Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

Umeandika kuonesha huelewi hata unachoandika. Yaani waingie uchaguzini wakijua hawawezi shinda na bado watauawa ndo waseme wakashike dollar? Daaah....nyie jamaa huwa mnatumia bhangi ya wapi?
Hata hujaelewa mada yangu. Nimesema Chadema kama Chama. cha Siasa kinacho jiandaa kuchukua dola hakipaswi kuona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi kama KIKWAZO cha wao kushinda uchaguzi mkuu, walitakiwa kuwa na mkakati wa KIJASUSI ambao utawawezesha kushinda uchaguzi chini ya tume hiyo hiyo inayo wa favour CCM. Usipo elewa hoja yangu you will never be wise
 
Kitu gani kimebaki mkuu?

Chadema hawashiriki uchaguzi wowote ngazi yoyote hadi mwaka 2030 huku wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vikijiimarisha.

Hiyo miaka mitano nje ya ulingo wa kisiasa ni sawa na kupiga hatua nyingi sana nyuma.

Time will prove it to you.
Fact
 
Fact
Nje ya makusidio ya mada ni kweli kabisa Elimu yetu ya kiboya na mwendo wa kukariri tu hayo pooor social services, Lack of good infrastructure, Poor government support nk nothing more haiongozi katika ubunifu na kumjenga mtu kuwa na uwezo mpana wa kufikiri , kunga'mua na kuchanganua mambo.

Na ukija hata masomo wanayoita ya Sayansi ni kukariri more theorical yaani vitu vya kusoma practical unaishia kufundishwa ubaoni na chaki....
 
Kitu gani kimebaki mkuu?

Chadema hawashiriki uchaguzi wowote ngazi yoyote hadi mwaka 2030 huku wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vikijiimarisha.

Hiyo miaka mitano nje ya ulingo wa kisiasa ni sawa na kupiga hatua nyingi sana nyuma.

Time will prove it to you.
baada ya Octoba, ccm wanajua nini kitaendelea ndio mana wapo/mpo biz kupindisha muelekeo, Mmechelewa. Kwenye hili chadema imepata wafuasi wengi zaidi.
Unajua mimi mwenyewe 2020 sikupiga kura kwa sababu ya rafu za dola ya ccm. Now nipo pamoja na Cdm, tupo wengi na ccm walipchoks tupo nao. Jaeabu kamili ni hiyo siku ije
 
baada ya Octoba, ccm wanajua nini kitaendelea ndio mana wapo/mpo biz kupindisha muelekeo, Mmechelewa. Kwemye hili vhadema imepata wafuasi wengi zaidi. Unajua mimi mwenyewe 2020 sikupiga kura kwa sababu ya rafu za dola ya ccm. Now nipo pamoja na Cdm, tupo wengi na ccm walipchoks tupo nao. Jaeabu kamili ni hiyo siku ije
🤣🤣🤣🤣 mtakiwasha?
 
Hata hujaelewa mada yangu. Nimesema Chadema kama Chama. cha Siasa kinacho jiandaa kuchukua dola hakipaswi kuona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi kama KIKWAZO cha wao kushinda uchaguzi mkuu, walitakiwa kuwa na mkakati wa KIJASUSI ambao utawawezesha kushinda uchaguzi chini ya tume hiyo hiyo inayo wa favour CCM. Usipo elewa hoja yangu you will never be wise
Ukikosoa bila kutoa wazo mbadala na wewe unakuwa wale wale.

Ungeweka hapa mbinu za tofauti ulizo nazo tufanye tathmini.

Mbinu mojawapo ya ccm ni kuwa mgombea wao hata akipata kura 0 anatangazwa mshindi maana mtangazaji wa matokea ni kada wao
 
🤣🤣🤣🤣 mtakiwasha?
Hilo ndio lililokuwa akilini mwako, sio hivyo. Hiv asipotokea mtu kupiga kura mtasema kuna uchaguzi, au ukipiga wewe na ukoo wako kukuchagua, bado itakua aibu.
 
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)

Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.

Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.

Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇

1. Poor leadership.
2. Lack of employment.
3. Poor infrastructure.
4. Poor social services etc.

Ndio maana hata " Victims" wa elimu hii ya mkoloni wanawaza na kufanya mambo yao katika muelekeo wa points hizo hizo.

Mfano rahisi tunauona kwenye kampeni ya " No Reform No Election".

Kama Lissu angekuwa anajibu swali kwenye essay " Kwanini wapinzani mmeshindwa kuitoa serikali madarakani? ".

Point yake ingekuwa ni 👇👇

" Lack of Free Electoral Commission " ( Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi)

Na actually hicho ndicho anacho ki demonstrate kwenye harakati zake.

Uwezo wa kufikiri wa think tankers wa Chadema ndipo ulipo ishia hapo.

Wanaona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ndio sababu kwanini wapinzani wameshindwa kuitoa CCM madarakani.

Siwalaumu kwa sababu wao pia ni victims wa Colonial Education. ( Mtaala wa NECTA)

Wangekuwa na maarifa ya ukweli wasingewaza hivyo.

Wasinge ona kutokuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi kama kikwazo cha wao kuingia madarakani na badala yake wangeona kinyume chake.

Badala ya kuona " Kutokuwepo kwa Tume Huru ya uchaguzi " Kama sababu ya kuto shiriki uchaguzi wangepaswa kuiona kama sababu ya kushiriki uchaguzi ili wakiingia madarakani waweze kuleta Tume Huru.

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Think tanks wa Chadema walitakiwa watulize vichwa chini, watafakari kwa kina , ni kwa namna gani wataweza kushinda uchaguzi na kuchukua dola licha ya uwepo wa tume hii hii iliyopo..

Hili linawezekana kabisa kwa sababu limefanyika na limefanikiwa kwenye nchi nyingi barani Afrika na duniani kwa ujumla..

Ukituambia kwamba huwezi kuchukua nchi kwa sababu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi tafsiri yake ni kwamba, unatuambia kwamba wewe hauna maarifa ama umekosa maarifa ya kuchukua dola chini ya mfumo ambao umekuwa designed for your failure.

Una waambia wapinzani wako ( Chama Dola) udhaifu wako( hofu yako) huku uki waonyesha mahali nguvu Yao dhidi yako ilipo.

So usitegemee hata siku moja hawa jamaa watafanya maboresho ya tume ili kuku favour wewe.

Maboresho utayafanya wewe utakapo ingia madarakani..

USHAURI WANGU KWA CHADEMA: TAFUTENI MBINU ZA KISAYANSI NA KIJASUSI, KUSHINDA UCHAGUZI MKUU( KUCHUKUA DOLA) CHINI YA TUME HII HII ILIYOPO. MKISHA CHUKUA DOLA NDIO MTULETEE TUME HURU YA UCHAGUZI.
Ushauri mzuri thou umekuja katika wakati ambao sio sahihi sana.

Ulianza vibaya ila umelimaliza vizuri sana andiko lako.
 
Una hoja ya msingi sana. Na hiki ndicho kitu kinachotakiwa. Na siyo kulalamikia sababu zile zile tu kila siku. CHADEMA mnatakiwa mtafute njia za kisayansi za kuweza kuwaondoa ccm.

Mngepeleka hata wataalamu wenu kwenye nchi za Ghana, Senegal, Botswana, Zambia, nk. Ambako kwa nyakati fulani wapinzani walifanikiwa kuviondoa madarakani vyama tawala, kupitia sanduku la kura.

Sidhani kama na huko kulikuwa hakuna wizi wa kura na figisu nyingine kutoka vyombo vya dola, nk.
 
Una hoja ya msingi sana. Na hiki ndicho kitu kinachotakiwa. Na siyo kulalamikia sababu zile zile tu kila siku. CHADEMA mnatakiwa mtafute njia za kisayansi za kuweza kuwaondoa ccm.

Mngepeleka hata wataalamu wenu kwenye nchi za Ghana, Senagal, Botswana, Zambia, nk. Ambako kwa nyakati fulani wapinzani walifanikiwa kuviondoa madarakani vyama tawala, kupitia sanduku la kura.

