Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

introverts wote wana sifa hizi

  • Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
  • Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
  • Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
-
VP hawa jamaa kwenye mahusiano?...inaonekana wanachelewa kuanza mahusiano kutokana na jinsi wanavyohishi
 
Mie kwa upande wangu tangu nipo mdogo (kuanzia 10yrs) nilikuwa sipendi kuchangamana na wenzangu, nikitoka shule chumbani hadi kufikia wazazi wangu kuichukia tabia yangu, yaani rafiki zangu wakija kunisalimia nipo radhi nivunge nimelala usingizi ili tu waniachie nafasi ya kuwa peke yangu.
So I am Pyaar!
You're Introvert..
Sifa kuu yetu ni upendo na huruma. Ndio maana na Jesus hua anakuareferd as Introvert maana alikua/ana na huruma na upendo ulipitiliza kwa watu wake.

Upande wa kudhurumiwa nimedhurumiwa sana. Imagine nishawahi fyatua tofali 2000 kwenye kichuguu hafu sikupewa hata 100. Nilisamehe
Kingine ni kuonewa..unakua dustbin ya kila mtu. Watafanya makosa yao unatupiwa wewe just bcz huwezi jieleza vizuri.
 
Hapo nimeona sifa kadhaa; aibu, marafiki wachache, uwezo mdogo wa kujielezea na kuongea mbele za watu ingawa nikiwa mbele ya watu nnao wajua huwa naongea, pia kama nikipatwa na matatizo huwa nasimulia kwa wachache ila baadae huwa najilaumu kwa kuona kwamba hata nilivyosimulia hakuna msaada uliotokea na kwamba ningekaa kimya kisingeharibika kitu, nina asili ya kupenda usafi na vitu viwe ktk mpangilio.
 
Naongezea sifa zengne tulizo nazo ma introvert...

1-: hatujui kuchagua vitu hasa rangi au umbo....yaani unaweza ukatoka nyumban kwenda dukan kununua labda nguo aina flan rangi flani ile nguo ukaikosa apo Sasa muuzaji anaweza akakuuzia rangi yyte ata usiopenda na ukashindwa ata kukataa...unalipa unasepa uku ukijifariji.

2-:wapekuzi sana wa mambo yaani Kama unamauhusiano na bint utampekua bila yeye kujua adi mambo yasiopekurika mwsho wa sku huwa tunabaki na siri moyoni wala hatuwaambii wale tulio wapekua..

3-: hatupendi kutishwaa....mfano kutishwa utoe kitu fulani ili upate kitu fulani,

4-:hatuwezi kusimulia vtu kwa mdomo...tunaweza tukasoma vtu tukavielewa Ila Kwenye kuvipresent tukashindwa.

5:- huwa tunatamani tuwe tofauti na tulivyo Ila tunajikuta tupo hvyohvyo,usipojijua utabaki unaishi maisha ya kuiga tu.

6-:tunapenda Sana kufanya mapenzi Ila hatupendi tuonekane katk hali hyo...

7-: wapenzi wetu Mara nyingi ni wale marafiki zetu wa karbu sana...tulio wazoea ndo hao hao tunawatongoza.
 
Introvert mie napata tabu sana ktk kufanya maamuzi magumu/seriously uongozi haunifai!!!!!

But vipi nikijengwa kuwa kiongozi nitashindwa kutimiza majukum yangu kwasababu n introvert??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah like umenisema mie
Naongezea sifa zengne tulizo nazo ma introvert...

1-: hatujui kuchagua vitu hasa rangi au umbo....yaani unaweza ukatoka nyumban kwenda dukan kununua labda nguo aina flan rangi flani ile nguo ukaikosa apo Sasa muuzaji anaweza akakuuzia rangi yyte ata usiopenda na ukashindwa ata kukataa...unalipa unasepa uku ukijifariji.
 
Hapo nimeona sifa kadhaa; aibu, marafiki wachache, uwezo mdogo wa kujielezea na kuongea mbele za watu ingawa nikiwa mbele ya watu nnao wajua huwa naongea, pia kama nikipatwa na matatizo huwa nasimulia kwa wachache ila baadae huwa najilaumu kwa kuona kwamba hata nilivyosimulia hakuna msaada uliotokea na kwamba ningekaa kimya kisingeharibika kitu, nina asili ya kupenda usafi na vitu viwe ktk mpangilio.
Yani kama mm vile duh
 
Back
Top Bottom