Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Mkuu yaani mimi niko hivyo tu yaani nikisimama mbele za watu niongee nadhani naweza kuanguka kwa kutetemeka. Mdomo unakoss ushirikiano na maneno kabisa.
Nikiwa home hua kuna zamu ya kusalisha sala za usiku na mwenye zamu yake inabidi asome na kutafakari neno pia . Sasa niko tu na familia yangu ila hua nashindwa kabisa kusalisha hus nona kama adhabu kwangu. Humuhumu JF kuna vitu hua naokopa hata kuandika nikiandika narudi kufuta ndio maaaa Kapeace ananidharau 😅😅
 
Nakubali kuna mda mara kadhaa hiyo hali imenipata. Public speaker yeyote anaweza kuiexperience mara kadhaa. Ni hali ya kawaida.

Sema katika kuichunguza nikagundua 'A house devided within can not stand' huwezi kuisisitiza hoja vizuri kama una mashaka nayo na hutaki kuwa mkweli kwamba una mashaka.

Ndio maana kutokana na skeptic nature ya sisi, mda mwingine ni salama zaidi kuwasilisha hayo mawazo kama nadharia, ikidokoa principle mbalimbali ili kujisimamia. Au unawaambia watu hili ni hitimisho la tunachokijua mpaka hivi sasa. Mbinu ni nyingi tu.

Pia unaweza kulitenganisha wazo na wewe binafsi, acha wazo lijisimamie jenyewe na likifeli limefeli jenyewe.

Na pia cha kuongezea kale kastress/ka excitiment ka mwanzo kila presenter huwa anakapata, ukikatafsiri vizuri kanakupaisha, ukikatafsiri vibaya kanakufelisha
 

Mku kwa maelezo yako haya unataka kuniambia kua hili tatizo nalitengeneza mwenyewe kichwani na kiuhalisia halipo??
 
Mku kwa maelezo yako haya unataka kuniambia kua hili tatizo nalitengeneza mwenyewe kichwani na kiuhalisia halipo??
Hapana ni kwamba tatizo lipo kichwani kiuhalisia na tunashirikiana wote kulitengeneza. Wewe unacheza nafasi kubwa na mazingira yanakusaidia kulifanya lisumbue kweli.

😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]pole sana mkuu, hadi humu unaogopa. Walakini hilo lipo kwetu introverts mkuu, kuna vitu ukiandika na kuvipost unahisi kuna nguvu fulani imepungua, so Bora kufuta. Yaani ni ajabu kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]pole sana mkuu, hadi humu unaogopa. Walakini hilo lipo kwetu introverts mkuu, kuna vitu ukiandika na kuvipost unahisi kuna nguvu fulani imepungua, so Bora kufuta. Yaani ni ajabu kwa kweli
Mkuu acha tu wengine tunasindikiza watu wanaoishi😅
Ndio maana hua napigwa ban sana ajili ya kufuta vitu. Yaani hata hizi comment hapa baadae nitaanza kujisikia vibaya nizifute
 
Mkuu acha tu wengine tunasindikiza watu wanaoishi[emoji28]
Ndio maana hua napigwa ban sana ajili ya kufuta vitu. Yaani hata hizi comment hapa baadae nitaanza kujisikia vibaya nizifute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]lo
 
Hapana ni kwamba tatizo lipo kichwani kiuhalisia na tunashirikiana wote kulitengeneza. Wewe unacheza nafasi kubwa na mazingira yanakusaidia kulifanya lisumbue kweli.

😂😂😂😂😂😂😂
Hapana mkuu sidhani kama hili tatizo lipo kichwani mwangu kama lipo ningejua tu. Mzee wangu na ndugu zangu kadhaa wapo hivyo pia tuna aibu nasio waongeaji wazuri
 
Hapana mkuu sidhani kama hili tatizo lipo kichwani mwangu kama lipo ningejua tu. Mzee wangu na ndugu zangu kadhaa wapo hivyo pia tuna aibu nasio waongeaji wazuri
Ndo nikasema mazingira yanahusika pia..... mazingira yanajuMuisha hadi na hivyo vichwa vingine vinavyokuzunguka. Ulivyokua, ulivyosoma etc. Ila tu, anayeviendesha ni wewe..... WE[all of us, all of forces around us including us] MAKE THINGS HAPPEN.
 
Hapo kwenye kuwa na watoto ni kweli tunabadilika sana, nadhani ile hali ya inatufanya kuwa majasiri sana
That's it.
On default wanawake ni waongeaji zaidi kuliko wanaume right?, It's known.
Mwanamke ndio mwalimu, mlezi na mwangalizi wa watoto. Atawaelekeza, atawafokea na kupigizana kelele na jirani pindi mwanae akifanyiwa vibaya...Mama akiwa mkimya sidhani kama ataweza kuyatenda hayo mwisho wa Siku watoto watampanda kichwani.....So hata kama mwanamke alikua Introvert pindi akiwa na watoto tu Naturally anageuka kua muongeaji maana Inabidi asimamie hivyo nilivyotaja. Au utundu wa watoto pia unaweza kumfanya awe muongeaji sana, Fulani acha hivi, fulani njoo, fulani mbona husikii😅😅

Mungu fundi sana aliwaumba wanawake waongeaji kwa makusudi kabisa. Ndio maana bond ya mtoto na mama ni kubwa kuliko baba na mtoto coz maana anaongea na watoto ila baba anatenda tu
 
Ni kweli kabisa, malezi ya watoto yanatufanya tuwe na ujasiri mbele ya jamii km mifano uliyotoa hapo
 
Dah nimo kanduni na mimi, Napata shida sana kwa kweli.
 
Tatizo nini mate, shea nasi kama hautajali tujue tunakushauri Vipi kuvuka hilo
Mara nyingi napenda upweke ,najifungia ndani peke yangu sina cycle ya marafiki na mpaka uje kua rafiki yangu jua tumeendana kweli kweli ,shda inayonisumbua ni hofu hata kukiwa na group la watu nahofia kuchangia mada au mdomo unakua mzito nmefali interviews nyingi za kazi mapka nmeshakata tamaa ya kutafuta kazi ,nnahofu sana pindi nikiwa kwenye jopo (panel) ya watu kwenye usaili
 

Hahahah me pia nilikua simba ila kuna shabiki wa simba aliandikag comment mbaya dhidi ya mayele af nikaja kuona mayele alivyo humble kwenye intervews zake nikajikuta nataman mayele aifunge simba na kweli kweny ngao ya jamii akaifunga bas nikafurai sana Yani hua najishangaa sana ikifika simba anacheza kimataifa hua napenda ipate ushindi yan sielewi huu ni moyo gani napenda yanga ila sipendi kumuona Ahmed ally akiwa anaojiwa pindi simba imepoteza game yoyote hua naumia sana [emoji2] yani niko ivyo
 

Nahisi woga kwenye kil kitu, sijiamini kwa chochote.
Wakuu mnajua kuna watu wameumbwa ili waje kua kama mfano. Yaani uteseke mpaka kufa kwako. Poleni Maybe its your fate.
 
Kuwa karibu sana na Mungu kwa maombi na sala,hiyo hofu yako yote itakuondoka,wakati mwingine unakuta umefungwa na maroho ili uharibikiwe kwenye maisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…