Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)

Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.

Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.

Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇

1. Poor leadership.
2. Lack of employment.
3. Poor infrastructure.
4. Poor social services etc.

Ndio maana hata " Victims" wa elimu hii ya mkoloni wanawaza na kufanya mambo yao katika muelekeo wa points hizo hizo.

Mfano rahisi tunauona kwenye kampeni ya " No Reform No Election".

Kama Lissu angekuwa anajibu swali kwenye essay " Kwanini wapinzani mmeshindwa kuitoa serikali madarakani? ".

Point yake ingekuwa ni 👇👇

" Lack of Free Electoral Commission " ( Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi)

Na actually hicho ndicho anacho ki demonstrate kwenye harakati zake.

Uwezo wa kufikiri wa think tankers wa Chadema ndipo ulipo ishia hapo.

Wanaona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ndio sababu kwanini wapinzani wameshindwa kuitoa CCM madarakani.

Siwalaumu kwa sababu wao pia ni victims wa Colonial Education. ( Mtaala wa NECTA)

Wangekuwa na maarifa ya ukweli wasingewaza hivyo.

Wasinge ona kutokuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi kama kikwazo cha wao kuingia madarakani na badala yake wangeona kinyume chake.

Badala ya kuona " Kutokuwepo kwa Tume Huru ya uchaguzi " Kama sababu ya kuto shiriki uchaguzi wangepaswa kuiona kama sababu ya kushiriki uchaguzi ili wakiingia madarakani waweze kuleta Tume Huru.

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Think tanks wa Chadema walitakiwa watulize vichwa chini, watafakari kwa kina , ni kwa namna gani wataweza kushinda uchaguzi na kuchukua dola licha ya uwepo wa tume hii hii iliyopo..

Hili linawezekana kabisa kwa sababu limefanyika na limefanikiwa kwenye nchi nyingi barani Afrika na duniani kwa ujumla..

Ukituambia kwamba huwezi kuchukua nchi kwa sababu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi tafsiri yake ni kwamba, unatuambia kwamba wewe hauna maarifa ama umekosa maarifa ya kuchukua dola chini ya mfumo ambao umekuwa designed for your failure.

Una waambia wapinzani wako ( Chama Dola) udhaifu wako( hofu yako) huku uki waonyesha mahali nguvu Yao dhidi yako ilipo.

So usitegemee hata siku moja hawa jamaa watafanya maboresho ya tume ili kuku favour wewe.

Maboresho utayafanya wewe utakapo ingia madarakani..

USHAURI WANGU KWA CHADEMA: TAFUTENI MBINU ZA KISAYANSI NA KIJASUSI, KUSHINDA UCHAGUZI MKUU( KUCHUKUA DOLA) CHINI YA TUME HII HII ILIYOPO. MKISHA CHUKUA DOLA NDIO MTULETEE TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Ni kweli kabisa Tundu Lissu anatakiwa kutafuta Ujanja wa kuchukua dola chini ya tume iliyopo
 
Kabisa. But hawezi fanya this time itabidi asubiri hadi 2030.

In 2030 Lissu atakuwa Mzee wa miaka 62
Akili ndogo Sana wewe LIKUD

Kama haujui hakuna Kazi ngumu Kama kuwatoa watu wajinga madarakani

Mfano .....Kama alimuua atashindwa kumuua Lissu?

Lissu is not attached with material things that is way yupo hapo alipo
 
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)

Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.

Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.

Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇

1. Poor leadership.
2. Lack of employment.
3. Poor infrastructure.
4. Poor social services etc.

Ndio maana hata " Victims" wa elimu hii ya mkoloni wanawaza na kufanya mambo yao katika muelekeo wa points hizo hizo.

Mfano rahisi tunauona kwenye kampeni ya " No Reform No Election".

Kama Lissu angekuwa anajibu swali kwenye essay " Kwanini wapinzani mmeshindwa kuitoa serikali madarakani? ".

Point yake ingekuwa ni 👇👇

" Lack of Free Electoral Commission " ( Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi)

Na actually hicho ndicho anacho ki demonstrate kwenye harakati zake.

