Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Hapana mzazi akiwa mkali kwa mtoto hakubadirishi personality yake kwamba awe extrovert abadirike ajwe extrovert. Kumbuka Personality traits yaani kua extrovert au introvert ni mambo traits ambazo mwanadamu anazaliwa nazo tayari zipo ndani yake hivyo muhusika hawezi kubadirisha traits hizo au kuhama kundi moja kwenda lingine.

Ila wazazi kama ni wakali kwa mtoto wanaharibu behavioral model ya mtoto, tabia za ndio kitu mtu unaweza kubadirisha kutokana na mazingira fulani uliyopo...

Waleeni watoto wenu vizuri mkiwapa maneno ya ushindi na kutia moyo hata kama unaona mwanao hana uwezo mkubwa, we unamwita mwanao we mjinga njoo hapa,we mpumbavu, we zezeta njoo n.k....namwanangu mtu akimwita hivo tutauana haya maneno nayajua uchungu wake na madhara yake nayaona mpaka leo. mtoto anakua hana imani na maisha, anajiona hafai kwenye jamii mwisho inampelekea kua na msongo hata ufikiri wake unayumba mwisho anaanza kutenda maovu ili kulipa machungu ya maneno anayoambiwa.

Treat your son like king not like a asshole. Mentality disturbance za watoto zinaharibiwa nanyi wazazi. 5yrs ago nilisoma soma Psycology upande wa tabia za binaadamu na makuzi yake toka akiwa na wiki 2 baada ya mimba kutungwa hadi umri wa miaka 70 nafahamu vyema sana, Kwenye Behavioural model tabia za binaadamu zimegawiwa katika makundi matatu makuu:
[emoji3581]Agressive: Huyu mtu aliye kwenye kundi hili yeye jambo dogo analikuza linakua kuubwa (amplifying), kila kitu yeye anamind...mara nyingi hua wanajitanguliza wao kwenye vitu hawajali wenzao nk nk.

[emoji3581]Passive: Hawa ni wale watu wa kuchukulia poa hawana shida na watu wao ukiwaudhi wanatabasamu tu. Mark zuckenburg, Wentworth Miller (michaelscolfied) hili kundi ndio husongwa na Msongo zaidi

[emoji3581]Assertive: Hawa wao wako tayari kufanya chochote kwa ajili ya wenzao hata kupoteza maisha..wanachukulia wengine ni wathamani kuliko wao. mf Jesus, Nyerere,All freedom fighters.

Sasa fikiria mtu wa kundi la kwanza umemtendea mambo mabaya huyu lazima awe mbaya mbeleni tu si mnajua alichofanya hitler ajili ya kudharauliwa,akina Mao tsetung, serial killers wote, lakini kwa watu wa kundi la pili hua tofauti wao hua wanayatumia yale madharau wanayofanyiwa kufanya vitu kuwathibishia watu kua wao sio wajinga.

Mfano Mark wa Facebook alikua wanamchukulia poa sana kipindi yuko chuo ila ukizingatia kwa walikua maskini ila leo hii walio mdharau wako wapi? Thomas Edison hadi mama yake aliandikiwa barua na uongozi wa shule kua hana akili, mwisho kabisa kawa ndio mgunduzi na mfanyabiashara mkubwa sana kwenye maswala ya electrnonic na electricity. Akina Eminem leo hii wako level ipi? Wentworth Miller hadi sasa kutokana na kuwa abused hata hajielewi tena jinsia yake inataka nini (leo gay kesho mwanaume) mifano ni mingi mno.

Jamani wazazi wa leo na wazazi watarajiwa hatima ya mafanikio ya mwanao kiuchumi au kiakili yapo mkononi mwako, mwambie mema sio kumwambia mwanao maneno yanayo mfanya ajione inferior, hana thamani matokeo yake hua ni mabaya sana. Hata Jesus watu walimbeza ila mwisho wa siku kabaki kua ndio binaadamu ambae historia yake haitafutika kwa aliyoyatenda. Usimdharau mtu wala kumkandamiza hatujui hatima zetu. Serial killers wengi chnzo hua ni ugonjwa akili ambao unasababishwa na malezi mabaya.
Mzee hapo pa kusema Mark wa fb kwao walikuwa masikini ni uongo ulio wazi!
 
