Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Dah kwa mbaaaaali sana.
(Sema huyu jamaa namjua sijui nimemuona kwenye muvi gani)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kwa mbaaaaali sana.
Sisi wengine bado kujieleza ni ngumu tukikutana inakuwaje?Hii thread nimeipenda sana...
Kwanini tusianzishe LIVE MEETINGS kwenye mikoa tuliyopo kwa ajili yetu sisi Introverts; ili tutiane moyo, tuelimishane, tujengane na tutafute suluhisho za kudumu kwa mambo yanayotusibu katika maisha?
Halafu si vibaya tuanzishe hata telegram group letu jamani.
NB: Mimi sipo social sana, ila napenda ku'volunteer na kuwasaidia watu na jamii kwa ujumla. Pia, mimi kwa sasa nina Confidence katika maswala ya kujieleza na kufanya Presentation mbele za watu.
Hizo nyota tunajuaje sasa?hapana mkuu haiko hivyo..kila nyota ina nyota ambazo inaendana nazo kwenye suala la mahusiano..hasa hasa nyota ambazo mnashare elements (moto,hewa,maji na udongo)
mfano mwanaume wa nyota ya simba anatakiwa kuwa mwanamke wa nyota ya kondoo ,mshale na mizani
nk
[emoji3][emoji3]Me nina kipaji cha kudance sana style hizi za kisasa hata trap za kina ayo & teo ila huwa nafanya ndani. Hadharani siwezi kabisa yaaani
Kweli kabisa yani mambo ya kuigiza hakuna.introverts hawawezi unafki
kaandika mengi zaidiHizo nyota tunajuaje sasa?
Ha ha ha ha! eti kujielezaSisi wengine bado kujieleza ni ngumu tukikutana inakuwaje?
Wala usijali... Kumbuka, "birds with the same colour fly together". Hakuna kitakachoharibika my friend.Sisi wengine bado kujieleza ni ngumu tukikutana inakuwaje?
I agree... Actually I didn't mean it "literally" as how you described it.This ia false....
For the matter of flying together birds don't depends on color.
It's based on Flock.. only the bird of same flock fly together
Exactly. Thank you.I just wanted to make your point correct.
Since introvert likes to act accordingly
Diamond platnumzWatu maarufu wengi ni extrovert
Kwa unaowafaham wewe!.. kwaninaowafaham mimi baba Levo haingii hata robo. Classment wangu ilikua wakati wa likizo tukiwa safarini Behewa zima linamsikiliza yeye full vicheko mpaka watu wa mabehewa mengine wanasogea wajue watu wanafurahi nini.Hivi kuna mtu Extrovert kuzidi baba levo[emoji3][emoji3]
Hajamfikia haji manara uyoHivi kuna mtu Extrovert kuzidi baba levo[emoji3][emoji3]
Nabisha anapotea vipi elezea....introvert anatakiwa kuwa kama alivyo! akijaribu kuchepuka na kufuata tabia kama za flani anapotea kabisa kama unabisha niulize mimi