Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini kila kikundi cha watu lazima awepo extrovert mmoja mtundu mtundu na vichekesho sanaKwa unaowafaham wewe!.. kwaninaowafaham mimi baba Levo haingii hata robo. Classment wangu ilikua wakati wa likizo tukiwa safarini Behewa zima linamsikiliza yeye full vicheko mpaka watu wa mabehewa mengine wanasogea wajue watu wanafurahi nini.
Mimi sikopagi asee kudai hata sijuiIntrovert hua mnaweza vipi kudai pesa zenu..?? Kuna mtu hapa naogopa kumuambia. Bora nidaiwe kuliko kudai😀
Ila mimi kuna vibonde wangu nikiwakopa nawasumbua asse hadi wanajuta ila kuna wengine hapanaHapa kuna nilitakiwa nikachukue kwake jana nikaokopa kwenda
Aisee.linapokuja suala pesa nakuaga mkali balaa..😀😀😀.labla kwenye ishu nyingine ila sio pesa aisee!Introvert hua mnaweza vipi kudai pesa zenu..?? Kuna mtu hapa naogopa kumuambia. Bora nidaiwe kuliko kudai😀
Sikopeshi mtu siku hizi ambaye sijawahi mkopesha hata aje analia machozi...kudai naona kero na siwezagi.Introvert hua mnaweza vipi kudai pesa zenu..?? Kuna mtu hapa naogopa kumuambia. Bora nidaiwe kuliko kudai😀
Daah yaani nishapotezea vipesa vingi mm napenda tumalizane maana kudaiana hua naogopa. Kuna wakati kama namdai mtu nikimuona namkwepa asinione naona namkosesha amani.Sikopeshi mtu siku hizi ambaye sijawahi mkopesha hata aje analia machozi...kudai naona kero na siwezagi.
Dada yangu wa damu tu ndo naweza kumkopesha kwa sababu on time bila kumkumbusha ananilipa.wengine wote ni big no nimekoma mimi na kujifunza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mimi kuna vibonde wangu nikiwakopa nawasumbua asse hadi wanajuta ila kuna wengine hapana
[emoji123][emoji123][emoji123]me enyew nko ivyo ila nilijielewa kitambo mimi ni mtu wa aina gani ,hivyo hainipi shida nmejizoea na najikubali
Kuna mpangaji wangu ananilipaga akitaka na wakati mwingine mambo yanakua yamenityt sana. nimeamua kumfujuza kisa siwezagi kumdai some tym nikimuona namkwepa... Dah!! Na bado hajahama ndio napanga kuwakabidhi madalali wamalizane nae.Ila mimi kuna vibonde wangu nikiwakopa nawasumbua asse hadi wanajuta ila kuna wengine hapana
Hongera kwanza mku kww kumiliki nyumba za kupanga ..vipi issur ya introversion ina athiri vipi usimamiz wako kwa wapangaji .umezoeana nao kivipKuna mpangaji wangu ananilipaga akitaka na wakati mwingine mambo yanakua yamenityt sana. nimeamua kumfujuza kisa siwezagi kumdai some tym nikimuona namkwepa... Dah!! Na bado hajahama ndio napanga kuwakabidhi madalali wamalizane nae.
Kwaniaba ya familia tunasema asante.Hongera kwanza mku kww kumiliki nyumba za kupanga ..vipi issur ya introversion ina athiri vipi usimamiz wako kwa wapangaji .umezoeana nao kivip
Vipi mkuu umeoaKwaniaba ya familia tunasema asante