Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Introvers

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210319_140530.jpg
 
Inawezekana kwako ni shetani lakini kwangu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa lengo fulani.
Si rahisi sana mtu mbaya kwako na kwangu pia akawa mbaya kwahiyo kama kwako alikuwa ni shetani,,,I’m sorry kwangu alikuwa ni malaika 💔💔💔

Sikuwahi kuwa mfuasi wa Chama chochote cha kisiasa lakini nilikuwa ninamapenzi ya dhati na Utendaji wa Magufuli.wakati wa Magufuli kuondoka ilikuwa bado🥺🥺🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭Magufuli........😭😭😭😭😭

Nilipanga nisikujibu lakini nimejikuta nasukumwa kukujibu tu maana ninauhakika 💯kuna siku tutamkumbuka Magufuli kwa yale mazuri yake.naomba hii comment iendelee kuwepo.

Ninaamini hapo ulipo kuna watu wanakupenda bila sababu,ufanye mabaya au mazuri wataendelea kukupenda tu na pia kuna watu watakuchukia ufanye mazuri au mabaya wao wataendelea kukuchukia.inasikitisha sana.duniani si sehemu salama sana ya kusimamia ukweli na haki.

Kwangu mimi Magufuli ni shujaa na ataendelea kuishi moyoni mwangu.niliukubali utendaji wake tangu alipokuwa waziri mpaka kuwa Mkuu wa nchi🥺🥺🥺.

Pumzika kwa Amani Baba Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔
Kweli kabisa, mimi nilikua sifuatilia kabisa hata speech za viongozi ila after JPm nimekua namfuatilia mno. And I was Loyal to him, Ngoja tuone kama Samia atanishawishi niwe Loyal kwake.

Huyu jamaa itakua ni muhanga wa wapiga dili ambae Magu alipita nae
 
Sina mapenzi ya aina yoyote na chama chochote cha kisiasa ila nina mapenzi na mtu anaefanya kazi ikaonekana na kuliweka taifa mbele hata kama atatoka chadema,act na au hata ccm.

Magufuli ataendelea kuishi moyoni mwangu miaka yote.kwangu ni Shujaa.

ameondoka mapema mno🥺🥺🥺🥺🥺💔💔💔

Magufuli baba Mungu akupe pumziko la milele🙏
 
Yes offcourse hata mimi ndio nilivyo.
Kwa mfano mtu akiniletea dharau huwa narekodi halafu namvizia baada ya muda mrefu sana wakati kashasahau namfanyia kitu ambacho kitamtesa miaka yote.
Yaani niko very strategic nikimuwekea mtu mtego anakuja kunasa mzima mzima lazima kamasi zimtoke.
We ni noma
 
Hahah! Mm kazi zenyewe nafanyia kwenye pc home mwanzo mwisho ndani nikichoka nacheza game mwenyewe au move mda wa kutoka ni kwenda kula dakika kadhaa nmerud [emoji16][emoji16]
Mmh hapa kama nakufananisha hivi
 
introverts wote wana sifa hizi

  • Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
  • Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
  • Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
  • Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
  • Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati

- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)

Sifa zao nyingine ni pamoja na;

  • Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
  • Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine

- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)

- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)

- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)

  • Wakata tamaa wanapokosolewa.
  • Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.

Nyinginezo ni;

- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)

- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.

  • Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
  • Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao

- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).

- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.

- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.

- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.

- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani

Pia, wanafahamika kwa;

- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)

  • Wana busara na hekima nyingi
  • Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
  • Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
  • Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
  • Ni kundi la watu wanoridhika haraka

- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.

- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.

  • Kundi linalopenda amani na utulivu
  • Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto

- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.

Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;

- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa

  • Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
  • Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
  • Wakati mwingine hupenda kujikataa.
  • Ni waaminifu na wasema ukweli
  • Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
  • Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
  • Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu

- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick

Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].

- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}

- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.