Sidhani kama na huko kulikuwa hakuna wizi wa kura na figisu nyingine kutoka vyombo vya dola, nk.
100% Fact.
And this is what I am talking about
 
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)

Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.

Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.

Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇

1. Poor leadership.
2. Lack of employment.
3. Poor infrastructure.
4. Poor social services etc.

Ndio maana hata " Victims" wa elimu hii ya mkoloni wanawaza na kufanya mambo yao katika muelekeo wa points hizo hizo.

Mfano rahisi tunauona kwenye kampeni ya " No Reform No Election".

Kama Lissu angekuwa anajibu swali kwenye essay " Kwanini wapinzani mmeshindwa kuitoa serikali madarakani? ".

Point yake ingekuwa ni 👇👇

" Lack of Free Electoral Commission " ( Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi)

Na actually hicho ndicho anacho ki demonstrate kwenye harakati zake.

Uwezo wa kufikiri wa think tankers wa Chadema ndipo ulipo ishia hapo.

Wanaona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ndio sababu kwanini wapinzani wameshindwa kuitoa CCM madarakani.

Siwalaumu kwa sababu wao pia ni victims wa Colonial Education. ( Mtaala wa NECTA)

Wangekuwa na maarifa ya ukweli wasingewaza hivyo.

Wasinge ona kutokuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi kama kikwazo cha wao kuingia madarakani na badala yake wangeona kinyume chake.

Badala ya kuona " Kutokuwepo kwa Tume Huru ya uchaguzi " Kama sababu ya kuto shiriki uchaguzi wangepaswa kuiona kama sababu ya kushiriki uchaguzi ili wakiingia madarakani waweze kuleta Tume Huru.

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Think tanks wa Chadema walitakiwa watulize vichwa chini, watafakari kwa kina , ni kwa namna gani wataweza kushinda uchaguzi na kuchukua dola licha ya uwepo wa tume hii hii iliyopo..

Hili linawezekana kabisa kwa sababu limefanyika na limefanikiwa kwenye nchi nyingi barani Afrika na duniani kwa ujumla..

Ukituambia kwamba huwezi kuchukua nchi kwa sababu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi tafsiri yake ni kwamba, unatuambia kwamba wewe hauna maarifa ama umekosa maarifa ya kuchukua dola chini ya mfumo ambao umekuwa designed for your failure.

Una waambia wapinzani wako ( Chama Dola) udhaifu wako( hofu yako) huku uki waonyesha mahali nguvu Yao dhidi yako ilipo.

So usitegemee hata siku moja hawa jamaa watafanya maboresho ya tume ili kuku favour wewe.

Maboresho utayafanya wewe utakapo ingia madarakani..

USHAURI WANGU KWA CHADEMA: TAFUTENI MBINU ZA KISAYANSI NA KIJASUSI, KUSHINDA UCHAGUZI MKUU( KUCHUKUA DOLA) CHINI YA TUME HII HII ILIYOPO. MKISHA CHUKUA DOLA NDIO MTULETEE TUME HURU YA UCHAGUZI.
Nikafikir unakuja na hiyo mbinu kumbe na wewe umekujakuongea yale yale. Kwa jins mbinu zilivyokuishia ndivyo na wao
 
Umetumia mbinu ya kuponda elimu ili kujiridhisha na mawazo yako. Kaa tena ufikirie kwani hauelewi uhalisia wa Siasa za Tanzania.
 
Wakati Nina soma thread hii nilijua mwishoni hutatoa hizo mbinu ndugu mwandishi!!! Nilijua TU umekuja kuwaponda NECTA !!! Sasa mbona hujawaeleza hizo mbinu za kijasusi Ili wanachadema waweze kuzitumia???
 
Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money)

Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho.

Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi.

Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇

1. Poor leadership.
2. Lack of employment.
3. Poor infrastructure.
4. Poor social services etc.

Ndio maana hata " Victims" wa elimu hii ya mkoloni wanawaza na kufanya mambo yao katika muelekeo wa points hizo hizo.

Mfano rahisi tunauona kwenye kampeni ya " No Reform No Election".

