Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

konda msafi
Nilichukia uliposema unakatisha story but nimefurahi kujiongeza kiutu uzima maana kwa ustaarabu niliokuona nao ilikua lazima urudi ,Ila pole hadi uli resine Khumbu apumzike mahali pema peponi
 
Daaaa!! Mkuu ukaacha kabisaa???!!! Na mshahara mnono??
Jumba zuri eti Uje hapa jua kali hivi?? jamani weee!!!ayayayaaa!!!!

wewe uliitwa home kwenu kichawi najua wazigua/waha/wasukuma wanazijua sana hizi dawa za mwito.wewe hukosi hayo maka bila.

Hata kama mtu alikutishia kukuua hallow! unakufa wewe kwanza hata iweje!! Maisha ya South raha bana. Unaweza sahau chupi!

Mkuu achana na uzungu kapige ramli kuna kitu kimekukalia vibaya
Mkuu umetaja hadi kabila langu ngoja basi niombe undugu wa hiyari kwa konda msafi
 
Usichokilua ni kwamba Mayor ni diwani so anafika sana kitaa kwa majukumu yake, hivyo vitu vizuri anaviona pia, kumbuka anayoa saluni moja na jamaa yetu huyu, pamoja na maelezo yoote haya we bado hujaelewa Khumbu alikuwa pisi kali? Akili yako iko nyuma sana kwa kudhani umekulia Dar hivyo unajua kila kitu. Hapa Dar kuna mawaziri wanapiga mpaka 3 some na watoto wa kawaida kabisaaaaa, nini Mayor?
huyo mkundu kuwaka ametokea wapi ??
 
Home boy achana na huyo fala ajui anacho kisema,

Mi nipo CAPE TOWN nakufatilia kwa umakini sana alafu nakuelewe kinoma. Story yako inanikumbusha demu wangu waki- Xhosa (THANDO) mademu wakisouth we acha tu
Mkuu wananini tupe intro kidogo hata tukizamia wasitusumbue.
 
Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
achana na huyo ...Hilo ndo Yale matoto yanaitwa JUNIOR...huyo tuachie wenyewe tumalizane nae...stay focus ....
 
Kumbe n ww mdau wa Isidingo eee. Yah haikua njema ile kitu ilimuumiza Sibeko. Halafu anarudi anasema anampenda bado kweli sie wanawake hatujui tunataka nini

Nilikua naifuatilia tokea huko huko SA kwenye channel yao moja sijui SABC3??? Iliisha kitambo, hata ITV nafikiri inaelekea ukingoni.

Niliipenda sana! Sibiya akaja kujinyakulia Girrafe huku my darling wake akizuru The HD mara kwa mara.
 
mkwamba nimekomaa mpaka mwisho ,jamaa nakushauriufungue duka la nguo za kike maana unavyozichambua nomaaa
 
Hongera wewe usiyedanganywa na unaendelea kukomaa kwenye uzi wa mtu anaekudanganya sasa unafanya nini hapa? Yani unasema unadanganywa bado upo unasoma uone huo udangayifu Aseee only in Tanzania. Wewe tuache wenyewe tumeupenda wenyewe usiharibu starehe za watu.
Nasoma kama. Hadithi... Ya mtu anayeota. Lakini hakuna ukweli
 
Aisee@kondamsafi stori yako imenikumbusha mitaa ya Durban, nilienda huko for job training na kula bata sana, nimekumbuka hiyo shopping mole ya workshop.hapo nje kuna mahema mengi ya viatu alafu jamii ya wahindi wanapaogopa sana. Nilikuwa nakaa kwenye surbub moja kuna wazungu wengi sana iko karibu na shopping mole inaitwa checkers.
 
Aisee@kondamsafi stori yako imenikumbusha mitaa ya Durban, nilienda huko for job training na kula bata sana, nimekumbuka hiyo shopping mole ya workshop.hapo nje kuna mahema mengi ya viatu alafu jamii ya wahindi wanapaogopa sana. Nilikuwa nakaa kwenye surbub moja kuna wazungu wengi sana iko karibu na shopping mole inaitwa checkers.
Sawa mkuu ila checkers sio mall. Checkers ni store/supermarket.
 
Back
Top Bottom