[emoji1431]
 
Nachojikubali mimi kama mtu wa hii calibre ni kuwa tunapenda kutumia efforts zetu hatupendi slope lbda iwe ni kwa issue kubwa sana. In short tunapenda kutumia nguvu zetu kutatua mambo. Ila nguvu zetu zikifika. Kikomo ndio huomba msaada kwa wale wanaotuelewa. Mf mimi nilivokuwa nasoma nikiishiwa pocket money ni hadi mzazi mwenyewe ashtuke. Kuna likizo fulani imefika siku ya kufunga shule mie nimejiwekea kiakiba changu kama nauli wala sijaomba hela kitambi nyumbani basi mzazi akahisi hizi si tarehe za kufunga chap akaagiza mtu aniletee hela shule. Cha ajabu nilivofika home pesa yao nikawapa.
Napenda kujitegemea aisee.
 
Mimi huwa naweza kucheza tu kimoyomoyo practically mmh!
Hivi wenzangu mnawezaje kufit In na watu??🙄
Kiukwekeli naishi kama niko mwenyewe duniani, Najitahidi sana kujaribu kua karibu na watu naomba namba za watu ila nikishachukua namba tu naifuta. Yaani simu yangu kukaa wiki haijapigiwa wala kutumiwa text ni kitu cha kawaida coz tatizo lipo kwangu I push people back.
Mtu akijitahidi kua nami karibu na mawasiliano nawahi kuboreka namblovk au sijibu jumbe zake... I'm living Vagrantly asee.

Basi Mungu angenipa uwezo mzuri wa kuzungumza mbelel za watu.. Hii kitu inanitesa sana (being introvert) wala sijidai maana nakosa mengi na siijui maisha yangu yatakuaje huko mbeleni
John Joba
 
Nachojikubali mimi kama mtu wa hii calibre ni kuwa tunapenda kutumia efforts zetu hatupendi slope lbda iwe ni kwa issue kubwa sana. In short tunapenda kutumia nguvu zetu kutatua mambo. Ila nguvu zetu zikifika. Kikomo ndio huomba msaada kwa wale wanaotuelewa. Mf mimi nilivokuwa nasoma nikiishiwa pocket money ni hadi mzazi mwenyewe ashtuke. Kuna likizo fulani imefika siku ya kufunga shule mie nimejiwekea kiakiba changu kama nauli wala sijaomba hela kitambi nyumbani basi mzazi akahisi hizi si tarehe za kufunga chap akaagiza mtu aniletee hela shule. Cha ajabu nilivofika home pesa yao nikawapa.
Napenda kujitegemea aisee.
Duuuh kumbe hii tabia ya kupenda kujitegemea n kwa introvert wote asee. Mm home cjawahi kuznguliwa chochote yaan mda mwngne narud saa 7 usku lakn hakuna anaeniuliza. Lakn nliamua tu kutafta geto langu yaan nlijikuta tu nlijiskia tu kujitegemea
 
Hivi wenzangu mnawezaje kufit In na watu??[emoji849]
Kiukwekeli naishi kama niko mwenyewe duniani, Najitahidi sana kujaribu kua karibu na watu naomba namba za watu ila nikishachukua namba tu naifuta. Yaani simu yangu kukaa wiki haijapigiwa wala kutumiwa text ni kitu cha kawaida coz tatizo lipo kwangu I push people back.
Mtu akijitahidi kua nami karibu na mawasiliano nawahi kuboreka namblovk au sijibu jumbe zake... I'm living Vagrantly asee.

Basi Mungu angenipa uwezo mzuri wa kuzungumza mbelel za watu.. Hii kitu inanitesa sana (being introvert) wala sijidai maana nakosa mengi na siijui maisha yangu yatakuaje huko mbeleni
John Joba
Jitahd kukaa maeneo yenye watu wanaopiga story mfano kwny vibandaumiza n.k mm ni introvert ila sometimes naongea mpaka huezi amini kama ndo mm.
 
Hahah! Mm kazi zenyewe nafanyia kwenye pc home mwanzo mwisho ndani nikichoka nacheza game mwenyewe au move mda wa kutoka ni kwenda kula dakika kadhaa nmerud [emoji16][emoji16]
Kazi gan unafanya huko online mkuu, huenda ukatusaidia na sie introvert wenzako hapa kujikwamua kiuchumi.

Mana kutokana na personality zetu tunajikuta tunapitwa na michongo ya hela, biashara na ajira.
 
Back
Top Bottom