Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Mkuu mi nilikuja kufuatilia nikagundua hamnaga introverts ni uongo....
Mawazo yako yanaheshimika ila sio sahihi. Sidhani kama una akili sana kushinda watu walioweka categories hizo
Shida ni kwamba watanzania hua hatujali kuhusu afya akili wala matatizo ambayo yapo associated na Psychology. Ndio maana hata Therapy hakunaga.

Mtoto ana tatizo la saikolojia ww unataka umtibu kwa fimbo na makofi. Unazidisha tatizo na sio kuponya. Ndio maana majority ya watoto wa kibongo wana Psychological Breakdown na Post Traumatic Experience
 
Hauwezi ukakuta mtu ni introvert/extrovert 100%, Kuna spectrum, kwahiyo kila mtu ni mchanganyiko wa hivyo vitu viwili....

Hizi ni baadhi ya social labels ambazo ni ngumu kuzi-evaluate, na zinafanya watu wasifanye vitu wanavovitaka kwa kuziamini hizi labels.

Mfano mwingine wa hizi label ni pansexuals, empaths, narcissists, vipimo vya IQ points n.k....
Huwezi kutumia hizi label kutathmini maisha yako ziko ambiguous...

Lakini kuna tatizo linaitwa social anxiety, hili linasababishwa na matukio tofauti kwenye maisha yako, yanayosababisha uogope kujichanganya na watu. Hili ndo tatizo lina vipimo na linatibika.....
 
Mkuu kwenye maelezo yako unachanganya kati ya Type A & B Personalities na Extrovertism & Introvertism.
 
Mkuu kwenye maelezo yako unachanganya kati ya Type A & B Personalities na Extrovertism & Introvertism.
Mkuu labda nikupe sources usome, mimi sijui kujieleza....

Ila hizi labels ni haribifu sana, mfano mzuri hizi za kwenye dating; simps, alpha males, beta males n.k....
 
Hawa watu ni wapole na ni waungwana sana ila Ni watu hatari sana wakiamua kulipiza kisasi
 
Habarini introverts and extroverts
Asalam allaykum
Nilianza kuifuatilia hii thread miaka kadhaa iliyopita nikitaka kujua zaid personality za watu mbalimbali nikiwemo mimi mwenyewe, baada ya kujitathimini kwa makini nikagundua nipo katika kundi la introverts subcategorie ambivert... miaka ya nyuma pindi nilipokuwa nikiishi kama kijana nyumban wazazi walikuwa wakinishangaa sana nilikuwa napenda kukaa peke yangu nyumban nachek movies au nikienda katika shughuli za kibiashara dukan kwa ajir ya mahitaji ya kuendeshea familia nje ya mishahara ya wazee. Mara zote nilikuwa bize (personality ya sigma) mteja akifika dukani nampa maneno ya ucheshi (personality ya ambivert) wakawa wanavutiwa nami ... kwasabb napenda kusoma vitab mbalimbal kama interest yangu ya kwanza nikaendelea kusoma vitabu zaid ndipo nikagundua hili nifanikiwe namuhitaji mtu mwenye personality tofauti na yangu nikaamua kumtafuta jamaa yangu mmoja nikamwingiza dukani alikuwa Extrovert biashara ilikuwa sana na maingizo mengi dukani yakazidi kila siku kukicha, duka likawa linatumika kam moja ya income ya kipato cha familia kilichowezesha kulipia ada.
Ushauri:
1.kwa introvert unahitaki extrovert mambo yako yaende saw ili usijifeel inferior mbele za watu japo wewe utaona uko flesh lakin wale wanaokutazama watakuwa na mtazamo hasi
2.penda kujua zaidi personality nje ya introverts and extrvts mfano kuna hizi nyingine personality alpha, beta, gamma, delta and sigma male/ female.
3.penda kujua zaid kuhusu elimu ya nyota mfano aries, leo, libra and etc

Mwisho wa siku uje na conclusion where u will stand to make you life meaningful katika hii dunia kwa manufaa yako na ya wale wanaokuzunguka.
Binafs nikapata kujua ni introvert (ambivert)+ Sigma male + aries kwasbb ukiunganisha hizi sifa utagundua zina husiana moja hadi nyingine uwezi ukasema uko introverts alaf uko alpha haiwezekan[emoji777][emoji777]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…