Jinsi kiswahili kinavyomrudisha nyuma Diamond

Muziki wenyewe tayari ni lugha ambayo inaeleweka dunia nzima. Music itself is a universal language. Wahindi wametuimbisha sana masongi na tulikuwa hata hatuelewi wanachoimba. Sasa Kuch Kuch Hota Hai nani alikuwa anaelewa?

Una hoja dhaifu.
 
Muziki wenyewe tayari ni lugha ambayo inaeleweka dunia nzima. Music itself is a universal language. Wahindi wametuimbisha sana masongi na tulikuwa hata hatuelewi wanachoimba. Sasa Kuch Kuch Hota Hai nani alikuwa anaelewa?

Una hoja dhaifu.
 
Ina maana kwa kipindi ambacho walikua sawa kimuziki diamond alikua anatumia lugha gan

Lugha sio kigezo sana cha kufanya muZiki unaoufanya ufike mbali. Music it's all about melody.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sidhani kama mondi alikuwa Sawa na hao jamaa kimuziki kabla , davido alikuwa juu kuliko mondi for that time ndio maana mondi alimtumia davido kujukikana zaidi baada ya kumshilikisha
 
Yes that's point
 
Kuna watu hawajui chochote kuhusu mziki
 
Waliimba kwa kifaransa mataifa kibao africa yana zungumza kifaransa, Diamond mjanja sana aisee ana ngoma yake inaitwa wakawaka imekuwa banned hapa bongo ila inachezwa U.S jamaa kajitahidi kulenga japo kiswahili kinatuangusha sana.
Hiki ndiyo kifaransa eeeeh!!??!
By Koffie olomide
biso nyoso tokelela mopao a eeeee.....!!!!
biso nyoso tokelela mopao a eee.... na mobengeli
 
Umeleta mada nzuri na mjadala mzito lakini dhana yako inapingana na jinsi wimbo wa MALAIKA wa Miriam Makeba raia wa SA alioimba kwa kiswahili na kuwa maarufu sana duniani kote kwa miongo zaidi ya 3.
 
Mkuu wimbo wa malaika wa kiswahili ulipendwa na kuigwa na wanamuziki wakubwa sana duniani mfano Born M, na wengine wengi.

Tafadhari search google taarifa za huu wimbo. Huenda wewe ni kijana mdogo sana haujui kuhusu hili jambo.

Kitu cha msingi ni kuimba wimbo mzuri na ujumbe mzuri na ndicho kilicho ubeba wimbo wa Malaika.
 
najaribu kuwaza ue wimbo wa nyegezi auweke kwa kiingereza aisee itaibuka lugha mpya
 
Despacito ilipendwa sana na asilimia kinwa ya watu hawajui nini kimesemwa
 
Naam
Sent using Nokia 6
 
Bro kile Ni kifaransa, Ndio Maana Diamond Kaamua Kutafuta Collabo Na Wafaransa Kwasababu Kifaransa Huwezi Fananisha na Kiswahili
Sio kila wimbo ni Kifaransa

Sent using my Nokia Torch
 

Bora umesema ni mtizamo

hauko sahihi

ukubwa wa mwanamuziki ni base ya washabiki wanaoweza kununua, kuingia kwenye matamasha na kununua bidhaa zake

Diamon hata ajue kiingereza kama Trump hawezi tamba calfornia kama ambavyo anaweza kutamba Tandale

Diamond with kiswahili anaweza tamba uganda, kenya, burundi, rwanda, congo, shelisheli, sudani ya kusini na hata zambia!

ujuaji wa kiswahili ndio unaomfanya chamelion a uganda kuwika east africa

uwe mjapan, mchina, mrusi, mhindi very fluent in english hauwezi penya soko la muziki la kidunia kwa sababu ya kujua kiingereza, its all about creativity any music hauna specific language

Mkuu, hivi despacito. makarena, ni english?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…