Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] biashara kichaa hii. Anakatwa 383000 kwa miezi 84, sawa na mil32 ili apewe mil16!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hatari sanaa...! Bank nao kama.kaushaa damu tu siku hiziii.. Ubaya wanakata kiasi cha helaa hawawezi kata zaidi ya sheria inavyotakaa ndo maana inabdi upewe Muda mrefu wa kulipa denii humo ndo unajikuta unalipa Mara 3 ya deni.
 
Kumbuka hawalipwi na serikali, bali wanajiendesha wao wenyewe ili wapate mishahara ya kujikimu n.k
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hatari sanaa...! Bank nao kama.kaushaa damu tu siku hiziii.. Ubaya wanakata kiasi cha helaa hawawezi kata zaidi ya sheria inavyotakaa ndo maana inabdi upewe Muda mrefu wa kulipa denii humo ndo unajikuta unalipa Mara 3 ya deni.
Mzee wa kimasihara na huku upo?
 
Rick boy ujue wew ni legend mzee....usije ukatuambia ulikopa Benki Fulani kimasihara hv karbun [emoji23][emoji23][emoji23] ila ule uzi wko ni nyoko aisee unatamba hd leo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mikopo noma mzee... kimasiharaa tu unafilisiwaa.. Uzi utadumu mpaka jf ikifaaa
 
Kuna watu wanavutaa bhangi sijuii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yani mimi nina shida nianze kukupa hel ili uje unikopesheee..
Mi nilishangaa maana walikuwa wanasema hawana riba nikamuuliza muhusika sasa mnajiendeshaje
Ndio akaniambia wanachukua pesa wanakaa nayo miezi 6 ndio mtu sasa anaanza kukopa nikabaki heeeeeeeeeee 😄
 
Yaani mkopo wa milioni 6 kwa miaka 8 huyo jamaa ni mpuuzi [emoji2][emoji2957] si achukue miaka miwili atakatwa kila mwezi 285,251 kwa miaka miwili na riba itakuwa 846,024 sawa na 6,846,024 kwa riba ya 13% huyo itakuwa mwalimu ndo wanapenda shida[emoji23][emoji23]
Wewe fara sana usiwadharau walim
 
Yaani mkopo wa milioni 6 kwa miaka 8 huyo jamaa ni mpuuzi [emoji2][emoji2957] si achukue miaka miwili atakatwa kila mwezi 285,251 kwa miaka miwili na riba itakuwa 846,024 sawa na 6,846,024 kwa riba ya 13% huyo itakuwa mwalimu ndo wanapenda shida[emoji23][emoji23]
Aisee embu acha hizo fikra zako potofu juu ya walimu kwasababu wakopaji bank ni watumishi wote na sio walimu tu. Mtumishi yeyote anaweza akachukua mkopo mdogo na akasema akatwe miaka mingi. Kila mtu ana uamuzi juu ya muda wa kukatwa kwahiyo acha hizo kashfa zako juu ya walimu. Walimu hawajakufunza ili uje kuwa adui yao na kuwasingizia mabaya kila mara. Asiyeheshimu walimu hana akili timamu.
 
Back
Top Bottom