Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Duh
 
Jamaa angu alipata uteuzi wa HoD, akawa anapokea 4G+... akazama Bank... mkopo 70m... marejesho Million 120+ huko...
Hapo jamaa alijiibia mwenyewe, alizingua mwenyewe kwa hayo marejesho ni wazi kuwa alimua kulipa huo mkopo kwa miaka mingi

Na Sijui kwanini aliamua kufanya hivo ilhali alikuwa na mshahara mkubwa, labda kama alikuwa na madeni mengine

Angeamua kulipa ndani ya miaka 3 angeishia kulipa kwenye around 84-87M na jamaa wangekuwa kwa mwezi wanapangusa kwenye salary kama 2,500,000 kitu ambacho sio kibaya kwa mtu alievuta 70M
 
Daaah comment za wadau zimenisaidia sana kwangu mm binafsi..
 
Atumie Abc BANC au awasiliane 0676373833 DSA wa Abc BANK
 
Unapata shida bure tu.sasa hiv kwenye mfumo inaonesha kila kitu. Ni kwel ukiomba mf 6m unaaambiw utayochkua ni 5.4 unaoneshwa processes sijui insurance sikjui takataka gan bas ilimrad uelewe. Uislam tu ndio uliamua kuiharamisha riba kwan ilijua haya.
 
kwamba kwenye Islamic banking kuna mikopo isiyo na gharama kwa mkopaji? yaani ukikopa 5M utarudisha 5M tu pasipo kurudisha pesa nyingine yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…