Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Noma sana mzee.
Mbaya zaidi muda mwingine hata ukionana na demu kumuangalia usoni tu ni ishu.

Hata kuitikia salamu ya mtoto akiniamkia naishia kutikisha kichwa
Tunafanana kwa kiasi fulani, vipi una demu mpaka muda huu, wa kukutuliza nyege?
 
Mzee hapo pa kusema Mark wa fb kwao walikuwa masikini ni uongo ulio wazi!
 
Kuna demu hapa mtaani juzi kati amenichana ananiambia mimi ni mtu ninayejisikia sana , ninajiona mimi ndo mimi ,sina story na watu na hata kuwasalimia watu ni shida ,ikabidi nimwambie tuuh sio kwamba najisikia au ninadharau ila ndo nipo hivyo
Ndio mademu walivyo! Akifanya mvulana anajisikia, wao wanafanya na salamu hawaitikii wakati mwingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Saw mkuu

Ila siku utakayochukua that other lessons utakuwa more very smart and you will feel your introvertism is a gift
Ukiwa introvert kila ukijaribu kuongea unatema Boko au unahisi unavyoongea ni Boko ,unaamua kula pini tu
 
Ukiwa introvert kila ukijaribu kuongea unatema Boko au unahisi unavyoongea ni Boko ,unaamua kula pini tu
Saw ila haimaanish ukiwa introvert ndo uwe mtu wa kuonewa/kudhulumiwa

Silent always it's a defensive mechanism against that

Introvertsm it's a gift not a curse kama anavyodai mtoa mada
 
Ni kweli, hapo ndo utasikia maneno kama "una gubu", " una mambo ya kike" n.k, ili tu uumie
 
Kwa jinsi dunia ilivyo sidhani kama ni jambo jema kua introvert. Kwa upande wangu ni hasara tupu inaumiza kwakwel
Sio kweli tunaenjoy our quiet time meditating our fantasy life.

Tunaenjoi kuchati tu tena kwa groups not one on one [emoji851][emoji851][emoji851] I like it this way
 
Wewe ni introvert brother, ndivyo ulivyo na uko hivyo. Nakushauri vitu vifuatavyo. Ingawa sio lazima Sana kuvifanya Ila naona vyema uwe navyo coz maisha ni jamii iliyokuzunguka nikimaanisha maisha ni watu uliokua nao.
1). Tafuta marafiki wa ukweli, au washikaji haswa ambao utakua nao maishani utakaoweza kuongea nao Ana kwa Ana. Hii itakusaidia kusolve baadhi ya Mambo yanayohusu jamii, pia usisahau maisha ni watu lazima uwe nao wa karibu.

2). Jitahidi iingie kwenye mahusiano, tafuta binti mmoja unaeweza kumpenda kweli mkabidhi asilimia chache za moyo wako maisha yaendelee. atakusaidia kukunganisha na watu wengine mfano rafiki zake watakujua maybe hata watakusalimia, itakusaidia kuimprove social life. Pia utapata mtu wa kushare nae Mambo yako ya ndani mfano sex life. ( Kua na partner itaonekana ww ni mtu wa kawaida kwenye jamii Hali yako ya introvert itapungua kdgo.

3). Mnapata Sana changamoto mtaani kwa kua hamchangamani Sana na watu. Sasa siku hiz ajira hakuna ni chache mno. Na michongo ya maisha iko mitaani, jitahidi utafute michongo yako ya kiuchumi mapema Tena ikiwezekana isiwe ile ya kumfuata mteja, iwe ile ambayo mteja atakutafuta ww.
 
Good point,sisi wengine tulishachelewa life limevurugika tayari
 
Good point,sisi wengine tulishachelewa life limevurugika tayari
Hapana brother bas long as tunaendelea kuishi hujachelewa no kurekebisha baadhi ya vitu. Mm sio introvert, Ila Nina rafiki yangu ni introvert ananiamini Sana na namshauri vitu vingi Sana. Na namchukulia Kama alivyo kwa Hali yake.
Mfano kipindi tunasoma alikua anashindwa kwenda kununua maandazi akikuta wauzaji ni zaidi ya mmoja yaan hajui akanunue kwa yupi.
Ukimtania kdgo tu anachukia mazima.
Broo hujachelewa lazima Kuna point za kurekebisha kidgo tu, hasa kwa jamii inayokuzunguka, angalia watu wako wa karibu.
 
I can't tell you tatizo ni wapi au ni nini.
Umeona kichwa cha huu uzi kinavyosema?? In fact nilijiandikia mimi huu uzi ju ya ninayokumbana nayo. So trust me Introvert it's a curse.
Kikubwa namuomba Mungu isitokee ikatakiwa nisimame mahakamani
Hahahaha[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…