Uwezo wa kufikiri wa think tankers wa Chadema ndipo ulipo ishia hapo.

Wanaona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ndio sababu kwanini wapinzani wameshindwa kuitoa CCM madarakani.

Siwalaumu kwa sababu wao pia ni victims wa Colonial Education. ( Mtaala wa NECTA)

Wangekuwa na maarifa ya ukweli wasingewaza hivyo.

Wasinge ona kutokuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi kama kikwazo cha wao kuingia madarakani na badala yake wangeona kinyume chake.

Badala ya kuona " Kutokuwepo kwa Tume Huru ya uchaguzi " Kama sababu ya kuto shiriki uchaguzi wangepaswa kuiona kama sababu ya kushiriki uchaguzi ili wakiingia madarakani waweze kuleta Tume Huru.

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Think tanks wa Chadema walitakiwa watulize vichwa chini, watafakari kwa kina , ni kwa namna gani wataweza kushinda uchaguzi na kuchukua dola licha ya uwepo wa tume hii hii iliyopo..

Hili linawezekana kabisa kwa sababu limefanyika na limefanikiwa kwenye nchi nyingi barani Afrika na duniani kwa ujumla..

Ukituambia kwamba huwezi kuchukua nchi kwa sababu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi tafsiri yake ni kwamba, unatuambia kwamba wewe hauna maarifa ama umekosa maarifa ya kuchukua dola chini ya mfumo ambao umekuwa designed for your failure.

Una waambia wapinzani wako ( Chama Dola) udhaifu wako( hofu yako) huku uki waonyesha mahali nguvu Yao dhidi yako ilipo.

So usitegemee hata siku moja hawa jamaa watafanya maboresho ya tume ili kuku favour wewe.

Maboresho utayafanya wewe utakapo ingia madarakani..

USHAURI WANGU KWA CHADEMA: TAFUTENI MBINU ZA KISAYANSI NA KIJASUSI, KUSHINDA UCHAGUZI MKUU( KUCHUKUA DOLA) CHINI YA TUME HII HII ILIYOPO. MKISHA CHUKUA DOLA NDIO MTULETEE TUME HURU YA UCHAGUZI.
Umeandika kuonesha huelewi hata unachoandika. Yaani waingie uchaguzini wakijua hawawezi shinda na bado watauawa ndo waseme wakashike dollar? Daaah....nyie jamaa huwa mnatumia bhangi ya wapi?
 
Nje ya makusidio ya mada ni kweli kabisa Elimu yetu ya kiboya na mwendo wa kukariri tu hayo pooor social services, Lack of good infrastructure, Poor government support nk nothing more haiongozi katika ubunifu na kumjenga mtu kuwa na uwezo mpana wa kufikiri , kunga'mua na kuchanganua mambo.

Na ukija hata masomo wanayoita ya Sayansi ni kukariri more theorical yaani vitu vya kusoma practical unaishia kufundishwa ubaoni na chaki....
 
Dogo kua unayaone. Wakati Jecha anapindua matokeo ya Uchaguzi Zanzibar wewe labda ulikuwa bado haujatolewa kuja duniani. Tuulize sisi tukwambie ambao tumehifadhi sana kwenye tumifuko watoto wa age yako na tumeshoot vimetokea vitoto kadhaa your age. KWA HII TUME HAITAKUJA TOKEA CHAMA CHA UPINZANI KUSHIKA MADARAKA.
 
Kama ni rahisi njoo wewe na hiyo njia yakijasusi!, Mi nikajua umeiandika kumbe unabwabwaja tu!.

Sidhani kama umefatilia vyema si tu tume, kuna pesa, vyombo vya usalama, kununua wapinzani, kuiba kura n.k
kama sikosei kuna clip moja ipo polepole alisema "kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi ccm ajiandae kukabidhi nchi upinzani!".
sasa wenye serikali wanatoa kauli kama hiyo we huoni kama kuna shida hapo!.

