Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Kwenye hili andiko lako, nilitegemea kuona njia mbadala ya kutumiwa na chadema!
Pole pole aliwahi kusema, kama uchgauzi utakuwa huru na haki ccm haiwezi kushinda
 
Unavyojimaliza sasa utafikiri wewe na Bwana zako wa CCM wote mmesoma Maka tangu A,B,C.
 
Ukiwa umeshawahi kuwa hata mlinzi kwenye kituo cha uchaguzi tu na bado ukaendelea kupuuza umuhimu wa tume huru ya uchaguzi na katiba mpya basi wewe mahali sahihi unapostahili kuwa ni Mirembe.

Kufikiria upinzani kushika dola kwa mazingira hayo ndio hata Mirembe bado hapakutoshelezi kabisa haijalishi una elimu gani.

Hao wapinzani wa Urusi, China, Venezuela nk wanaofanyiwa drama na ukatili wa kutosha unafikiri hawana akili? Achana na chama dola kabisa, hasa chama dola kama sisiem ambacho hadi vyombo vya usalama kimefanikiwa kuvitia mfukoni.
 
Back
Top Bottom