Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Mkuu unajisumbua kumjibu huyu Jamaa.Watu wa lumumba mna shida gani asee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Kwa hiyo jamaa kagoma kuweka mwendelezo toka Jana??
Inkuhusu nn we mbwa mmojaHii ni hadithi tu ya mtu aliyefika South Africa. Ni kama anaota ndoto fulani ya zari la mentali... Imagination... Halafu anataka kuifanya kweli
Kamunyonge shehemu gani mkuuSasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?
kwetu kamunyonge Musoma lkn nilivoonja utamu wa Dar sinza. Yaani niliona kila siku ni sherehe kwangu .mpaka nikapata shule ndo kabisaaa kwani nilipa kumbuka tena kamunyonge!!
Sasa wee kwa maisha ya south kwa style uliyo simulia siyo rahisi kuyaaacha eti uje uishi na hili lisukuma lenye kinyongo na mpaka kwa maskini.
hata km unaishi masaki. Vinginevyo tukupime akili kwani hapo south na mtwara pana umbali gani?
Ukivuka ka nchi kamoja tu ka Msumbiji ni umefika eti unakuja kufa njaa hapa kweli?
sema ukweli wako umesimuliwa wewe na wajanja!! Haiwezekani uache unono eti wende ukafe njaa mbagala. Kule migari mikali ni poa sana una pack uani tu.
Magu mwenyewe anaogopa kuishi kwao na maskini kucha kutwa Yuko Dar. Umaskini unatisha watu wenye akili wewe! Husisimka mwili Japo hawawezi kukuroga tena.
Hapo kenya tu. Watu wanarudi bongo kwa mapozi sembuse south. Uache tape water inayo tiririka km maji ya kilimanjaro,misosi mizuri mizuri.watoto wazuri wazuri.migari bwena kazi nzuri?.. tena na covid hii watu wanahitajika kikazi sana.
Japo basi ukachunge mifugo wa masettler inalipa kuliko kulipwa bongo!!!
Km vipi si ungeenda hata hapo kingdom of Lesotho ujipange upya? Ni pazuri pametulia
Kamnyonge karibu na Lyamang'araKamunyonge shehemu gani mkuu
Kule mzee wamehalalishwa. Wanaitwa sex workers. Ukimuita jina la kumdhalilisha akikupeleka mahakamani lazima akutoe upepo. Sex workers wa kule kwa ufahamu wangu wamegawanyika makundi matatu. Kundi la kwanza ni wale wanaojipanga mitaani nyakati za usiku kama ilivyo huku bongo. Hao bei zao ni maelewano tu. Kundi la pili ni wale wanaopanga vyumba kwenye night clubs. Ninaposema night clubs haina maana hizo club hazifanyi kazi mchana. Hili kundi la pili ukiienda kwenye hizo clubs unawapata masaa 24, yaani ukiingia tu ndani ya club/bar unawakuta wamejaa kama darasani. Wako kwenye visiketi vifupi tu, mapaja njenje. Ukiwaleta bongo hao huwezi kuwapata kama wewe ni kapuku, lazima wenye pesa zao ndio wajimilikishe. Ukiingia humo unachagua unayemtaka. Wamepanga vyumba humo humo ghorofani, maana bar inakuwa chini ya ghorofa huko juu ndio kuna vyumba wamepanga. Hapo ni pisi kali tu. Hakuna demu mbovu. Demu mbovu hawezi kwenda sehemu hizo kujiuza maana hawezi kupata mteja. Bei zao hao ni rand 50. Kundi la tatu ni hawa wanaitwa Escort agency. Hawa unakuta mtu mmoja kawaajiri, anawalipa mshahara kwa hiyo amewaweka kwenye nyumba na kuwahudumia. Kwa hiyo wewe ukiwataka either unapiga simu unaletewa huduma mpaka kwako, au unaenda mwenyewe kwenda kuchagua. Ukifika pale, utakupa kuna sehemu ya mapokezi kama zilivyo ofisi za kawaida. Madada wataitwa wote halafu wewe utachagua unayemtaka, nazo pia ni pisi kali. Zinakuwa zimo kwenye chupi tu, namaanisha chupi tu. Ukimchagua unayemtaka either utaondoka naye au utamla hapo hapo maana huwa kuna vyumba. Bei zao ni kuanzia rand 300.Mkuu konda msafi vp kuhusu madada poa na mabar med wa SA. Bei zao znaendaje, vp kuhusu huduma zao? [emoji39][emoji39][emoji39]
Aaahh kwa mparangeVipo buza
Niliwahi kuishi mitaa ya sokoni pale karibu na ikizu bar, sijui bado ipo hiyo barKamnyonge karibu na Lyamang'ara
Aaah upite na inbox kwanguHata napita tuu!
