Sicario_4k
Senior Member
- Apr 6, 2020
- 176
- 327
Bro, this is totally me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili muhimu sana mkuu,kujielewa sisi ni watu wa aina gani na kujikubali.Mbaya zaidi inachukuliwa kuwa introvert ni udhaifu,kumbe sio,ni jinsi tulivyo tu.me enyew nko ivyo ila nilijielewa kitambo mimi ni mtu wa aina gani ,hivyo hainipi shida nmejizoea na najikubali
Ndio niko hvyo.pia hatujui kumnyenyekea mtu hata kama tuna shida
Hata mimi inanikera watu kuchukulia sisi ni wadhaifu kumbe tuko perfect kabisa.Hili muhimu sana mkuu,kujielewa sisi ni watu wa aina gani na kujikubali.Mbaya zaidi inachukuliwa kuwa introvert ni udhaifu,kumbe sio,ni jinsi tulivyo tu.
Kwasababu nature yetu siyo mapretenderNdio niko hvyo.
Nikiwa na pesa hunijui na nisipokuwa na pesa pia hunijui huwa siwezi kunyenyekea na kujikomba kwa mabosi.
bora umefanya hivyo wabongo wana dharau za kipumbavu sana,ukiwa kimya wanajua umechacha ili waje kukudhalilisha.mimi nilikopa sehem hela kabla ya mwezi nilikutana na mtu kwenye kikundi alimikumbusha marejesha tu nilikasirika nikaenda kuwachekulia hela yao nikawapa yote na riba juu
Miss u dear...Abee
Hata mimi inanikera watu kuchukulia sisi ni wadhaifu kumbe tuko perfect kabisa.
Inanipa tabu sana hata wife kunizoea.
Ila ananizoea pole pole baada ya kufanya vitu kadhaa kwa vitendo bila makelele wala promo akaanza kunielewa ni mtu wa slow but sure.44
Hawa wengine ni kuwasikia na kupotezea tu, lakin kutoeleweka na mtu wa karibu kama wife ni kikwazo sana.
Mkuu fanya kuonana na wataalam unahitaji msaada...mpk suicidal thoughts the problem has reached too farNachukia sana hi hali
Nimejaribu kubadirika na Kujibadirisha lakini wapi
naona nipo kune One way rail no way to get out
Totally I hate To be like this.
I luv to socialize with A lot of people (known &unknown)
Mwepesi Kujieleza
Fearless
Hi Hali inanifelisha sana aisee
sioni ata Raha ya Maishe
Mdomo mzito kujieleza
Aibu zilizo zidi kiwango
Mawazo Mengi (Esp: Suicide Thoughts )
Kutojiamini Mbele za watu (Esp Girls)
Totally nipo Insecured everyday
I Hate To Be Like This
Nataka kubadirika Aisee
Hi Hali inanitesa, sioni raha yake
Gonzalo Miguel PS
¡Es Mi Futuro En Mi vida!
Ila ananizoea pole pole baada ya kufanya vitu kadhaa kwa vitendo bila makelele wala promo akaanza kunielewa ni mtu wa slow but sure.
Sasa hivi ameanza kuni appreciate!
But tuna ile halii watu wasipokua waelewa mfano labda umewapa amri fulani hivi waifuate,then wakapuuza huwa tunakuja na maamuzi magumu yasio na huruma ndani yake japo mwishon huwa tunajutia tulichokifanya!!Hata mimi niko hvyo.
Isipokuwa ninapokuwa kiongozi mahali na nikapewa nafasi ya kuongea za watu kwa vild ni mvivu wa kuongea huwa naingizia siasa na komedi kidogo ili kuwapunguza maswali.
Yes offcourse hata mimi ndio nilivyo.But tuna ile halii watu wasipokua waelewa mfano labda umewapa amri fulani hivi waifuate,then wakapuuza huwa tunakuja na maamuzi magumu yasio na huruma ndani yake japo mwishon huwa tunajutia tulichokifanya!!
Hakika Ulichoelezea hapa Ni KIOO. Nimejiona humu ndani. Asante Sanaintroverts wote wana sifa hizi
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
- Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
- Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
Sifa zao nyingine ni pamoja na;
- Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
- Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
- Wakata tamaa wanapokosolewa.
- Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
Nyinginezo ni;
- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.
- Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
- Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).
- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.
- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.
- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
Pia, wanafahamika kwa;
- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
- Wana busara na hekima nyingi
- Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
- Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
- Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
- Ni kundi la watu wanoridhika haraka
- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.
- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
- Kundi linalopenda amani na utulivu
- Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.
Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;
- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
- Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
- Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
- Wakati mwingine hupenda kujikataa.
- Ni waaminifu na wasema ukweli
- Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
- Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
- Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].
- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.
Kuwa intro ni strong character ,i like this yaani wenye kujikomba ndio wawe wa maana,kuweni serious kidogoHili muhimu sana mkuu,kujielewa sisi ni watu wa aina gani na kujikubali.Mbaya zaidi inachukuliwa kuwa introvert ni udhaifu,kumbe sio,ni jinsi tulivyo tu.
sasa wewe utakuwa sio intro ila una stress za maisha maana sie intros tumeumbwa kuhimili hii hali ikiwa ni pamoja na uvumilivu wa upweke bila kufikia hali hii,binafsi naamini waliokata tamaa wengi maishani ni extros maana hawawezi kuhimili upweke na ndio hao wanahangaishwa sana na wanawakeNachukia sana hi hali
Nimejaribu kubadirika na Kujibadirisha lakini wapi
naona nipo kune One way rail no way to get out
Totally I hate To be like this.
I luv to socialize with A lot of people (known &unknown)
Mwepesi Kujieleza
Fearless
Hi Hali inanifelisha sana aisee
sioni ata Raha ya Maishe
Mdomo mzito kujieleza
Aibu zilizo zidi kiwango
Mawazo Mengi (Esp: Suicide Thoughts )
Kutojiamini Mbele za watu (Esp Girls)
Totally nipo Insecured everyday
I Hate To Be Like This
Nataka kubadirika Aisee
Hi Hali inanitesa, sioni raha yake
Gonzalo Miguel PS
¡Es Mi Futuro En Mi vida!