Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.

Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.

NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
 
hahah umemchoka... au sio.

kama wewe mwamba kweli mkalishe chini mwambie huoni future kati yenu hivyo kuliko kumpotezea muda ni bora kila mtu ashike lake. Japo ukifanya hivyo nasikitika kukwambia utatafunwa na hiyo dhambi miaka na mikaka

solution sasa, endelea kuishi naye hivohivo, timiza wajibu wako kwake kama mpenzi wake ila mtoe moyoni taratibu mwisho wa siku uhusiano utakwisha wenyewe tu bila fujo
 
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.

Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.

NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
Kwanini unataka muachane ilhali inaonesha anakupenda?
 
Peaceful move on is possible kama wote ni waelewa... And kesho na keshokutwa mwaeza kutana na ku gonga champagne .
Mkalishe mchane usoni atachagua yeye kusuka au kunyoa
 
h
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.

Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.

NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
mwambie ukweli
 
Usijipe umuhimu sana kama unamuacha we muache tu hakuna Cha kuachana vizuri Wala Nini!
Ukute na yeye alikua anakuchezea tu wewe ndo unajipa umuhimu!!!
 
Mwambie kuwa Kuna project unataka kuianzisha ila unahtaji mshirikiane kama wapenzi

Hivyo na yy alete sehemu ya mtaji wake muwekeze kwa pamoja

Mwambie alete Mil 15 na ww utaongezea Mil 30

Akirudi kukusumbua niite zakayo
 
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.

Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.

NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
Mpaka sasa hivi hamjaachana?
Nisije nikatoa ushauri ukamwagikia chini Bure
 
Back
Top Bottom