Inawezekana kwako ni shetani lakini kwangu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa lengo fulani.
Si rahisi sana mtu mbaya kwako na kwangu pia akawa mbaya kwahiyo kama kwako alikuwa ni shetani,,,I’m sorry kwangu alikuwa ni malaika [emoji174][emoji174][emoji174]
Sikuwahi kuwa mfuasi wa Chama chochote cha kisiasa lakini nilikuwa ninamapenzi ya dhati na Utendaji wa Magufuli.wakati wa Magufuli kuondoka ilikuwa bado[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Magufuli........[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nilipanga nisikujibu lakini nimejikuta nasukumwa kukujibu tu maana ninauhakika [emoji817]kuna siku tutamkumbuka Magufuli kwa yale mazuri yake.naomba hii comment iendelee kuwepo.
Ninaamini hapo ulipo kuna watu wanakupenda bila sababu,ufanye mabaya au mazuri wataendelea kukupenda tu na pia kuna watu watakuchukia ufanye mazuri au mabaya wao wataendelea kukuchukia.inasikitisha sana.duniani si sehemu salama sana ya kusimamia ukweli na haki.
Kwangu mimi Magufuli ni shujaa na ataendelea kuishi moyoni mwangu.niliukubali utendaji wake tangu alipokuwa waziri mpaka kuwa Mkuu wa nchi[emoji3064][emoji3064][emoji3064].
Pumzika kwa Amani Baba Magufuli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]