, umefika mjini afu wamekuulizia sehemu afu wakaanza kujisemesha hapo wana dhahabu za M 50 wao ni wageni uwasindikize wakauze watakugawia hata M 15.
Wanakupigia ma story hiyo M 15 si unafanyia mambo mengi tu,ukifikilia ukirudi chatto na M 15 si utakula watoto wakali wote waliokukataa.

Yani ukishaanza kuipigia hesabu hiyo hela ya kusadikika ndio mchezo umeisha.

Watauliza una shingapi/unaweza pata shingapi sijui ya ukaguzi....

Mpaka hapo utawapa hela yoyote watakayotaka
 
Ukiweza kujizuia na tamaa za pesa za haraka ,
Kamwe huwezi kutapeliwa

Nakumbuka siku moja zamani kidogo,
Nilikuwa pale ubungo maji,, Daresalam.
kabla ya hii barabara ya mwendo Kasi kujengwa.

Niliisubiri daladala kwa muda mrefu baadae daladala la posta likafika,
nikatulia zangu mbele kwa dereva

Kati ya watu tuliokuwapo ndani ya daladala alikuwapo dada mmoja umri kama 30 hivi,

Muda wote alikuwa na wasiwasi kama ana Jambo linamsumbuwa..

Baada ya daladala kufika kituo cha manzese,
Yule dada alifunguwa mkoba wake akatoa bahasha fulani ya rangi ya kakhi,

Baada ya kufunguwa alipiga Kelele kwa sauti

'''Mama!! Nimetapeliwa,""
Nitamueleza nini mume wangu.

Ikabidi nijaribu kumbembeleza na kujuwa kulikoni?
Baada ya kumsikiliza kwa makini,

Nikagunduwa tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..

Yule dada alitoka na mumewe kimara,
Wote wakashuka kituo cha ubungo maji,
Ila walikuwa na safari tofauti.

Mumewe akavuka barabara upande wa pili wa jengo la Tanesco ,
Ili akapande magari yanayoelekea buguruni.
Wakati huo bado Pana stand ya daladala pale ubungo Tanesco.

Sasa yule dada anasema wakati anaagana na mumewe,
Alipita Kaka mmoja akadondosha bahasha fulani ya rangi ya khaki.

Yule dada aliiona Ile bahasha akataka kumuita yule kaka aliyoangusha Ile bahasha,

Akatokea jamaa mwingine akaokota Ile bahasha,
mbele ya yule dada.
Akaifunguwa Ile bahasha ilikuwa na pesa kibunda cha noti ndani yake.

Kabla hajakaa Sawa akarudi yule Kaka wa mwanzo aliyedondosha Ile bahasha akaja kuulizia pale.

Nimeangusha bahasha ina 1.5 million,
Yule Kaka alilalamika pale mbele za watu,
Lakini jamaa alikana kuokota Ile bahasha.

Pale pale yule jamaa aliyeokota bahasha akamwambiya yule dada,
Hizi ni pesa nyingi,
Na huyu kijana lazima atarudi tena kabla daladala halijaja,

Sasa chukuwa hii bahasha nisubiri kituo cha mbele pale shekilango.
Mimi nakuja.
Jamaa alimwambiya yule dada

Kumbe muda wote mume wa yule dada yupo upande wa pili anaona tukio zima,
Ikabidi ampigie simu mkewe ,
vipi mbona upo na hao jamaa kuna nini?
Dada akamwambiya ni jamaa tu mgeni anauliza njia,
Lakini mumewe bado akawa anasumbuwa kwa simu,
Mwisho dada akawa hapokei simu ya mumewe.

Kilichofata baada ya dada kupewa bahasha,
Yule jamaa aliyeokota bahasha, akamwambiya yule dada,

Sasa Mimi nakuamini vipi?
Kukupa 1.5 milion wakati sikujuwi?

""Kama vipi niachie simu yako,''
Tangulia shekilango kituoni,
"Nakuja tugawane."
Dada alikuwa na simu nzr Sana smart.

Kabla dada hajatoa maamuzi ya kutoa simu ,
Yule aliyeangusha pochi akarudi tena,
Akasema jamani nimeangusha milioni na nusu,
Atakayeona bahasha plz ni pesa za Ada ya chuo.
Please, please,jamaa alijiliza pale kituoni

Yule dada akaona simu kitu gani mbele ya 1.5.
Akampa jamaa simu,
Akaingia ndani ya gari.

Daladala kufika manzese,
ndy dada akaamua kufunguwa Ile bahasha ili azihesabu pesa vizuri.

Anakutana na makaratasi yaliyopangwa vzr kama kibunda cha noti

Na mbaya zaidi hata yule dada mwenyewe,
alipanga kumdhulumu aliyeokota bahasha,
Sababu aliambiwa ashuke kituoni shekilango,

Matokeo yake akaamua kupitiliza kituo hadi manzese..

Tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..
 
Sasa wewe umetoka zako chatto, umefika mjini afu wamekuulizia sehemu afu wakaanza kujisemesha hapo wana dhahabu za M 50 wao ni wageni uwasindikize wakauze watakugawia hata M 15.
Wanakupigia ma story hiyo M 15 si unafanyia mambo mengi tu,ukifikilia ukirudi chatto na M 15 si utakula watoto wakali wote waliokukataa.

Yani ukishaanza kuipigia hesabu hiyo hela ya kusadikika ndio mchezo umeisha.

