Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Nachukia sana hi hali
Nimejaribu kubadirika na Kujibadirisha lakini wapi
naona nipo kune One way rail no way to get out

Totally I hate To be like this.
I luv to socialize with A lot of people (known &unknown)
Mwepesi Kujieleza
Fearless

Hi Hali inanifelisha sana aisee
sioni ata Raha ya Maishe
Mdomo mzito kujieleza
Aibu zilizo zidi kiwango
Mawazo Mengi (Esp: Suicide Thoughts )
Kutojiamini Mbele za watu (Esp Girls)

Totally nipo Insecured everyday
I Hate To Be Like This
Nataka kubadirika Aisee
Hi Hali inanitesa, sioni raha yake

Gonzalo Miguel PS
¡Es Mi Futuro En Mi vida!
 
mimi nilikopa sehem hela kabla ya mwezi nilikutana na mtu kwenye kikundi alimikumbusha marejesha tu nilikasirika nikaenda kuwachekulia hela yao nikawapa yote na riba juu
bora umefanya hivyo wabongo wana dharau za kipumbavu sana,ukiwa kimya wanajua umechacha ili waje kukudhalilisha.
 
44
Hata mimi inanikera watu kuchukulia sisi ni wadhaifu kumbe tuko perfect kabisa.
Inanipa tabu sana hata wife kunizoea.

Hawa wengine ni kuwasikia na kupotezea tu, lakin kutoeleweka na mtu wa karibu kama wife ni kikwazo sana.
 
44


Hawa wengine ni kuwasikia na kupotezea tu, lakin kutoeleweka na mtu wa karibu kama wife ni kikwazo sana.
Ila ananizoea pole pole baada ya kufanya vitu kadhaa kwa vitendo bila makelele wala promo akaanza kunielewa ni mtu wa slow but sure.
Sasa hivi ameanza kuni appreciate!
 
Mkuu fanya kuonana na wataalam unahitaji msaada...mpk suicidal thoughts the problem has reached too far

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ananizoea pole pole baada ya kufanya vitu kadhaa kwa vitendo bila makelele wala promo akaanza kunielewa ni mtu wa slow but sure.
Sasa hivi ameanza kuni appreciate!

nimependa approach yako mkuu,inafariji kuona anakuelewa maana si unajua tunavyopenda sana intense relationship...enjoy mkuu.
 
Hata mimi niko hvyo.
Isipokuwa ninapokuwa kiongozi mahali na nikapewa nafasi ya kuongea za watu kwa vild ni mvivu wa kuongea huwa naingizia siasa na komedi kidogo ili kuwapunguza maswali.
But tuna ile halii watu wasipokua waelewa mfano labda umewapa amri fulani hivi waifuate,then wakapuuza huwa tunakuja na maamuzi magumu yasio na huruma ndani yake japo mwishon huwa tunajutia tulichokifanya!!
 
But tuna ile halii watu wasipokua waelewa mfano labda umewapa amri fulani hivi waifuate,then wakapuuza huwa tunakuja na maamuzi magumu yasio na huruma ndani yake japo mwishon huwa tunajutia tulichokifanya!!
Yes offcourse hata mimi ndio nilivyo.
Kwa mfano mtu akiniletea dharau huwa narekodi halafu namvizia baada ya muda mrefu sana wakati kashasahau namfanyia kitu ambacho kitamtesa miaka yote.
Yaani niko very strategic nikimuwekea mtu mtego anakuja kunasa mzima mzima lazima kamasi zimtoke.
 
Hakika Ulichoelezea hapa Ni KIOO. Nimejiona humu ndani. Asante Sana
 
Hili muhimu sana mkuu,kujielewa sisi ni watu wa aina gani na kujikubali.Mbaya zaidi inachukuliwa kuwa introvert ni udhaifu,kumbe sio,ni jinsi tulivyo tu.
Kuwa intro ni strong character ,i like this yaani wenye kujikomba ndio wawe wa maana,kuweni serious kidogo
 
sasa wewe utakuwa sio intro ila una stress za maisha maana sie intros tumeumbwa kuhimili hii hali ikiwa ni pamoja na uvumilivu wa upweke bila kufikia hali hii,binafsi naamini waliokata tamaa wengi maishani ni extros maana hawawezi kuhimili upweke na ndio hao wanahangaishwa sana na wanawake
Wewe tafuta ushauri kwa wanasikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…