John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
VP hawa jamaa kwenye mahusiano?...inaonekana wanachelewa kuanza mahusiano kutokana na jinsi wanavyohishiintroverts wote wana sifa hizi
-
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
So I am Pyaar!Mie kwa upande wangu tangu nipo mdogo (kuanzia 10yrs) nilikuwa sipendi kuchangamana na wenzangu, nikitoka shule chumbani hadi kufikia wazazi wangu kuichukia tabia yangu, yaani rafiki zangu wakija kunisalimia nipo radhi nivunge nimelala usingizi ili tu waniachie nafasi ya kuwa peke yangu.
Sio kweliNa wengi wao ni wanachama wa CHAPUTA hivyo wengi wao huishiwa nguvu za kiume na kupeleka kua stressed mwishoni hujinyonga Kwa kusalitiwa . Believe me
Kabisaaaah umemaliza kila kityuuh. [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]introverts wote wana sifa hizi
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
Sikuenda darasan, na somo la uandishi sijawah lijua.kwanini hua unaandika vibaya?
Sawa.ok..siku ukiweza kuandika kama matured person niambie
Naongezea sifa zengne tulizo nazo ma introvert...
1-: hatujui kuchagua vitu hasa rangi au umbo....yaani unaweza ukatoka nyumban kwenda dukan kununua labda nguo aina flan rangi flani ile nguo ukaikosa apo Sasa muuzaji anaweza akakuuzia rangi yyte ata usiopenda na ukashindwa ata kukataa...unalipa unasepa uku ukijifariji.
Ni natureMnadhani sifa kuna mwenzenu huku amejinyonga alikuwa mtu wa ndani ndani ndani.
Yani kama mm vile duhHapo nimeona sifa kadhaa; aibu, marafiki wachache, uwezo mdogo wa kujielezea na kuongea mbele za watu ingawa nikiwa mbele ya watu nnao wajua huwa naongea, pia kama nikipatwa na matatizo huwa nasimulia kwa wachache ila baadae huwa najilaumu kwa kuona kwamba hata nilivyosimulia hakuna msaada uliotokea na kwamba ningekaa kimya kisingeharibika kitu, nina asili ya kupenda usafi na vitu viwe ktk mpangilio.