Hapa hoja inayotakiwa kushikiliwa na watu wote ni uchaguzi unatakiwa uwe huru na haki tu!, hii si kwamba ni faida kwa chadema peke yake hii ni kwa kila chama!, vipi siku ccm ikatolewa madarakani halafu wakutane na haya mambo kama wanayofanya sasahivi unafikiri hawatalalamika..?

Hii ni kwa faida ya wote, sio mnahubiri nchi yakidemokrasia halafu mnaikanyaga huo ni uhaini tupu!
 
"End justify the means" Bado tupo njiani, njia aliyotumia mwenzio kwa uwepo wako waweza iona mbovu, kamsubili mwisho upime matokeo.
 
KWA HII TUME HAITAKUJA TOKEA CHAMA CHA UPINZANI KUSHIKA MADARAKA.
Haya ndio mawazo ninayo pingana nayo mimi.

Mimi naamini kinyume chake. Naamini CCM inaweza kuangushwa kwa kutumia silaha yake hiyo hiyo inayo itegemea kukaa madarakani.

1. Just study the Electoral Commission ( kijajusi)

2. Master It.

3. Find the loopholes.

Tazama vitu gani kwenye tume hiyo mnaweza kuvitumia kufanya ujasusi ili kupata matokeo in your favour
 
Kama ni rahisi njoo wewe na hiyo njia yakijasusi!, Mi nikajua umeiandika kumbe unabwabwaja tu!.

Sidhani kama umefatilia vyema si tu tume, kuna pesa, vyombo vya usalama, kununua wapinzani, kuiba kura n.k

Hapo ndipo mechi inapotakiwa kuchezwa. Hampaswi kuogopa those are ordinary wires and tyres in politics. Hakuna urahisi kwenye harakati za kukamata dola.
kama sikosei kuna clip moja ipo polepole alisema "kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi ccm ajiandae kukabidhi nchi upinzani!".

Wapinzani lazima wajifunze mbinu za kushinda uchaguzi na kuchukua dola kwenye uchaguzi usio huru na haki.
sasa wenye serikali wanatoa kauli kama hiyo we huoni kama kuna shida hapo!.

Hapa hoja inayotakiwa kushikiliwa na watu wote ni uchaguzi unatakiwa uwe huru na haki tu!, hii si kwamba ni faida kwa chadema peke yake hii ni kwa kila chama!, vipi siku ccm ikatolewa madarakani halafu wakutane na haya mambo kama wanayofanya sasahivi unafikiri hawatalalamika..?

Hii ni kwa faida ya wote, sio mnahubiri nchi yakidemokrasia halafu mnaikanyaga huo ni uhaini tupu!
 
Hapo umeshaingia choo kisichokuhusu. Tulia endelea kunywa mtori nyama utazikuta mwishoni

Kitu gani kimebaki mkuu?

Chadema hawashiriki uchaguzi wowote ngazi yoyote hadi mwaka 2030 huku wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vikijiimarisha.

Hiyo miaka mitano nje ya ulingo wa kisiasa ni sawa na kupiga hatua nyingi sana nyuma.

Time will prove it to you.
 
Nje ya makusidio ya mada ni kweli kabisa Elimu yetu ya kiboya na mwendo wa kukariri tu hayo pooor social services, Lack of good infrastructure, Poor government support nk nothing more haiongozi katika ubunifu na kumjenga mtu kuwa na uwezo mpana wa kufikiri , kunga'mua na kuchanganua mambo.

Na ukija hata masomo wanayoita ya Sayansi ni kukariri more theorical yaani vitu vya kusoma practical unaishia kufundishwa ubaoni na chaki....
Kweli kabisa ustaadh. Ndio maana msomi mzima wa sheria anakuja na hoja kwamba KIKWAZO cha upinzani kuchukua nchi ni " Lack of Free Electoral Commission ".

Swali alilotakiwa kusolve Lissu ambalo amelikimbia ni " Unaweza vipi kuwashinda CCM kwenye uchaguzi chini ya tume iliyopo?"
 
Back
Top Bottom