Jinsi kiswahili kinavyomrudisha nyuma Diamond


sure, ziko nyingi non english hit song
 
Wataelewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibebe ibebe hivi maana yake ni nini
 
Hivi zile lyrics anazoimba kwa kiswahili.. unaona aki translate kuwa za kimombo bado watu watasikiliza na kufurahia.. haswa zenye kuimba juu ya kutendana tendana tu anazotoa sana na wenzaketangu mwaka jana?
Inama inama
 
NAUNGA MKONO HOJA,sio DIAMOND tu watanzania wote kwa ujumla KISWAHILI kinatutia UMASIKINI,pumbavu zake alieazimia lugha ya taifa iwe kiswahili
 


MUSIC WA CONGO UNATUMIA LUGHA YA KIFARANSA
 
Dah ingekuwa hivyo akina Franco Luambo Makiadi, Bongo man, Koffi Olomide n.k tusingewaju maana hata sielewi wanaimba nini ila miziki yao naipenda balaa...
Ongeza wakina Cab snoop, Dj Snake mafiki zolo, na makilikili mbona walisumbua sana aisee?..

Mziki ni merodi sio lugha hata mimi naungana na wewe Sema diamond anachozidiwa ni management wanageria wengi wanaishi Marekani na wanageria ndio taifa linaloongoza kuwa na watu wengi nje ya Africa kuliko nchi zote.....


So commercial music unahitaji connection ya wamarekani na ulaya ukishatoboa tu uko tayari ila sio lugha hapana .

Dj Snake ndio msanii tishio kwa sasa kweny chart za bigboard lakini mala nyingi anatumia rugha tofauti na kingereza na anatoboa soko la marekani.

Rihana pia aliwai kufanya ivyo akafanikiwa uko nyuma na wasanii kibao .

Mleta mada anazengua.
 
Deespaacito!
Pacito Γ  pacito,
Suave suavecito,
Nos,vamos pegando,
Poquito Γ  poquito.....

Luis Fonsi huyo wimbo una viewers Bilioni 4 Youtube na hamna Kiingereza humo
 
Just to realize wimbo wa Azda wa Franco ni tangazo la Volks Wagen....na wimbo Muzima wa Kanda Bongoman ni wimbo wa injili....mi nilifurahia beat na mashairi hata sikujua wanaimba nini.

Sent using my Nokia Torch
Adza na Kisangani Zairee, Veewee! Veewee! Veweee! Veewee!.... Nilifurahi sana niliposikia tafsiri ya wimbo huu toka kwa mtangazaji Masoud Masoud! I love the song
 
Kinachomponza Chibu ni USWAHILI sio kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…