Jinsi Kenya inavyotoa vipato vinono kwa walimu na watumishi ukilinganisha na Tanzania

Haelewi huyo bei za vitu Kenya ziko.juu.mno.kuliko Tanzania ni sawa mtu aseme Marekani mwalimu wa cheti analipwa milioni moja kwa mwezi
Mareksni haotoshi hata kupanga chumba
Watanzania huagiza vitu vingi kutokea Nairobi. Mitumba, nguo, viatu na mayai, Sasa unaweza toa vitu kutoka kwenye bei kubwa kuja kuuza kwenye bei ndogo? Tumia akili
 
Ndiyo maana elimu yangu iko na good quality, walimu wanafundisha hawana stress za ugumu wa maisha.
 
Nimeishi kenya kaka, inawezekana kweli wanapata hayo lakini maisha ya walimu wa Kenya ni magumu kama huku tu. Kwanza life expenses kwa Kenya Iko juu. Walimu na polisi wanajinyonga Sana Kenya.
 
Kabla haujaangalia walimu / watumishi / raia wenye ajira zenye ujira angalia maelfu ambao hata hio ajira hawana....

Ukitaka kujua tatizo lilipo mwambia yoyote hapo atangaze kuacha kazi uone ni wangapi watagombania hio kazi. Demand ni Kubwa kuliko mfano...; (Hapo ndio utaona issue sio kuongeza marupurupu tu hio haitaondoa shida ya mamilioni ambao hata hio peanuts hawapati)

By the way wale wakenya ambao huwa ninawaona wanakuja huku kufundisha English na masomo ya hapa na pale wanatafuta nini huku wakati kwao ni more greener ?!!!!

Ifike wakati tuangalie matatizo kwa ujumla wake (sio kila mtu kufutia kwake; hapo watumishi wakipewa ongezeko wanaanza kuimba habari za kuupiga mwingi bila kuangalia ndugu yake mkulima; mkulima akidanganywa walaji ndio wanaomyonya basi tena ndio wanasahau shida walio kitaa wasio na kazi; watu elfu kumi wakipewa kazi wanaimba nyimbo za kusifu na kusahau ambao hata mikopo ya kusoma haipo)..., Divide and Rule at its Best....
 
Kiongozi anatumia pesa ya umma kugharamia kampeni za chama chake alafu mnamtafuta mchawi wenu ni nani ?

Huwezi pigania watu wasio jielewa kama watanzania
 
Mfanyakazi wa Serikali mwenye masters anazidiwa take home na housgirl aliyefeli darasa la nne akaenda Oman kuosha vyombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…