Kwanini unataka muachane ilhali inaonesha anakupenda?Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.
Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.
NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
mwambie ukweliWakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.
Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.
NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
Mpaka sasa hivi hamjaachana?Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.
Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.
NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza mahusiano nishafanya sana, kama ni kumkalia kimya nishafanya ila ni kama haelewi code.
Asituachie baraa aoe baraa lakeš„±Umeshamtumia dada wa watu sasa umemchoka halafu unataka kuachana kwa amani....usipende kujiamulia mambo mkuu utarogwa. Usije sema hukuambiwa