Jinsi Lissu alivyoushtukia mtego uliopangwa na mamlaka wakishirikiana na Dkt. Slaa

Lisu ni wahovyo kama wewe
 
Ya ni kweli ndomaana alishtukia chezo.
Mimi naweza kukubaliana na hii stori kwa sababu Lisu hakusema chochote baada ya seke seke la Slaa. Itakuwa alitonywa.

Kungekuwa hakuna uchaguzi, lazima Lisu hata angesema kitu kuhusu kukamatwa kwa Slaa
 
Tego la panya hilo tena wameziba shimo kwa silesi za mkate
 
Nilikuwa nashangaa, Slaa ni kama vile alikuwa upande wa Lisu kwa kumponda Mwamba. Sasa iweje Slaa amekamatwa halafu Lisu katulia tu kimyaa wakati Slaa alitoa kashfa ambazo zilikuwa ni advantages kwa Lisu dhidi ya Mwamba!
Lisu kashtukia mchezo. Utaona jinsi kesi ya Dr Slaa itavyoyeyuka baada ya uchaguzi mkuu Chadema kuisha.

Maana lengo kuu lilikuwa ni kumkamata Lisu ili asishiriki uchaguzi mkuu wa chama ili mwamba ashinde kiulaini bila upinzani wa maana.
 
Kwamba lupango anasota kimaigizo pia!
Subiri uone jinsi kesi ya Dr Slaa itavyoyeyuka kimya kimya baada ya uchaguzi wa Chadema kuisha.

Lengo na mipango yao imeshindikana, hivyo itabidi Dr aachiwe tu kimya kimya arudi uraiani kuendelea kula zake mihogo na uji.
 
Mimi naweza kukubaliana na hii stori kwa sababu Lisu hakusema chochote baada ya seke seke la Slaa. Itakuwa alitonywa.

Kungekuwa hakuna uchaguzi, lazima Lisu hata angesema kitu kuhusu kukamatwa kwa Slaa
Kweli kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…