Sotobe anampenda mkewe lakini anaenjoy kula tamu ya cebisa .
Alipigika sana kubalance show mbili hizo
Na mkewe akahamia kabisa huko HD
Jinga kabisa hii mtu[emoji23][emoji23]Just imejin[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sanaaa. Sana sana sana.....
Ujuaji mbayaaaa
hahhahahahahatuone picha hizo tuhakiki code
alf kwa mparange hicho kipnde muhimu usikiache mzee ndicho tunacho kihitaji
Bado sijapost mkuu. Nadhani kesho nitapost.Mkuu nimeishia pale ulipoingia ndani na Khumbu kwenye ile siku ya mazishi,umeshapost tena nyingine kwani?
Hahaha halafu hakuwa anasoma sana yaani bia na warembo tu ila akafauluKuna siku alifunga safari kwenda kwa mtoto wa Cebisa kumbe wife nae kamfuaya HD....
Lakini alimpenda sana Cebisa.
Alinifurahisha kufumua metrics.
Sometime nyege zikimpanda anaenda kwa majola au anatafuta boy mmoja
Analiwa ila anayajua sana
Ukimzingua tu anakuwashia moto kinoma noma
Rand 50 mbona pesa ndogo au typing errorKule mzee wamehalalishwa. Wanaitwa sex workers. Ukimuita jina la kumdhalilisha akikupeleka mahakamani lazima akutoe upepo. Sex workers wa kule kwa ufahamu wangu wamegawanyika makundi matatu. Kundi la kwanza ni wale wanaojipanga mitaani nyakati za usiku kama ilivyo huku bongo. Hao bei zao ni maelewano tu. Kundi la pili ni wale wanaopanga vyumba kwenye night clubs. Ninaposema night clubs haina maana hizo club hazifanyi kazi mchana. Hili kundi la pili ukiienda kwenye hizo clubs unawapata masaa 24, yaani ukiingia tu ndani ya club/bar unawakuta wamejaa kama darasani. Wako kwenye visiketi vifupi tu, mapaja njenje. Ukiwaleta bongo hao huwezi kuwapata kama wewe ni kapuku, lazima wenye pesa zao ndio wajimilikishe. Ukiingia humo unachagua unayemtaka. Wamepanga vyumba humo humo ghorofani, maana bar inakuwa chini ya ghorofa huko juu ndio kuna vyumba wamepanga. Hapo ni pisi kali tu. Hakuna demu mbovu. Demu mbovu hawezi kwenda sehemu hizo kujiuza maana hawezi kupata mteja. Bei zao hao ni rand 50. Kundi la tatu ni hawa wanaitwa Escort agency. Hawa unakuta mtu mmoja kawaajiri, anawalipa mshahara kwa hiyo amewaweka kwenye nyumba na kuwahudumia. Kwa hiyo wewe ukiwataka either unapiga simu unaletewa huduma mpaka kwako, au unaenda mwenyewe kwenda kuchagua. Ukifika pale, utakupa kuna sehemu ya mapokezi kama zilivyo ofisi za kawaida. Madada wataitwa wote halafu wewe utachagua unayemtaka, nazo pia ni pisi kali. Zinakuwa zimo kwenye chupi tu, namaanisha chupi tu. Ukimchagua unayemtaka either utaondoka naye au utamla hapo hapo maana huwa kuna vyumba. Bei zao ni kuanzia rand 300.
Hapana sio typing error mkuu. Hiyo ndio bei ya bao moja kwa wale wanaojiuza kwenye night club au bar. Tena anakupeleka chumbani kwake kwa hiyo hiyo rand 50. Labda iwe imepanda kwa sasa maana nimeondoka kitambo.Rand 50 mbona pesa ndogo au typing error