matengongolo
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 305
- 103
Hesabu900,Hesabu900,Hesabu900 jitathimini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?Hata mimi najua kitambulisho ndio kiliniokoa. Ukiwa mwanafunzi kuna perception flani watu huijenga kwamba upo safi.
Mkuu South africa niliondoka. Tena niliondoka nikaacha na kazi kwa ku-resign maana tayari nilikuwa nimepata ajira rasmi kwenye kampuni kubwa tu ya ujenzi.Sasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?
kwetu kamunyonge Musoma lkn nilivoonja utamu wa Dar sinza. Yaani niliona kila siku ni sherehe kwangu .mpaka nikapata shule ndo kabisaaa kwani nilipa kumbuka tena kamunyonge!!
Sasa wee kwa maisha ya south kwa style uliyo simulia siyo rahisi kuyaaacha eti uje uishi na hili lisukuma lenye kinyongo na mpaka kwa maskini.
hata km unaishi masaki. Vinginevyo tukupime akili kwani hapo south na mtwara pana umbali gani?
Ukivuka ka nchi kamoja tu ka Msumbiji ni umefika eti unakuja kufa njaa hapa kweli?
sema ukweli wako umesimuliwa wewe na wajanja!! Haiwezekani uache unono eti wende ukafe njaa mbagala. Kule migari mikali ni poa sana una pack uani tu.
Magu mwenyewe anaogopa kuishi kwao na maskini kucha kutwa Yuko Dar. Umaskini unatisha watu wenye akili wewe! Husisimka mwili Japo hawawezi kukuroga tena.
Hapo kenya tu. Watu wanarudi bongo kwa mapozi sembuse south. Uache tape water inayo tiririka km maji ya kilimanjaro,misosi mizuri mizuri.watoto wazuri wazuri.migari bwena kazi nzuri?.. tena na covid hii watu wanahitajika kikazi sana.
Japo basi ukachunge mifugo wa masettler inalipa kuliko kulipwa bongo!!!
Km vipi si ungeenda hata hapo kingdom of Lesotho ujipange upya? Ni pazuri pametulia
Mkuu nimeishia pale ulipoingia ndani na Khumbu kwenye ile siku ya mazishi,umeshapost tena nyingine kwani?Mkuu South africa niliondoka. Tena niliondoka nikaacha na kazi kwa ku-resign maana tayari nilikuwa nimepata ajira rasmi kwenye kampuni kubwa tu ya ujenzi.
Kiutani utani uzi unakata mbuga kama ni safari ya kwenda South Africa tupo hapo kona ya Horizon Deep kwa kina Isidingo ze need
Mzee kashaulo Shkamoo
Sidi anaendeleaje?
Aliyeelewa hata 5% anipe summary pleaseSasa mkuu najua nyumbani ni nyumbani tu sasa nakuuliza hivi raha zooote hizo unarudi Mbagala kunako madmbwi ya maji kweli?
kwetu kamunyonge Musoma lkn nilivoonja utamu wa Dar sinza. Yaani niliona kila siku ni sherehe kwangu .mpaka nikapata shule ndo kabisaaa kwani nilipa kumbuka tena kamunyonge!!
Sasa wee kwa maisha ya south kwa style uliyo simulia siyo rahisi kuyaaacha eti uje uishi na hili lisukuma lenye kinyongo na mpaka kwa maskini.
hata km unaishi masaki. Vinginevyo tukupime akili kwani hapo south na mtwara pana umbali gani?
Ukivuka ka nchi kamoja tu ka Msumbiji ni umefika eti unakuja kufa njaa hapa kweli?
sema ukweli wako umesimuliwa wewe na wajanja!! Haiwezekani uache unono eti wende ukafe njaa mbagala. Kule migari mikali ni poa sana una pack uani tu.
Magu mwenyewe anaogopa kuishi kwao na maskini kucha kutwa Yuko Dar. Umaskini unatisha watu wenye akili wewe! Husisimka mwili Japo hawawezi kukuroga tena.
Hapo kenya tu. Watu wanarudi bongo kwa mapozi sembuse south. Uache tape water inayo tiririka km maji ya kilimanjaro,misosi mizuri mizuri.watoto wazuri wazuri.migari bwena kazi nzuri?.. tena na covid hii watu wanahitajika kikazi sana.
Japo basi ukachunge mifugo wa masettler inalipa kuliko kulipwa bongo!!!
Km vipi si ungeenda hata hapo kingdom of Lesotho ujipange upya? Ni pazuri pametulia
Mm nimerudia mara 100, ikabidi nimpigie jiwe anaweza kunielekeza maana anajua kila kitu, cha ajabu na yeye hajaelewa, daaah hatari hii shekheAliyeelewa hata 5% anipe summary please
Daaaa!! Mkuu ukaacha kabisaa???!!! Na mshahara mnono??Mkuu South africa niliondoka. Tena niliondoka nikaacha na kazi kwa ku-resign maana tayari nilikuwa nimepata ajira rasmi kwenye kampuni kubwa tu ya ujenzi.
Hhahahha hahah Lungi nae kisuu kama KhumbuKwa Meya Sheshaba...ukimuona Lungi nishtue.
hahaha tuendelee kujifukiza shekheMm nimerudia mara 100, ikabidi nimpigie jiwe anaweza kunielekeza maana anajua kila kitu, cha ajabu na yeye hajaelewa, daaah hatari hii shekhe
nG'aMBu shekhe njoo tujaribu hapa episode ya pili tunaweza pata kitu.Daaaa!! Mkuu ukaacha kabisaa???!!! Na mshahara mnono??
Jumba zuri eti Uje hapa jua kali hivi?? jamani weee!!!ayayayaaa!!!!
wewe uliitwa home kwenu kichawi najua wazigua/waha/wasukuma wanazijua sana hizi dawa za mwito.wewe hukosi hayo maka bila.
Hata kama mtu alikutishia kukuua hallow! unakufa wewe kwanza hata iweje!! Maisha ya South raha bana. Unaweza sahau chupi!
Mkuu achana na uzungu kapige ramli kuna kitu kimekukalia vibaya
Hhahahha hahah Lungi nae kisuu kama Khumbu
hapo sasaWashazoea hawa kuabudu viongozi wa ccm kwa nafasi wanazopewa na wananchi wakati wananchi ndio maboss wa wanasiasa duniani.
Mhh hebu tuacheni msifanye watu waanzishe fursa za kufundisha wadada style ya kung'uta siafu tukatozwa hela za kufa mtu. hahahah Lungi atakua anajua si msouth Africa na yeye?Anajua kukung'uta siafu??
Mhh hebu tuacheni msifanye watu waanzishe fursa za kufundisha wadada style ya kung'uta siafu tukatozwa hela za kufa mtu. hahahah Lungi atakua anajua si msouth Africa na yeye?
wakenya hawajui kiswahili hata iwejeMm nimerudia mara 100, ikabidi nimpigie jiwe anaweza kunielekeza maana anajua kila kitu, cha ajabu na yeye hajaelewa, daaah hatari hii shekhe
Hatari maalim [emoji23][emoji23][emoji23]hahaha tuendelee kujifukiza shekhe