Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

Soma kwa kina "The White revolution of Iran", utagundua wewe ni mtupu sana na umemeza propoganda hasi tu zilizopikwa na wafahidhina wa Iran kumuhusu Shah na utawala wake.
 
Soma kwa kina "The White revolution of Iran", utagundua wewe ni mtupu sana na umemeza propoganda hasi tu zilizopikwa na wafahidhina wa Iran kumuhusu Shah na utawala wake.
Bro kila kitu nimeweka source, situmii source za ovyo ovyo, hizo data za Elimu zinatoka Un, publications za Sayansi zipo wazi Dunia nzima zinaonekana, issue za ku nationalize zinajulikana etc mambo yote yapo wazi, unless wanasayansi na Un ni vyombo vya propaganda vya Iran
 
Umesahau na wewe kuwa Ayatola alikuwa anahifadhiwa na Watu wa magharibi na kabla ya kuingia madarakani alikuwa anakula Raha Paris
 
gdp ya nigeria ni usd 472 bilion,
gdp ya iran ni usd 413 bilion.
so nigeria kaipita iran kiuchumi, iran ni tambo tuu lakini hana lolote
Sawa umeshinda mkuu, hongera.

🤣😂😂
 
List kidogo usasa wa Iran. maana elimu haina mwisho.
 
gdp ya nigeria ni usd 472 bilion,
gdp ya iran ni usd 413 bilion.
so nigeria kaipita iran kiuchumi, iran ni tambo tuu lakini hana lolote

Lakini wakati huo Nigeria imeorodheshwa kwenye moja wapo ya nchi masikini kabisa ulimwenguni hali ya kuwa Iran ipo kwenye uchumi wa kati juu.
India ina uchumi mkubwa zaidi ya mara tatu ya Spain lakini nenda India alafu uende Spain ulingishe ubora wa maisha ya raia wao na miundo ya nchi hizo alafu urudi hapa kuongea ujinga.
 
walitakiwa wawe karibia sawa, ila yeye kaachwa mbali sana.. iran alichowazidi wao ni kipi?
Kwanini Iran ndo ilitakiwa kuwa sawa na wao na sio nchi yako ?au ww nchi yako haitakiwi kushindana na nchi nyingine na kuzipita?

Iran ni nchi yenye nguvu za kiviwanda wakati Saudia hana tofauti na Tz sema kinacho mbeba ni utajiri wa mafuta.
Uchumi wa Saudia unategemea zaidi bei ya mafuta na uwekezaji alio ufanya kwenye makampuni mbalimbali duniani, wakati Iran wenyewe wanaanzisha na kubuni makampuni yao wenyewe hawategemei kuwekeza kwenye makampuni ya wengine.

Mwaka 2023 Iran kauza bidhaa nyingi za viwandani nje ya nchi kuizidi Uturuki .
Iran inazalisha umeme mwingi zaidi ya mara 2 ya anao zalisha Uturuki.
 
unavojua wewe ni kwamba uchumi unazalishwa na viwanda pekee?
 
idadi ya watu.. nchi kama nchi ina uchumi mkubwa.. ila kuna watu pia masikini sana kwenye hizo nchi.. mada hapa hatuongelei uchumi wa watu.. tunaongelea uchumi wa nchi kama nchi, uchumi wa nchi ni somo lingine, na uchumi wa watu wanaoishi kwenye nchi husika pia ni somo lingine, mfano uchumi wa china ni imara kuliko uchumi ambao wananchi wake wanao.
kama huna uelewa na mambo haya sema tukupe darasa.
 
Uchumi mzuri ni ule unao yafanya maisha ya raia wa nchi fulani kuwa bora na nafuu,utakao wezesha nchi kujenga miundo mbinu mizuri .
Na sio uchumi wa kunufaisha wanasiasa wakati raia wako taabani kihuduma.

India ina uchumi mkubwa zaidi ya mara mbili ya Ufaransa lakini Ufaransa ina uchumi imara sana kuizidi India.
Na Ufaransa ni nchi iliyo endelea wakati India ni nchi inayo endelea.
 
hilo somo la uchumi wa nchi na uchumi wa watu na upi ni uchumi mzuri, ni somo lingine, kama ukihitaji darasa lake sema, kwa sasa mada ilikua ni ingine, so usitoke nje ya mada
 
Unaongelea uhusiano wa hijabu na umalaya? We ni mjima.....hivyo vitu havizuii umalaya
 
Umesahau na wewe kuwa Ayatola alikuwa anahifadhiwa na Watu wa magharibi na kabla ya kuingia madarakani alikuwa anakula Raha Paris
As long as sasa hivi Ayatolah hauzi Mali za Wa Iran hio ni Tosha.

Kiongozi yoyote yule haijalishi anaitwa nani kama hatumikii wananchi wake na anatumikia nchi nyengine hafai.
 
As long as sasa hivi Ayatolah hauzi Mali za Wa Iran hio ni Tosha.

Kiongozi yoyote yule haijalishi anaitwa nani kama hatumikii wananchi wake na anatumikia nchi nyengine hafai.
Ukisema hauzi mali za Wa Iran unamaanisha nini?
Iran ni mojawapo ya nchi zenye rushwa na ufisadi wa hali juu duniani. Transparency International inaiweka katika nafasi ya 147 kati ya nchi 180 duniani.
 
As long as sasa hivi Ayatolah hauzi Mali za Wa Iran hio ni Tosha.

Kiongozi yoyote yule haijalishi anaitwa nani kama hatumikii wananchi wake na anatumikia nchi nyengine hafai.
setad(EIKO) ndiko pesa za Ayatollah zinakofichwa na mali wanazoporwa Wa Iran.
 
Ukisema hauzi mali za Wa Iran unamaanisha nini?
Iran ni mojawapo ya nchi zenye rushwa na ufisadi wa hali juu duniani. Transparency International inaiweka katika nafasi ya 147 kati ya nchi 180 duniani.
Transparency haimaanishi kuna rushwa, Bali ina maanisha hawaweki wazi mambo yao.

Hutoki kuwa nobody hadi nafasi ya 15 kisayansi kwa kuwa na Serikali ya Rushwa, Viongozi wa Iran pia tunawajua, mfano Ahmednajad alikuwa lecture chuo, Kawa raisi karudi sasa hivi kuwa lecture wa chuo, na mara kwa mara anaonekana akitumia public transport. Hizi sio mentality za Rushwa kabisa ingekuwa nchi zetu huku Angekuwa anaweka tu foleni za V8.

Huyo Ahmednajad mwenyewe Ameshaenda mahakamani mara kibao Kujibu kesi za ufisadi hadi za dola 500,000, huku kwetu vingeitwa visenti.
 
Ushamba ni nini????.......kwangu mimi ushamba ni kushobokea na kuiga vitu usivyovijua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…