Watauliza una shingapi/unaweza pata shingapi sijui ya ukaguzi....

Mpaka hapo utawapa hela yoyote watakayotaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu tunapigwa kizembe kweli

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Eheee nilikuwa nasafiri tena mkoani [emoji16]. Nakaribia stendi ya mkoa, ndiyo wananidaka na namba zao, na sielew walitumia dawa gani kunipumbaza. Nakuja shtuka nishatoa simu zote, pesa 150,000 na bado nadaiwa zengine[emoji2360][emoji3064]. Mbio adi polisi, walinisaidia sbb nilikuwa kadogo Sana wakanionea huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila matapeli jaman khaaah
 
Hawatumii dawa wala nini,ni tamaa zako tu.
Watakuulizia sehemu,unapowapeleka mnatembea ndio wanaanza kukupigisha story za maisha sijui kuna issue ya kupiga pesa nyingi.
Kwa hiyo unaambiwa uweke kiasi flani ili upige zaidi kumbe hapo ndio unapigwa.

Tamaa yako ndio msingi wao
Wee ni muongo sana, khaaah.
 
Ukiweza kujizuia na tamaa za pesa za haraka ,
Kamwe huwezi kutapeliwa

Nakumbuka siku moja zamani kidogo,
Nilikuwa pale ubungo maji,, Daresalam.
kabla ya hii barabara ya mwendo Kasi kujengwa.

Niliisubiri daladala kwa muda mrefu baadae daladala likafika la posta,
nikatulia zangu mbele kwa dereva

Kati ya watu tuliokuwapo ndani ya daladala alikuwapo dada mmoja umri kama 30 hivi,

Muda wote alikuwa na wasiwasi kama ana Jambo linamsumbuwa..

Baada ya kufika kituo cha manzese,
Yule dada alifunguwa mkoba wake akatoa bahasha fulani ya rangi ya kakhi,

Baada ya kufunguwa Ile bahasha alipiga Kelele kwa sauti

'''Mama!! Nimetapeliwa,""
Nitamueleza nini mume wangu.

Ikabidi nijaribu kumbembeleza na kujuwa kulikoni?
Baada ya kumsikiliza kwa makini,

Nikagunduwa tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..

Yule dada alitoka na mumewe kimara,
Wote wakashuka kituo cha ubungo maji,
Mumewe akavuka barabara upande wa pili wa jengo la Tanesco Ili akapande magari yanayoelekea buguruni.
Wakati huo bado Pana stand ya daladala pale ubungo Tanesco.

Sasa yule dada anasema wakati anaagana na mumewe,
Alipita Kaka mmoja akadondosha bahasha fulani ya rangi ya khaki.

Yule dada aliiona Ile bahasha akataka kumuita yule kaka aliyoangusha Ile bahasha,

Akatokea jamaa mwingine akaokota Ile bahasha,mbele ya yule dada.

Akaifunguwa Ile bahasha ilikuwa na pesa kibunda cha noti ndani yake.

Kabla hajakaa Sawa akarudi yule Kaka wa mwanzo aliyedondosha Ile bahasha akaja kuulizia pale.

Nimeangusha bahasha ina 1.5 million,
Yule Kaka alilalamika pale mbele za watu,
Lakini jamaa alikana kuokota Ile bahasha.

Pale pale yule jamaa aliyeokota bahasha akamwambiya yule dada,

Hizi ni pesa nyingi,
Na huyu kijana lazima atarudi tena kabla daladala halijaja,

Sasa chukuwa hii bahasha nisubiri kituo cha mbele pale shekilango.
Mimi nakuja.
Jamaa alimwambiya yule dada

Muda wote mume wa yule dada yupo upande wa pili anaona tukio zima,
Ikabidi ampigie simu mkewe ,
vipi mbona upo na hao jamaa kuna nini?
Dada akamwambiya ni jamaa tu mgeni anauliza njia,
Lakini mumewe bado akawa anasumbuwa kwa simu,
Mwisho dada akawa hapokei simu ya mumewe.

Kilichofata baada ya dada kupewa bahasha,
Yule jamaa aliyeokota bahasha, akamwambiya yule dada,

Sasa Mimi nakuamini vipi?
Kukupa 1 milion wakati sikujuwi?

""Kama vipi niachie simu yako,''
Tangulia shekilango kituoni,
"Nakuja tugawane."
Dada alikuwa na simu nzr Sana smart.

Kabla dada hajatoa maamuzi ya kutoa simu ,
Yule aliyeangusha pochi akarudi tena,
Akasema jamani nimeangusha milioni na nusu,
Atakayeona bahasha plz ni pesa za Ada ya chuo.
Please, please,jamaa alijiliza pale kituoni

Yule dada akaona simu kitu gani mbele ya 1.5.
Akampa jamaa simu,
Akaingia ndani ya gari.

Kufika manzese ndy dada akaamua kufunguwa Ile bahasha ili azihesabu pesa vizuri.

Anakutana na makaratasi yaliyopangwa vzr kama kibunda cha noti

Na mbaya zaidi hata yule dada mwenyewe,
alipanga kumdhulumu aliyeokota bahasha,
Sababu aliambiwa ashuke shekilango,
Matokeo yake akaamua kupitiliza kituo hadi manzese..

Tamaa hupelekea kutapeliwa.
Duuuuuh hii sasa ndo mbayaaa, khaaaaaj
 
Back
Top Bottom