Kuna demu hapa mtaani juzi kati amenichana ananiambia mimi ni mtu ninayejisikia sana , ninajiona mimi ndo mimi ,sina story na watu na hata kuwasalimia watu ni shida ,ikabidi nimwambie tuuh sio kwamba najisikia au ninadharau ila ndo nipo hivyo
Ndio mademu walivyo! Akifanya mvulana anajisikia, wao wanafanya na salamu hawaitikii wakati mwingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Saw mkuu

Ila siku utakayochukua that other lessons utakuwa more very smart and you will feel your introvertism is a gift
Ukiwa introvert kila ukijaribu kuongea unatema Boko au unahisi unavyoongea ni Boko ,unaamua kula pini tu
 
Ukiwa introvert kila ukijaribu kuongea unatema Boko au unahisi unavyoongea ni Boko ,unaamua kula pini tu
Saw ila haimaanish ukiwa introvert ndo uwe mtu wa kuonewa/kudhulumiwa

Silent always it's a defensive mechanism against that

Introvertsm it's a gift not a curse kama anavyodai mtoa mada
 
Imenitokea hiyo mkuu yaani nakuwa nachambua vitu vidogo vidogo vya past,present na kupredict future events yaani kabla vitu havijafanyika naanza kuunga matukio hadi napata majibu kwamba huyu wife ana mpango wa kufanya vitu fulani mwezi ujao halafu mimi navikwepesha.
Sasa wanawake huwa wanaumia sana ukiwafuatilia na kuwashtukia mitego yao
Ni kweli, hapo ndo utasikia maneno kama "una gubu", " una mambo ya kike" n.k, ili tu uumie
 
Dah mimi cjui ni introvert au extroverts maana tabia zangu ni hizi

1. Sicheki na mtu, kucheka ni kwenye simu nikiwa naperuzi

2. Sikai kwenye sehemu yenye kelele, hata kikiwa kikao cha harusi ya ndugu sikai

3. Sipendi kufuatilia, naweza nikawa najisomea halafu nikute boya mmoja anapita huku anaangalia nachosoma nafunga daftar

4. Chuo marafiki wa kuongea nao ni wachache kuwajibu ni ok. Sawa, yes ila tukiwa kwenye grupu la Whatsapp akiwasha sio poa

5. Mademu naishia kuwala kwa macho. Sina taimu nao wote nawaona malaya tu

6. Sikai sebulen nikirudi chuo nipo ndani nachati,
Wewe ni introvert brother, ndivyo ulivyo na uko hivyo. Nakushauri vitu vifuatavyo. Ingawa sio lazima Sana kuvifanya Ila naona vyema uwe navyo coz maisha ni jamii iliyokuzunguka nikimaanisha maisha ni watu uliokua nao.
1). Tafuta marafiki wa ukweli, au washikaji haswa ambao utakua nao maishani utakaoweza kuongea nao Ana kwa Ana. Hii itakusaidia kusolve baadhi ya Mambo yanayohusu jamii, pia usisahau maisha ni watu lazima uwe nao wa karibu.

2). Jitahidi iingie kwenye mahusiano, tafuta binti mmoja unaeweza kumpenda kweli mkabidhi asilimia chache za moyo wako maisha yaendelee. atakusaidia kukunganisha na watu wengine mfano rafiki zake watakujua maybe hata watakusalimia, itakusaidia kuimprove social life. Pia utapata mtu wa kushare nae Mambo yako ya ndani mfano sex life. ( Kua na partner itaonekana ww ni mtu wa kawaida kwenye jamii Hali yako ya introvert itapungua kdgo.

3). Mnapata Sana changamoto mtaani kwa kua hamchangamani Sana na watu. Sasa siku hiz ajira hakuna ni chache mno. Na michongo ya maisha iko mitaani, jitahidi utafute michongo yako ya kiuchumi mapema Tena ikiwezekana isiwe ile ya kumfuata mteja, iwe ile ambayo mteja atakutafuta ww.
 
Good point,sisi wengine tulishachelewa life limevurugika tayari
 
Good point,sisi wengine tulishachelewa life limevurugika tayari
Hapana brother bas long as tunaendelea kuishi hujachelewa no kurekebisha baadhi ya vitu. Mm sio introvert, Ila Nina rafiki yangu ni introvert ananiamini Sana na namshauri vitu vingi Sana. Na namchukulia Kama alivyo kwa Hali yake.
Mfano kipindi tunasoma alikua anashindwa kwenda kununua maandazi akikuta wauzaji ni zaidi ya mmoja yaan hajui akanunue kwa yupi.
Ukimtania kdgo tu anachukia mazima.
Broo hujachelewa lazima Kuna point za kurekebisha kidgo tu, hasa kwa jamii inayokuzunguka, angalia watu wako wa karibu.
 
I can't tell you tatizo ni wapi au ni nini.
Umeona kichwa cha huu uzi kinavyosema?? In fact nilijiandikia mimi huu uzi ju ya ninayokumbana nayo. So trust me Introvert it's a curse.
Kikubwa namuomba Mungu isitokee ikatakiwa nisimame mahakamani
Hahahaha[emoji23]
 
Back
Top Bottom