Kama Lissu angekuwa anajibu swali kwenye essay " Kwanini wapinzani mmeshindwa kuitoa serikali madarakani? ".

Point yake ingekuwa ni 👇👇

" Lack of Free Electoral Commission " ( Kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi)

Na actually hicho ndicho anacho ki demonstrate kwenye harakati zake.

Uwezo wa kufikiri wa think tankers wa Chadema ndipo ulipo ishia hapo.

Wanaona kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ndio sababu kwanini wapinzani wameshindwa kuitoa CCM madarakani.

Siwalaumu kwa sababu wao pia ni victims wa Colonial Education. ( Mtaala wa NECTA)

Wangekuwa na maarifa ya ukweli wasingewaza hivyo.

Wasinge ona kutokuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi kama kikwazo cha wao kuingia madarakani na badala yake wangeona kinyume chake.

Badala ya kuona " Kutokuwepo kwa Tume Huru ya uchaguzi " Kama sababu ya kuto shiriki uchaguzi wangepaswa kuiona kama sababu ya kushiriki uchaguzi ili wakiingia madarakani waweze kuleta Tume Huru.

SASA WANAINGIA VIPI MADARAKANI KWA TUME ILIYOPO WAKATI TAYARI WAMESHAJUA KWAMBA UWEPO WA TUME ILIYOPO NDIO KIKWAZO CHA WAO KUTO KUINGIA MADARAKANI?
........................... ..............................................

Hapo ndipo kwenye mechi. Hapo ndipo mechi inapo takiwa kuchezwa.

Think tanks wa Chadema walitakiwa watulize vichwa chini, watafakari kwa kina , ni kwa namna gani wataweza kushinda uchaguzi na kuchukua dola licha ya uwepo wa tume hii hii iliyopo..

Hili linawezekana kabisa kwa sababu limefanyika na limefanikiwa kwenye nchi nyingi barani Afrika na duniani kwa ujumla..

Ukituambia kwamba huwezi kuchukua nchi kwa sababu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi tafsiri yake ni kwamba, unatuambia kwamba wewe hauna maarifa ama umekosa maarifa ya kuchukua dola chini ya mfumo ambao umekuwa designed for your failure.

Una waambia wapinzani wako ( Chama Dola) udhaifu wako( hofu yako) huku uki waonyesha mahali nguvu Yao dhidi yako ilipo.

So usitegemee hata siku moja hawa jamaa watafanya maboresho ya tume ili kuku favour wewe.

Maboresho utayafanya wewe utakapo ingia madarakani..

USHAURI WANGU KWA CHADEMA: TAFUTENI MBINU ZA KISAYANSI NA KIJASUSI, KUSHINDA UCHAGUZI MKUU( KUCHUKUA DOLA) CHINI YA TUME HII HII ILIYOPO. MKISHA CHUKUA DOLA NDIO MTULETEE TUME HURU YA UCHAGUZI.
Utapambanaje kwenye uchaguzi huku ukijua kabisa kuna faulo mbovu?

Nimekupima maelezo yako na kuona kama ni mtu ambaye haujasikiliza na kuzichambua hoja za Cdm.

Hoja zao ni fupi na zenye maana... 'Turekebishe taratibu za uchaguzi ili kura ziheshimiwe na kutoa maokeo ya haki'.
 
Kilevi kinampa mtu uwezo wa kujiamini akiandikacho, sijaelewa ni vipi hawa wa Chadema wakaathiriwa na elimu ya mkoloni na wengine wote hawakuathirika japo kiumri wako sawa.
Pombe siyo maji.
 
Ni kweli kabisa Tundu Lissu anatakiwa kutafuta Ujanja wa kuchukua dola chini ya tume iliyopo
Ni ngumu sana walishajaribu hizo njia zote na wakashindwa kama ingekuwa rahisi kucheza na tume basi 2015 mshindi angekuwa Lowasa No reform No Elections wameona ndo mbinu rahisi na kweli kidg imewaletea matunda si umeona watu wanavyopayuka kila siku huenda itawalipa
 
Back
Top Bottom