Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliyekopa ni mpumbafu sanaMiezi 96 ni miaka 8. ni mjinga pekee anayeweza kopa mdogo hivyo kwa kipindi cha zaidi ya miezi 48.
Mikopo ya muda mrefu mi ghali sana.
Yaani unakopa kabla ya mtoto kuzliwa unaendelea kulipa mpaka mtoto anafanya national ya std 4.
Hauajakukuta weye. NMB is one of the corrupt banks now. Very corrupt. Nawashauri watumishi hamieni CRDB. Wako vizuri.Kwani utachukua mkopo bila kusoma mkataba
Mkuu kwahiyo wao wanapataje faida?Acha uongo.
Bank za Kiislamu zote hazina riba.
Wanachokifanya ni kuwa wao hawakupatii hela in cash, wanakopesha vitu au kitu hawakopeshi hela.Mkuu kwahiyo wao wanapataje faida?
Mfano ukope 40M Kwa miaka 7 na ulipe 40M kwa hiyo Miaka 7 wao wanakuwa wanajiendesha vipi?
Na kwakuwa ni Bank it means wanatoa mikopo mara kwa mara, kwahiyo inawezekana ndani ya mwaka labda wamekopesha watu 50, gharama za uendeshaji hapo zinakuwa covered vipi?
Au ili ukidhi vigezo vya kukopesheka inabidi wewe mkopaji uwe na vigezo gani hasa, maana naamini watu wengi wangekimbilia huko ambapo hakuna Riba, maana Riba ni balaaa
OkWanachokifanya ni kuwa wao hawakupatii hela in cash, wanakopesha vitu au kitu hawakopeshi hela.
Kwa mfano una duka lako unahisi mzigo ni mdogo unataka kuongeza, unawafata wao wanaununua mzigo husika then wanakuuzia wewe, apo kwenye kukuuzia wanaingiza chao cha ziada.
Au tuseme mtumisha anahitaji kununua gari, anakwenda benki anawaambia gari anayoitaka then wanainunua na kumuuzia mtumishi au mtu mwengine.
KUBWA NI KUWA BENKI ZA KIISLAMU HAWAKOPESHI HELA, WANAKOPESHA VITU.
Mfanyakazi akope wapi sasaMfanyakazi Kukopa benki ni ujinga namba moja
Watayafunga, asilimia 80 ya uendeshaji wa mabenk wanategemea kuwakamua wafanyakazi!Kweli, Mimi naona kungekuwa na utaratibu wafanyakazi wa serikali wote wawe wanakopa hazina
Mnasubiri wapi kila siku kusumbua watumishi kwa kupiga simu kuwaomba wakakope.pigeni kelele,lalamikeni muwezavyo!!!
Sisi tupo paleee tunawasubiria mnavyokuja mikono nyuma mmejaaa shida..Kila mkataba mnasaini tuuu...
WW kama hutaki mikopo bana matumizi Yako,acha tamaaa ya vilivyo nje ya kipato chako,acha uzinzi maana wengi wenu ngono NDio zimewatia umaskini,, ..
Mnapiga kelele humu wakati mnapambana Kila Kona mpewe mikopo Kwa tamaaa zenu au ujinga wenu...
Uzuri wao upoje?Hauajakukuta weye. NMB is one of the corrupt banks now. Very corrupt. Nawashauri watumishi hamieni CRDB. Wako vizuri.
Hiyo hati unaipeleka wapi?Kama mkataba wa mkopo benki unashindwa kuelewa mtaweza kuelewa mkataba wa bandari? Watumishi wa umma hasa waalimu huwa kuna mafunzo fulani ya jinsi ya kuwa mjinga mnapewa huko vyuoni? Mimi huwa nachukua sana mikopo ila sijawahi kukutana na upuuzi wa kulipa zaidi ya makubaliano ya kwenye mkataba. Na huwa nikimaliza kulipa narudishiwa hati yangu bila kuzungushana. Tatizo ni nini kwa watumishi wa umma?
Hati ni yanguHiyo hati unaipeleka wapi?
Riba iko chini kuliko ya NMBUzuri wao upoje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo wangu kapata ajira baada ya mwaka ameenda CRDB kuomba mkopo wakampigia hesabu kwa miezi 108 (miaka9) atapokea mkopo wa mil20. Akapigiwa hesabu makato kwa mwezi ni laki tatu na nusu.Jamaa angu alipata uteuzi wa HoD, akawa anapokea 4G+... akazama Bank... mkopo 70m... marejesho Million 120+ huko...
N A K A Z I A [emoji419]Kwakweli kwa mtumishi wa umma ni bora tu kuwekeza kidogo kidogo hata kama ni kwa miaka kadhaa kuliko kukopa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] biashara kichaa hii. Anakatwa 383000 kwa miezi 84, sawa na mil32 ili apewe mil16!!!View attachment 2676736
View attachment 2676737
Kibaya unapewa sound kua unakatwa kwa reducing balance af brother Mpwayungu Village sisi tuna lalamikia utaratibu mzee sio inshu ya utak Acha mbona kama mwalimu uliechangamka we jamaaa [emoji28]