Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

Vipi hapa?
IMG_20221212_102931_4.jpg
 
Hapa nilipo sasa hivi nimevaa American desert boots za kijeshi kwahiyo wataka kusema nafanananiaje?
 
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.

Both kwa ladies and gentlemen.

Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .

Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.

Hata kama kiatu ni cha bei chee lakini handsome boy au binti mrembo atapoint kizuri.
Wewe kiatu chako kikoje kiongozi? Maana tochi si tunaanza kumulika kuanzia miguuni[emoji4][emoji16]
 
Back
Top Bottom